Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

This morning at least six explosions have occurred within a locomotive depot in the Zaporizhzhia region’s temporarily occupied city of Melitopol, which is used by russian troops to repair their military equipment.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO ilishajifia.
 
Haya majamaa mawili yalipatikana mtaani katikati ya jiji la Moscow yakilana denda...

Siyo ni utamaduni wao? Ona hapa mtangulizi wa Putin comrade Brezhnev na mkuu wa Ujerumani ya Mashariki Honecker

Halafu Brezhyev na mgeni mwingine wa nje (aliyefauli kuepukana utamu mkuu)

Hapo Gorbachov na Mjerumani yeye yule

Hapa bwana mkubwa na mwanamichezo (anayeonekana hafurahi sana)

Stalin mwenyewe alibusu pia (hapa kwenye mwaka 1937 bado kwa kusita kidogo)

lakini 1937 ameshazoea

Kubusu Kirusi kuna hatari zake wakivaa silaha kali...

Naona hapa walielekezwa kuendelea BILA silaha

Bila shaka ni tamu zaidi ukifunga macho (au ukimchukia mwenzako, maana Bwana Dubcek (kulia) alikamatwa baadaye kwa amri ya mwenzake)

Ukimkosa mwenzako, basi kuna njia nyingine!
 
Kwamba mrusi atashindwa kutengeneza gearbox yake na engine kisa benz na volvo wamejitoa? .
Mkuu nadhani unaelewa kwamba Warusi walitengeneza gia na ekseli tangu miaka mingi. Ili walipotaka kuunda lori bora walichukua kutoka nje.
Unaonaje - kwa nini walifanya vile?
Je labda kuna ukweli fulani katika habari kuhusu udhaifu wa tekinolojia na uwezo wa kuizalisha??
 
Mkuu bila shaka athira ya Marekani itaendelea kupungua polepole. Ila naona kwa miaka inayokuja USDollar itaendelea kuwa sarafu kuu duniani.
China imewekeza kiasi kikubwa cha pesa yake kwenye USD ili haiwezi kuachana karibuni.
 
Dah!...hivi outdated T-54 ndio vitakavyopambana na Vifaru vya Challenger, Abrams na leopard ?....

T14 Armata zipo wapi ?au ni kwa ajili ya gwaride tu ? Urusi kwa man power na silaha nyingi walizonazo hapo Bakhmut bado pamekuwa pagumu ....... ... hii counter offensive huenda ikashangaza dunia.
 
Mwanzo wa S.M.O wengi walidhani urusi kakurupuka na hakujipanga.Ila ukiangalia impact ya S.M.O Duniani ndo unaelewa urusi hakukurupuka.

Aliekuwa anatafutwa ni US Pamoja ni vibaraka wake anawowatumia kama ukraine.Ambaye hajaanza kuona mwisho wa US kama monitor wa dunia basi atakua na Matatizo.

Ivi mtu anapata wapi ujasiri wakuiponda urusi kijeshi,kuibeza kua inasiraha mbovu haina technolojia, nchi ambayo imesimama imara dhidi ya mataifa yenye nguvu ya kiuchumi, kijasusi na kijeshi?? (Wamagharibi).

Mpaka hapa inaonekana ambao walimisscalculate vibaya ni US na vibaraka zake kwa kudhani wangeweza itumia ukraine kuipa siraha,ujasusi na mafunzo kuiangamiza urusi huku wakitegemea vikwanzo vya kila aina dhidi ya urusi.

Walijua wataiangusha urusi then wamfuate mchina bila kujua unaowavizia nao wanakuvizia.
Ila
Tujiandae kisaikolojia chochote kinaweza tokea mbeleni ukizingatia Us hatakubali anyang'anywe ufalme wake kirahisi, Historia inatukumbusha utawala unapoelekea ukingoni au kuanguka hua unakuwa too harsh haukubali kuanguka kizembe bila kuacha madhara mkubwa au alama.
 
haya maneno ya kwenye Kanga ndio yanayokuonyesha uko wa kawaida kiasi gani??...!!!...Super Power Uchwara ... Europe yote inayumba sababu yake...., kuna nchi inayoweza kuonyesha direct threat kwa US hapa duniani na ikabaki salama kama anavyofanya Russia..???....hata China na uchumi wake mkubwa ... hawez onyesha umwamba namna hii..mbele ya US na akabi salama...!!
Mbona huzungumzii ile Shadow Military Command ya NATO...iliyofunuliwa na Kinzhal hypersonic missile.. na kuteketeza 100's ya NATO Specialists...??

Marekani....hana uwezo wowote wa Kijeshi wa kuifanya Russia...hana...combined na NATO yote...,,, kama ni Conventional Millitary Hardware...kwenye SMO hii.. Russia ameonyesha ni Mwamba kiasi gani..,,Nuclear hata tusiongee sababu iko wazi nani ni mwamba...!!!

Silaha kubwa ya Marekani kwa Russia ilikuwa ni 'Sanctions'...ndio maana mwanzoni mwa Vita .. BIDEN alikuwa anampiga mikwara PUTIN...waziwazi kwamba atajuta...sasa ni mwaka zaidi...US hana cha ziada kwenye Sanctions...amemaliza vikwazo vyote...hadi kwa michepuko ya PUTIN todate hakuna kilichofua dafu...!!!

hv nchi kama Russia kwa yote inayoyafanya kupambana na Collective West.... huku akiwa the most ever sanctioned Country on Earth..
na bado anawakilisha namna hii...unawezaje kumuita Super Power Uchwara...!!!...lazima either Mahaba ya West yamekuzidi au unajitoa ufahamu...

Issue ya Finland...PUTIN alishasema wazi hana tatizo na hzo nchi kujiunga NATO..but issue itakuja hao NATO watafanya kitu gani baada ya kuingia hapo...!!!


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Teh teh teh 😂😂😂 Warusi wa Buza pitieni hapa muone utamaduni wa kirusi.....

Extrovert mohamedidrisa789 MOTOCHINI Champagnee Econometrician Hammaz 1954 lee van cliff
DeepPond
 
Kwa hiyo raisi wa Ukraine alikuwa anadanganya ?maana hayo maneno niliyo Comment yeye ndo aliyasema.
Sijakanusha wala kupinga alichokisema. Umedai alisema counteroffensive sio rahisi, kitu kutokuwa rahisi haimaanishi hakiwezekani. Kwani ni lini vita ilishawahi kuwa rahisi.
Nimesema counteroffensive isingewezekana kipindi hicho na nikatoa sababu. Ukraine itaanzisha counteroffensive na kama unadhani haina uwezo huo nitakukumbusha wakianza
 
Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.

Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.

Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.

Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.

Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
 
Factories kama Uralvagonzavod wapo busy kufanya upgrade ya zana zilizokuwa store. Zana zina components zimeharibika, zimeibiwa au outdated hivyo ni kazi kubwa.

T-14 Armata sio proved bado iko kwenye development na wameichelewesha sana. Hata ikianza kutumika bado hawana namba za kutosha itakuwa irrelevant. Na mass production yake itacheleweshwa kutokana na sanctions ambazo zimechelewesha hata development yake.
 
Hata kama USA hawezi kubali ........lazima tu atakuwa mpole

Sababu ni kuwa current Kuna balance of power

Kila nchi inajiweza ....mfano uliwahi fikiria kuwa siku Moja Iran atamvimbia USA?????

North Korea atamvimbia USA????


Dunia inachokihitaji ni kuwa Kila mtu aminds business zake
 
una maanisha wanyonge ( NATO) ndio huungana kumkabili mwenye nguvu[emoji1][emoji1]???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…