Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizi T 90 nilihesabu. Niliona tisa. Ziko nyingine? Wapi? Nilisoma Uralvagonzavod wanaweza kutoa 29 kwa mwezi. Picha yako inalingana na taarifa. Ni takriban nusu mwezi. Zitadumu siku ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uwongo wewe.umehesabu vipi wakati msafara unaendelea.au ulikuwepo eneo la tukio.unajua convyoy imeishia wapi au mwisho unapaona.
 
Ukisha tawala anga vifaru vinakuwa kama matoi tu. Anga la Ukraine limetawaliwa na Russia kwahiyo Russian ndio mbabe ktk hii vita. Mambo ya vifaru tupa mbali kabisa kwani havitaleta mafanikio yoyote upande wa Ukraine
 
Hizi T 90 nilihesabu. Niliona tisa. Ziko nyingine? Wapi? Nilisoma Uralvagonzavod wanaweza kutoa 29 kwa mwezi. Picha yako inalingana na taarifa. Ni takriban nusu mwezi. Zitadumu siku ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kusikiliza maneno ya west.huu ni mwezi wa tatu umefika toka habari za Abram na Leopard. Utafika mpaka mwaka na hakutakuwa na kitu chochote uwanja wa vita.tuombe uzima tu ila hakuna wa kuleta machuma yake yaje kuchukuliwa na Warusi kiwepesi.

Mwaka utakatika uwezi kusikia habari za Abram au Leopard.kama ilivyozima habari ya Himars
 
Juzi USA walirusha kombora 1 kwenda kwenye kambi ya Iran hapo Syria.
Leo Iran wamerusha makombora 8 kulipa kisasi.
Yaani Iran hataki kabisa mazoea na ma shoga wa USA.
Unapenda sana kutaja taja ushoga maana wewe ni mmoja wa mashoga. Huwezi taja kitu kila saa except unakipenda. Acha ushoga ndugu. Hiyo ni tabia mbaya sana
 
Huyo lgbtq aliwaza kujenga base na manowari mwenzake duni base yake ipo Kremlin anaungurumisha makombora mpaka USA na MiNATO bila kusogea hata inch moja na mahypersonic yanagonga bila kupopolewa hapo ndipo utajua akili ni nywele.
Unapenda sana kutaja taja lgbt maana wewe ni mmoja wa mashoga. Huwezi taja kitu kila saa except unakipenda. Acha ushoga ndugu. Hiyo ni tabia mbaya sana
 
Na wewe una amoni ropaganga hizi za kuchonga kibaya zaidi aliye file this report is not even Russian -military confidential kuziibuwa wapi - store za kibuni tu zenye lengo la kutaka kuonrsha kwambabRussia is in dire straits - ulaghai mtupu.
 
Ukisha tawala anga vifaru vinakuwa kama matoi tu. Anga la Ukraine limetawaliwa na Russia kwahiyo Russian ndio mbabe ktk hii vita. Mambo ya vifaru tupa mbali kabisa kwani havitaleta mafanikio yoyote upande wa Ukraine
Mkuu jaribu kuamke kwenye ndoto. tatizo mojawapo wa Utusi katika vita hii ni kwamba tangu mwanzo ilishindwa kudhibiti anga juu ya Ukraine. Hivyo waukraine wako huru kusafirisha askari na silaha nchini bila kuzuiwa.
 

Una prove gani kwamba hii ni blogu ya kirussi?? Kwasababu imeandika kirusi??
 
Kuna Viongozi wengine ni Majuha Aisee
yaani wenyewe Kupeleka Nuklia Inakuwa Sawa sio Urusi
Hahaha Mwanzo Kaongea Kama Anajiamini mwisho Anamalizia kwa Vikazo


View attachment 2566724

Hawa watu ni dhaifu sana silaha waliyobaki nayo ni sanctions tu. Na mzee lukashenko anavyozitamani hizo nukes kama namwona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…