Mkuu kwanza kuna mambo ambayo labda hujaelewa sawa. Wapi nilisema urusi haina hypersonic Kinchal? Utakuwa na nukuu bila shaka...ww umejuaje kama hilo ndio lilikuwa lengo kuu la Russian Army..???..je wewe nae ni sehemu ya wapanga mikakati wa Jeshi la Urusi..???...acha kutudanganya asubuhi hii..ya J3..!
ww ulishaharibu credibility yako humu siku za mwanzoni tu ... ulivyoingia na Argument yako humu kwamba Russian hawana hypersonic Misiles...bali wana Air to Land ICBM's ambazo zinakuwa launced na FJ.....na kwamba hakuna hyo Tech Russia...na blah blah kibao humu....bt today tunawashuhudia West wenyewe...wanakiri kwamba...Russia wana hizo silaha..na Tech..
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkuu sielewi unapinga nini? Unarudia niloyosema: Ukraine waliharibu njia ya kutua hivyo mipango ya kukamata na kutumia uwanja ilishindikana.Unarudia kudanganya......
Au unaspin narrative ikae unavyoona wewe.
Airport ulichukuliwa Ikawa haiwezekani kutumika kwa kuwa Ukranians waliiharibu, continous shelling mpaka wakaharibu Ndege yao kubwa ya Mizigo.
USA Ingekua ni mtu binafsi,Ingekua imekonda sana,Ziara ya Xi Russia, US huko hali mbaya
Mkuu hao professionals wengi walitazama na kueleza mapigano ya Hostomel. Jeshi likijaribu kuvamia airport lina lengo la kuitumia. Hakuna siri hapa.Wewe unayo 'document' ya maagizo hayo kwamba kikosi maalum Cha Russia kiteke eneo Hilo au unabwabwaja tu kutoka kwenye akili yako mufilisi...Mambo yanayohusu mbinu za kivita waachie professionals ...
😂😂 Kuna nchi zinaomba dili la nafaka life ili wapewe msaada[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia Writes Off $20 Billion In Debt Of African Countries — President Putin
Some key points from the Russian president while speaking at the Russia-Africa 2023 summit in Moscow:
[emoji830]Africa will become one of the leaders of the new multipolar world order
[emoji830]Russia will continue to give priority to cooperation with African countries
[emoji830]Russia, Africa, Asia, and Latin America together oppose the Neo-colonial ideology and together make up the world’s majority
[emoji830]Russia fulfills its obligations to supply food, fertilizers, and fuel to Africa
[emoji830]The West is obstructing Russia’s attempts to donate fertilizer shipments for free
[emoji830]Russia insists on the supply of grain and fertilizers to the needy, not well-fed European countries
[emoji830]Moscow will decide later on further participation in the grain deal
[emoji830]Of the total volume of grain exported from Ukraine, 45% went to European countries, only 3% went to Africa
[emoji830]Russia will supply free food to African countries in need if it does not extend the grain deal
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu sina uhakika unalenga nini. Nilimjibu mtu aliyedai eti MacGregor alisema "The first army was defeated and destroyed on Feb 22 last year" . Nilijibu siamini MAcGregor alisema kitu kama hiki, alete chanzo cha nukuu. Hajaleta.Mark you - Mr. McGregor is a very respectable Military Guy with vast experience kwenye masuala ya vita hasa matumizi ya vifaru ambavyo yeye aliwahi kushiriki kama kamanda - ni vizuri kumsikiliza anacho kisema hata kama hamkipendi kwa sababu anasema ukweli - maafisa wengi wa jeshi la Amerika pamoja na baadhi yenu hamtaki kuelezwa ukweli as far as you lot are concern "Ukraine is winning" mtu anakwambia eti paratrooper wengi wa Urusi waliuwawa lakini hana picha hata moja inayo onyesha maiti na parachuti zao.
Yaani Hali ni mbaya
Kwa akili zako umeona hizo no picha halisi😂
Watembeza bakuli Ulaya hampoSisi wa kutoka Kijiji Cha Chief Hangaya tumo?
Lakini hawakuwashinda VDV.....Mkuu sielewi unapinga nini? Unarudia niloyosema: Ukraine waliharibu njia ya kutua hivyo mipango ya kukamata na kutumia uwanja ilishindikana.
Huku kiduku nae anamjampishaWaliambiwa mapema tu kuwa huo mziki mnene wakawa wanajipa moyo 🤣🤣🤣 eti Supapawa wa mchongo.
