Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Aseeeee......Achana na ndoto za kijiweni kijana. Urusi level zake ni kupigana wenyewe kwa wenyewe humo Chechnya, kupigana Syria dhidi ya waasi na kuvamia Ukraine. Urusi haina uwezo wa kupeleka hata mwanajeshi mmoja akakanyaga ardhi ya Marekani. Namaanisha mwanajeshi mmoja tu kutoka Urusi hawezi kanyaga ardhi ya Marekani wakianza vita, labda awe ni rubani amedunguliwa akatumia ejection seat.
Unailinganisha China na Russia, we unaona China inaweza pigwa na Russia hii? China unaichukuliaje wewe, kama waliweza kubali kupigana briefly na Soviet Union mpakani mwaka 1969 wakiwa maskini unadhani watashindwa leo ikiwa imebaki Urusi pekee na irrelevant kiuchumi duniani.
Hiyo military command ya NATO muitolee wapi. Unadhani NATO wanapigana kishamba kama nyinyi, eti waweke military command Ukraine. Yaani Marekani iongoze drones za Middle East ikitokea Germany na airbases ndani ya Marekani kisha NATO ichambue data ikiwa Ukraine.
Russia ni superpower uchwara, kabla ya sanctions bado hakuwa among nchi kumi kubwa kiuchumi duniani. Huwezi kuwa superpower kwa kutegemea uchuuzi wa gesi sijui makaa ya mawe. Na kama ni superpower kweli si aweke sanctions dhidi ya Marekani tuone. Kwanza Marekani haina haja ya kupigana na Urusi na haina nia hiyo, Urusi itoe majeshi yake Ukraine ione kama kuna mtu anaifuata kwake. Marekani na NATO si zinapeleka silaha Ukraine, sasa inakuuma nini.
Marekani ingetaka kupigana na Urusi ingeifuata kwao. Ndio kwanza mnapigana na 5% ya annual military budget ya mwaka mmoja tu pale Ukraine wakati kuna silaha za bajeti ya miaka zaidi ya 30 zipo.
Finland kujiunga NATO Putin kasema hamna tatizo? Kwahiyo alikuwa amechanganyikiwa alipokuwa analalamika NATO kumsogelea mipakani. Sasa Finland si ndio kabisa imemsogelea. Au yeye mwenyewe hajui anamaanisha nini ndio maana kila miezi ikipita sababu za vita Ukraine zinabadilika.
Japan imekuzwa kiuchumi na US?US hajavuruga Indo-Pacific. Japan, South Korea na Taiwan ziko bega kwa bega na US na zinafanya vizuri sana kiuchumi na kila kitu. Huwezi nitajia nchi tatu zilizokuzwa kiuchumi na Urusi dunia nzima.
Nchi inavamia majirani ingekuwa na uwezo si ingevamia nchi za mbali ila uzuri ndio uwezo haina. Kwa Urusi hii uwezo wa kuvamia mfano Brazil haina kabisa kabisa
Hata mimi nlikua nawaza kama wewe mpaka nilipokuja kugundua dolar thamani yake ni mikopo ya hela za kuchapisha..kwa nchi inayotaka ufadhili au uwekezaji...na sio demand halali ya soko..unajua meaning ya soko? Bidhaa iliyopo inajitengenezea bei kulingana na upatikanaji wake na uhitaji wa bidhaa....sasa kwa mawazo niliyokua nayo ya kitoto nilijua hizo dolar ndio thamani halisi ya utajiri wa US, kumbe ni za kuchapisha na kupeleka zinakohitajika kwa njia ya mikopo au uwekezaji.Ujue China sarafu yake haiendeshwi na soko, bali CPC wakiamua ifanya iwe au isiwe na thamani ni kitendo cha dakika tu
Dollar inaaminika sababu inaendeshwa na soko
Mkuu unajua vizuri sana kwamba Urusi ilijaribu kuwa na wengi wanaoiuga mkono... Siyo zamani ilikuwa na Warsaw Pact? Ila kwa bahati mbaya wote waliolazimishwa kushirikiana na Urusi walitoroka mara walipopata nafasi . . .Ajabu nchi zaidi ya 30 zimeungana against huyu unayemwita uchwara. Dogo nenda jukwaa la mapenzi kwenye uzi wa riki boy huku unapuyanga.
Kwa hizo takwimu zako unataka kusema kuwa kwenye wamarekani Mia, kumi na moja ni maskini. Homeless kwa Marekani haiepukiki kutokana na mambo makubwa mawili:Kwamba Detroit ni tajiri?
Mississippi napo?
Vipi tatizo la homeless limeisha?
Milioni 37 ya Wamarekani ni masikini wa kutupwa.
Hivyo hakuna nchi yenye maisha Bora kwa watu wote ila mwambie Moscow ni Jiji Bora kushinda miji mingi mikubwa Ulaya.
Mkuu siyo thamani kwenye soko ni zaidi nia ya wateja kununua kitu? Unaweza kuona kitu kisicho na faida kubwa lakini bei yake juu.Hata mimi nlikua nawaza kama wewe mpaka nilipokuja kugundua dolar thamani yake ni mikopo ya hela za kuchapisha..kwa nchi inayotaka ufadhili au uwekezaji...na sio demand halali ya soko..unajua meaning ya soko? Bidhaa iliyopo inajitengenezea bei kulingana na upatikanaji wake na uhitaji wa bidhaa....sasa kwa mawazo niliyokua nayo ya kitoto nilijua hizo dolar ndio thamani halisi ya utajiri wa US, kumbe ni za kuchapisha na kupeleka zinakohitajika kwa njia ya mikopo au uwekezaji.
