Mkuu naona unaongea kipropaganda mno...yaani nakuangalia unavyoandika mada hapa hauna tofauti na wanyonyaji wa kizungu wenye siasa za kuzunguka mbuyu wakati nia yake ni akupige tukio huku unajiona na unakubali kupigika.Samahani mkuu sababu za kushuka kwa bei ya pesa fulani (yaani exchange rate) mara nyingi ni sababu za ndani. Mfano kama benki kuu inazidi kuchapisha pesa - ilhali hakuna bidhaa za kutosha sokoni - basi pesa inashuka. Katika nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya, Amerika tumeona mifano mingi ya aina hii, tena tangu karne nyingi.
Zamani (kabla ya benknoti) serikali zilichanganya sarafu za dhahabu na fedha kwa shaba au metali nyingine. Kumbe sarafu hizo zilitambuliwa na bei zilipanda. Mfano Waroma wa Kale walikuwa na sarafu ya Denarius , kiasili yenye gramu 4.5 za fedha (silver) iliyokuwa asilimia 90 ya uzito wake wakati wa kuzaliwa kwa Kristo. Miaka 200 baadaye, fedha ndani yake ilikuwa 45% pekee, , miaka 250 baadaye ilikuwa silimia 5 pekee, na mwaka 265 asilimia 0.5 pekee. Wafanyabiashara walipaswa kupandisha bei za bidhaa mara elfu kadhaa. Wengine wanaona ilikuwa vibaya kuliko Yuhoslavia kwenye miaka ya 1990 au Zimbabwe juzi.
Leo enzi ya sarfu za dhahabu au fedha imepita, lakini unapata matokeo yaleyale ukichapicha benknoti nyingi mno. Au zaidi siku hizi kama Benki Kuu inaongeza mno kiasi cha mkopo kwa benki za kibiashara
Wanataka zipigwe za kuihakika,ili west wa-donate silaha zao then US auze silaha mpya kwa west...sasahivi kuna kafoleni ka bookings za silaha km nchi 30 hivi za ulaya..US amekaa paleee na "peni" na notebook anaandika "ODA" kila mu-west lazima aweke "oda" ukikataa kuweka unaitwa ww ni Pro-PutinHivi ni kwanini NATO na US waligomea kuweka No Fly Zone Ukraine?
Safi sana kamanda hapa ni kama umefanya counter offensive kwenye viunga vya Bakhmut baada ya mamluki wa kimagharibi kutaka kuvamia administration building's.Mkuu naona unaongea kipropaganda mno...yaani nakuangalia unavyoandika mada hapa hauna tofauti na wanyonyaji wa kizungu wenye siasa za kuzunguka mbuyu wakati nia yake ni akupige tukio huku unajiona na unakubali kupigika.
Zimbabwe ilichapisha banknote nyingi kwakua ilipata vikwazo kutokana na kufukuza wakulima wa kizungu, uganda ilichapisha banknote nyingi kwasababu ilipoingia mgogoro na Tz kpnd cha Idd Amin basi nchi zilizokua zinaidhamin misaada zilikatisha misaada, Tz iligoma kuchapisha banknote nyingi ndio ponapona yake fedha haikuporomoka sana, ukilinganisha na sarafu ya Kenya(baada ya vita ya Ug ndio kipindi kenya inaiacha nyuma Tz kiuchumi)..hadi leo hii vita ile imesababisha shida katika chumi za nchi hizo mbili,
N.korea baada ya kuwekewa vikwazo uchumi uliyumba fedha yao haukuweza kujitosheleza S.korea iliwekizwa kuiangusha N.korea, raia walitegemea zaidi kilimo cha ndani ya nchi, kama mazao hayakutosha basi baadhi walikufa njaa na wengi waliugua utapiamlo, na aliejaribu kutoroka nchi alipatikana na madhara makubwa ikiwemo kifo pindi akikamatwa anatoroka,serikali iliendeshwa kwa njia zisizo halali km black market na hacking kwny mitandao, je wajua ilipokosekana sababu ya kuiangusha fedha ya libya ni nini kilitokea? Je Iraq? Je misri? Unakijua kinachoitesa sudani na akiba yao kubwa ya mafuta? Somalia? Je Nigeria?
Cuba ilipowekewa vikwazo raia wengi walikufa njaa, wengi walitorokea Miami..fedha ya nchi ilidorora..unajua kwanini Cuba inajulikana kwa kuwa na madaktari bingwa wanaotibu maeneo mengi duniani tena burebure....? Kama hujui sababu muache basi propaganda za kizungu humu..mtaelewa kwanini US ana vituo vya kijeshi karibu 65% ya nchi zote duniani hadi nchini kwako, lkn huyo urusi tunaeambiwa ni mbaya na hatari kwa dunia hana hata kituo cha kugawa kondom nchini kwako.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...
As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?