Mtu mwenye akili na mahesabu makali kama Mrusi sio mtu wa kumkurupukia. Marekani badala ya kumhujumu Urusi raundi hii yeye ndio anaenda kumalizwa kiherehere chote na hakuna kitu atamfanya. 😀😀😀
ww Mwamba bwana ni wa ajabu sana aisee....hv sio ww uliekuja kwenye huu uzi na theorem za physics...ukadai kwamba kiuhalisia haiwezekani kuwa na hypersonic ... kutoka na speed kuwa kubwa sana...( pls Mathanzua ,Bukyanagandi )...hebu nikumbusheni kidogo ile theorem ya huyu Mwamba alioitoa humu ... na aka conclude kwamba Russia hana a real hypersonic na aliokuwa nayo ni Air to Land ICBM...!!!Mkuu sina uhakika unalenga nini. Nilimjibu mtu aliyedai eti MacGregor alisema "The first army was defeated and destroyed on Feb 22 last year" . Nilijibu siamini MAcGregor alisema kitu kama hiki, alete chanzo cha nukuu. Hajaleta.
Pia sisemi "Ukraine is winning". Naona uwezekano, ila nahofia zaidi kwamba mapigano yanaendelea hadi pande zote mbili zitachoka mno.....
Bila shaka kila mmoja atatangaza baadaye namna fulani ya "ushindi".
Mkuu usichanganye vita na muziki. Ukitaka tamasha ni vema kupiga ngoma kwa muda mrefu. Ukiwa vitani hutaki kupiga unataka kushinda. Kumbe unaona Bakhmut ni mafanikio makubwa ya jeshi la urusi kwa sababu wanapiga Ukraine tangu miezi mfululizo??Hio Propoganda leo hali ya vita ikoje, hao wayukreini wanapigwa kama ngoma hapo Bhakmut, 🤣🤣🤣
Ni thawabu sn kuungana kuwafyeka mashogaView attachment 2558786Raia laki nane (800,000) wa Korea ya Kaskazini wamejitolea kwa moyo mkunjufu
Kujiunga na Jeshi la Korea ya Kaskazini kwa nia ya kupambana na Jeshi la Marekani wakidai kuwa:
"Wamechoshwa na uchokozi wa jeshi la Marekani usio koma".
[emoji3534]Habari za Maendeleo ya Dunia.
Kenya ya kenyata ilikua upinde,Leo kuna mkutano Moscow 45 nations of africa china na russia.kuzungumzia maendeleo mbona kenya sijaiona kwenye list
Tukisema Putin ni mpole sn Wengi wanatisha[emoji4]Huyu Medvedev angekuwa Rais wa Russia Nchi nyingi zingepokea kipigo mda huu.l
Wako kama wale immortal kwenye mad max-fury road[emoji16]VIDEO
Kuna Askari Mmoja wa Ukrein Aliwahi Kuhojiwa Kuhusu Vita
Jamaa alisema Hawa WAGNER
Nihatari yaani Nikama Mizimu inayo Fufuka haina Uoga Na Anajiuliza Hajui wanapewa Vitugani !!
Angalia Hii video Hawa watu Nihatari yaani Mashine Inatema Rocket yeye nduo kwanza Anapiga Gitaa juu yake
Wana mzuka Balaa
Ndio maana West wana wagwaya hawa watu ni Mizimu
MUNGU IBARIKI URUSI
URAAAAAAAAAAAAAAAAA
View attachment 2559073
Hao jamaa Kuna mawili,Viongozi wa Nchi za EU ni wendawazimu-nilidhani Africa tu ndio viongozi hawana akili kumbe wazungu nao.
Yani EU nzima wanaendeshwa na USA-angalia sasa pamoja na bei ya natural gas kushuka wenyewe bado wananua gas kutoka USA & Canada kwa kulipa gharama mara 3-5 zaidi ya waliyokuwa wanalipa kwa kununua gas Urusi.
Huo ndio ukweli, Ukraine walijiandaa sana kijeshi ila Russia anawatoa jasho balaa! Kwa minajili hio ni wazi NATO hawataweza kuidhibiti Urusi.Sikiliza Hawa jamaa, pamoja na mauwaji yote Marekani aliyofanya, lakini ICC haitowi mdomo Wala pua, Popeo former secretary of state jamaa anasema hiyo Court ikikamata mumarekani yeyote basi Marekani watamwekea vikwazo hao mahakimu na kizazi chake chote wasikanyage ardhi ya Marekani, baba mama wajomba watoto, shangazi ndugu yeyote etc. Na huyo mwingine anasema NATO pamoja na Marekani wakiamua kizipiga leo basi NATO na USA watashindwa vibaya Sana. Anaendelea kusema Ukraine ilikuwa na jeshi imara Sana ambalo nchi yeyote ya NATO insigeweza kuishinda Ukraine kasolo Marekani tu nchi nyingine UK, German, French, hawana ubavu wa kupigana na Ukraine, lakini Russia inaipiga Kama mwizi. Hivyo nchi zote za NATO combine hawawezi pigana na Russia hata kidogo. Huyu Jamaa ni former Iraq WMD inspector, amehusika na vita vingi vya USA.