Imani ya dunia kwa Marekani!!Mkuu siyo thamani kwenye soko ni zaidi nia ya wateja kununua kitu? Unaweza kuona kitu kisicho na faida kubwa lakini bei yake juu.
Unaweza kusema mara nyingi fesheni.... Ila umejiuliza kwa nini fesheni ya nchi kutafuta USDollar imeendelea miaka mingi vile hadi leo (na pia kesho na kesho kutwa, hata kama itaendelea kupungua pole pole sana)
So NATO walivyoenda Iraq walikuwa wamevamiwa?Mkuu NATO hawapangiwi masharti namna ya kuanza vita, ni kama Urusi ilivyoibuka ikaamua iende Ukraine. Ili NATO waingie kwenye vita haswa ni lazima Article 5 itumike na haijawahi tumika tangu wawepo. Ni pale member wa NATO atakapovamiwa na iliwahi tokea kwenye September 11 ndipo baadae wakajua ni magaidi. Urusi hajafanya chochote cha kupigwa na NATO ndio maana hawajamshambulia. Ukraine sio mwanachama.
Russia ni dhaifu mbele ya Marekani, achana na nuclear maana hiyo either ni draw au Russia kupigwa. Hakuna nuclear exchange itakayoleta matokeo ya Marekani kupigwa. Ukubwa wa Urusi unakuja kwa wengine hao Moldova sijui Georgia.
Kuhusu Vietnam. Marekani ilienda kufanyaje kule, na Vietnam ikafanyaje. Kilichoipeleka Marekani kule ni kuzuia influence ya Communists, sasa vipi Ukomunisti upo leo? Na hao USSR mababa wake wako wapi si ndio hawa hapa wanapigana leo. Sasa mshindi nani hapo. China yenyewe ilienda baada ya Marekani kutoka nayo ikafeli, wakati Marekani ilipokuwa kule ilikuwa inawapa mswada Vietcong.
USSR ilikuwa na utofauti mkubwa na US, moja ilifeli kwa muungano wa kugundisha nyingine ipo ndio superpower
Mkuu, Thamani ya fedha fulan kuyumba unatokana na fedha pinzani kuwa injected kwenye mzunguko by force, iwe sera za kidiplomasia hasa vita au devaluation...hakuna pesa inayochezacheza hivihivi tuu pasipo external forces..hivyo ili dolar idumu inahitaji pesa yako iyumbe..SANCTION, Kumb:zimbabwe,uganda,N.korea,Brexit,covid-19 and so on...Mkuu unaota ndoto nzuri lakini umeshajiuliza kwa nini nchi nyingi (zote?) zimeweka akiba ya sarafu chache, hasa USD, Euro, Pauni, pia Yen na Renmibi?
Labda kwa sababu wameona faida kufanya vile? (maana hakuna anayekulazimisha kununua pesa fulani..).
Labda pia ukifanya leo mkataba na nchi nyingine kununua mafuta yao au gesi yao au labda madini au pia vipuli vya mashine KWA MWAKA UJAO unataka kuwa na uhakika kuhusu gharama? Na hivyo hupendi kupatana kwa aina ya pesa inayojulikana kuchezacheza thamani yake?? Na kupendelea pesa ianyojulikana kuwa na thamani thabiti zaidi?
Unaonaje?
Unaongea kwa Uchungu sana, na mipasho mingi.Pamoja na kubadilisha makamanda wa vita mara tatu bado superpower uchwara anapuyanga. Na si mjajifanya mnaifukuza NATO sasa Finland inakuja inaongeza mamia ya kilomita za mpaka, kapigane na uko tena ndio wako jirani zaidi na Urusi.
Mwezi March kilichoongezeka ni 0.01% ya ardhi ya Ukraine, akili kisoda nguvu nyingiView attachment 2574038
Cha kufurahisha ni nini hapo?Vladlen Tatarsky ndio basi tena. Kauwawa na Warusi wenzake msitafute maneno. Mnachelewesha vita mwaka mzima mpaka kajifia akisubiri ndoto zake
Tatizo liko wapi?“What is distinct about oligarchs in Russia is not that they are different in terms of being rich, it’s the way they are inserted into politics,”
“In the Russian case, I would label as a ‘sultanistic oligarchy.’ By sultanistic, I mean that instead of having rule of law in a civil oligarchy, the oligarchs in Russia are tamed, they are controlled, limited by a single, very powerful figure such as Putin.”
kuna mahali nimesema kuna tatizo??Tatizo liko wapi?
Wao wanaona sawa ni mfumo wao wa Maisha, wakiuchoka watauondoa.
Kumbe unacopy tu vitu na kuleta hapa bila hata kusoma na kuelewa kinamaanisha nini?kuna mahali nimesema kuna tatizo??
Nimesoma na kuelewa. Sasa wewe ndiyo unadhani kuna tatizo wengine kuona tofauti. Kweli ni matajiri, lakini ni kama kasuku tunduni. Lakini hakuna tatizo.Kumbe unacopy tu vitu na kuleta hapa bila hata kusoma na kuelewa kinamaanisha nini?