Jack Taylor, Sky News forensic journalist
Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.
The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.
Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".
Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.
Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.
This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.
This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.
This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.
Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.
This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.
Copy link
Hapa Urusi alipiga ndege wengi kwa jiwe mojaASEAN considers dumping US dollar, euro, yen, pound
The Association of Southeast Asian Nations is considering dropping the US dollar, euro, yen and British pound to foster financial settlements via national currencies, ASEAN Finance Ministers and Central Bank Governors said at a recent meeting in Indonesia.
If such a measure is adopted, the ASEAN cross-border digital payment system will be further expanded. It will also allow member countries to use local currencies for trade, according to a briefing report.
The news came after a March 27 announcement by Indonesia's central bank the country is preparing to phase out Visa and Mastercard, while introducing its own domestic payment system.
Earlier, Indonesian President Joko Widodo asked regional administrations to start using credit cards issued by local banks, as moving away from Western payment systems is necessary to protect transactions from "possible geopolitical repercussions."
Subscribe to Russian Market
Hata miji mingine zilianza ngonjera kama hzi mwisho wa siku mpira uliwekwa kati.Bakhmut bado pagumu Sana kwa wavamizi...
As Wagner chief claims "legal" control of Bakhmut - what can we determine from night-time video?
Jack Taylor, Sky News forensic journalist
Earlier we reported that Russia's paramilitary Wagner Group has claimed to hold "legal" control over the city of Bakhmut.
The claims were made in videos posted by Yevgeny Prigozhin, the group's leader, one of which shows soldiers raising Russian flags on the ruins of a building.
Ukraine has reacted by dismissing the claims and a spokesperson for the military said that Wagner fighters had "raised the flag over some kind of toilet".
Sky News has verified that part of the video was filmed by the Bakhmut City Council building. Distinctive markings on the building seen can be matched to other verified videos filmed by soldiers in the area.
Other surrounding buildings, rubble and trees can be matched to existing verified videos and satellite imagery.
This is a screenshot from part of the video that shows fighters raising flags on rubble that is claimed to be the ruins of the city council building.
This video, posted today and filmed in the day time, shows what is left of the building and the flags themselves.
This location is currently on the assessed frontline in Bakhmut, according to data from the Institute for the Study of War.
Ukrainian forces still control a large portion of the embattled city and fighting has continued for months.
This isn't the first time that the Wagner Group has claimed successes in Bakhmut.
On 3 March, Yevgeny Prigozhin claimed that they had "practically encircled" the city and has continually made similar claims.
Copy link
Ujue bora ukose Pesa, unaweza pata wasamalia wema wakakupatia. Ila mtu akikosa akili kisha akajikuta mjuaji siku zote huwa anaachwa na Upumbavu wake.Umetumia vigezo gani kusema Finland anaimudu Urusi kivita bila nukes?
Finland unasema Yuko salama akiwa member wa NATO!
Hahahahah kwamba mwana ni Specialist wa fools. 🤣🤣🤣Dawa ya jeuri Ni kiburiView attachment 2574781
Maji wataita mmamda utaongea
💯🤝kama USA na NATO walienda kumpiga Saddam Hussein wa Iraq kwa kuivamia Kuwait,Kama NATO walienda kumpiga Slobodan Milosevc wa Serbia/Yugoslavia kwa kuwapiga Bosnia and Herzegovina na Kosovo,kama walienda kumpiga Muamar Gadafi alipowapiga wapinzani wake Libya.Bahati nzuri au mbaya zote hizo hazikua wanachama wa NATO lkn NATO walienda.
Leo hii matukio yote hayo yanafanana kabisa na tukio la Ukraine.
sasa NATO wanasubiri Nini kuingia vitani dhidi ya Urusi kwa staili ileile waliyotumia kwa nchi nilizozitaja?
Haka kachoko Zele kana laana mamaé
Saivi Putin (Russia) na Xi Jinping (China) wana ushawishi mkubwa sana kwa nchi za kiarabu kuliko Mmarekani
Hata Western watakuja tu upande Dunia ilipo. Itafika hatua wata kataa utumwa wa US. Hadi sasa wameanza kujitambua bila shaka.Saivi Putin (Russia) na Xi Jinping (China) wana ushawishi mkubwa sana kwa nchi za kiarabu kuliko Mmarekani
Kinacho shangaza zaidi, Viongozi wa Ulaya wanajua kwamba wanakuwa Black mailed na US,, lakini wanakubali kama mazezeta.Wanataka zipigwe za kuihakika,ili west wa-donate silaha zao then US auze silaha mpya kwa west...sasahivi kuna kafoleni ka bookings za silaha km nchi 30 hivi za ulaya..US amekaa paleee na "peni" na notebook anaandika "ODA" kila mu-west lazima aweke "oda" ukikataa kuweka unaitwa ww ni Pro-Putin