Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu jamaa kiboko 🥱🥱🥱[emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji298]️Volodymyr Zelensky visited frontline positions of the Ukrainian military in the Bakhmut area.

The President also awarded defenders of Bakhmut, the President's website reported.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bwana Utam are you serious that Ukraine is too strong for Russia?Real?You do not know what you are talking about,tafakari tena.You are too far away removed from the truth.
Bwana utamu anamjibu mjumbe mmoja Pro NATO humu,wewe hujafatilia malumbano Yao.
Bwana utamu namwelewa hawezi kuwa mzembe kiasi hicho.
 
Tatizo watu wamepagawa baada ya kuona kipigo kikali anachotembezewa urusi huko Ukraine.., mpaka wanadhani Ukraine ndio taifa lenye nguvu zaidi za kijeshi kati ya mataifa ya NATO [emoji23][emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Imeisha hiyo,
maneno ya mwamba ni zindiko tosha.
hakuna Tena UK watakachofanya.
Putin kamaliza.
 
Safi!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyo atakuwa Bado alikuwa mtoto au alisimuliwa kwani ndege iliyomuua Gadaffi ulitoka Libya
 
Welcome to the world 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Nakupinga boss. Utaniambia wapi nimekosea.

Kukishakuwa na product za aina moja nyingi sokoni, System ya demand and Supply itainua product moja juu na itakuwa na thamani kuliko zingine na ndipo utawala wake unaanza hapo.

Automatically utaenda sokoni mtu hatataka ela yako atataka umpe hela ambayo akienda kwa mwingine itahitajika.

Imagine unafanya biashara kwa kutumia Iranian Rial, fedha ambayo haitajiki sana duniani, utaichukua ikae kwenye reserve yako uipeleke wapi? Automaticalły utataka aibadili kwa kutumia mzani wa fedha fulani ndipo mfanye biashara. Sasa huo mzani utakaokuwa unatumiwa na kila nchi demand yake itapanda mwishowe inakuwa na nguvu hence inaaminika.

Unajua USA hajajiweka pale, demand ndiyo ilimuweka hapo ila kubaki hapo akatumia na anaendelea kutumia mbinu mpaka zinazoumiza nchi nyingine ndio maana anapingwa. Mfano kukopa kwa rate ya juu kisha siku ya kulipa anafanya devaluation.

Kumuondoa USA kutaleta uhitaji wa fedha nyingine itakayohitajika na kuaminika na wengi. Ni suala la demand and Supply ya currency sokoni unless mm sijui kabisa kuhusu uchumi na nahitaji kuelimishwa unipe hiyo elimu.
 
Usiende Mbali sana mkuu ......kwenye hili suala la currency

Mfano mdg
Kwasisi tunaogiza vitu KIKUU from china tuvyolipia through mitandao ya simu maybe mpesa .....tigo pesa etc ......Huwa tunatuma Moja Kwa moja .......so this means wenyewe wanaichange as it necessarily
 
Vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56]



Recent #explosions in the town of Dzhankoi in the north of occupied #Crimea damaged a key railway hub and its use is currently impossible, according to Head of the United Coordinating Press Center of the Southern Defense Forces Natalia Humeniuk.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Da!
mwamba umerudi kwa nguvu kubwa sana ,
utaua Pro NATO aisee.
 
Nakubali kupingwa lakwanza lapili hata mimi nahitajia elimu kuhusiana na UCHUMI pia

Hapo kwenye dola watu walikubaliana dola haikukaa pale kwakua inahitajika sana hapana ilikuja pale kwamakubaliano maalum nahayo makubaliano ndio yakaleta hii shida yote

Fedha sio kama bidhaa nyengine sababu tunaweza tukakubaliana kwamba kusiwe na petrodolar kwamba mafuta yanunuliwe napesa nyengine pia ukiachana na dola maana kabla ya hili saga la SMO ilikua sharti ukienda SAUDIA ama popote uwapelekee dola ndio upate wesee

Ila RUSSIA baada ya kumzingua unakumbuka sababu ulikuepo toka awali akasema ukitaka mafuta gas uje na RUBO kuna muda akasema pia nataka na ngano mafuta ya kupikia nitakua nachukua RUBO namaisha yakaendelea

Alichofanikiwa RUSSIA nikuifanya RUBO iwe mali nandio maana hata vikwazo haimiliana navyo la sivyo ingekula kwako

Kua na pesa zaidi ya moja inawezekana mfano niliwahi fanya field pale mlimani city wakaja watu wanatumia EURO POUND na DOLA kama wanatumia tz money na tukawa tunazipokea vyema tu namtu anapenda umpe hizo kuliko tz pesa

Sasa kama mlimani cty wanapokea fedha zaidi ya moja zakigeni kuuza bidhaa unahisi fedha zaidi ya moja DUNIANI inashindikana

Nikwamba bado hakujawa na system iliokamilika ila sasa watu wanaprocess hilo sababu wamechoka na WIVU CHOYO UBABE na GHILBA za US na shoga zake


Nabado naamini mpaka sasa mlimani cty wanapokea dola euro na pound nk labda waache hv karibuni sababu pesa zenyewe zimekua hazieleweki eleweki sasa sehem kama cty mlimani waweze kutumia ishindwe DUNIA kweli ila tu nikujipanga sababu kuiondoa dola inawezekana ila sio rahisi
 
Journalist Hersh: Scholz has been helping the United States to hide data on sabotage on the Nord Streams since the fall Olaf Scholz has been supporting US attempts to hide data on sabotage on the Nord Streams since the fall, American journalist Seymour Hersh reported.

According to him, the CIA and German intelligence were asked to prepare an alternative story for the media about explosions on gas pipelines.

Hersh stressed that even if Scholz did not know about the sabotage in advance, he has been supporting US attempts to conceal information since the fall.
 
Okey mkuu, nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…