Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watakuwa mfano kwa kenge wengine 🤣
Hapo ndipo utakapo guduwa kwamba Wenzetu hawa ujiona ni exceptional - hata hapa Blinken hataki Raia wa Amerika wajuwe kwamba wanao zingumzwa ni POW (Prisoners of WAR), anataka Wamerika wafikiri walio tiwa mbaroni ni common criminals na sio wafungwa wa vita wakati watu wenye akili wanajua kwamba kuna baadhi/wengi wa jeshi la Amerika wanao pigana huko Ukraine huku wakiwa wamevalia uniform za jeshi la Ukraine.

Nani ambaye hajui kwamba masaa yote US thrives on uongo na ulaghai - kwa nini Blinken hasemi hao ni POW, kwani tatizo liko wapi - anafikiri akisema ukweli atapoteza nini - au ndio tunarudi kule kule kwa WMD, kuachiwa kwa wanajeshi wa Merikani nchini Urusi itakuwa aibu kubwa kwa Merikani yenyewe - kumbe ndio maana walikuwa wanag'ang'ania kubaki kwenye mahandaki ya Bakhmut na silaha zao - waliogopa kutambuliwa na taarifa zinasema wamekufa wengi kweli kweli kwenye mahandaki hayo.
 
Kwamba uchumi wa Japan umekuzwa na makalio yako ?
Unajua hata historia kidogo wewe kibushuti ?
Historia ya japan ni kwamba alipigwa bomu mbili na US, moja hiroshima nyingine nagasaki, ardhi iliharibika ina uranium inayoathir had kizazi cha kesho, ardhi haifai kwa kilimo wala makazi, US analipa fidia hadi leo kwenye ile nchi...na ndio nchi yenye deni kubwa zaidi duniani kulinganisha na GDP yake... Je una historia tofauti na hii?
 
Hapanaaa..tumelinganisha na Bahran oman huko..Hongkong nairobi jo-burg na kigali
 
Nafahamu sana hiyo mkuu.

Pale Texas ndipo kilipo kiwanda cha kutengeneza zile shells ambazo zahitaji malighafi ya chuma kutoka ........ na ......

Ufaransa nako kipo kiwanda kingine jina kapuni kwa sasa) ambacho chatengeneza silaha nyinginyingi za aina hiyo.

Kila taifa la Ulaya Magharibi lipo njiani kuondoa stock ya zamani ili kupata stock mpya.

Yaeleweka mkuu.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Mrusi gani mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli ambaye taifa lake liliweza kishinda jeshi la kinazi la Hitler na kupoteza zaidi ya wanajeshi million ishirini, hivi mtu kama huyo anaweza kweli kuwa na ubavu wa kujitokeza hapa na kuanza kumlahumu Putin anaye jitahidi taifa la Urusi lisirudi tena kwenye UNAZI mambo leo ambao utakuwa even worse kuliko wa Hitler.

Hana hata habari kwamba mabeberu wanapania kweli kweli Urusi igawanwe vipande pande kama bara la Afrika lilivyo gawanywa huko Berlin comference kwenye miaka ya 1884-1885.

Mwandishi huyo kuandika na kuzungumza kirusi haimanisha moyo wake unajali hatma ya Urusi, hata Zelensky is very fluent in both spoken and written Russian na katika ujana wake aliishi na kufanya kazi sana Moscow, actually anazungumza na kuandika Kirusi vizuri zaidi kuliko ki Ukraine - but that does not make him Russian or does it?

Ni wazi mwandishi wa habari hizi hulka zake ni hizo hizo - kama karubuniwa na kulipwa na mabeberu kuandika habari ua kuisema vibaya Urusi inayo ongozwa na Putin,, binafsi naona muandishi wa habari hizi anapoteza muda wake bure, after all Putin kwa sasa asili mia 98% ya Warusi wana msupport kuhusu vita inayo endelea huko Ukraine - sisi watu baki ni akina nani kupinga maoni ya Warusi wenyewe mpaka tulazimike kukaa chini na kumsikiliza mwandishi wa habari hizi seriously.
 
Kwa hiyo viwanda vinajengwa hewani?
 
Mkuu kwa kawaida kitu kama "no fly zone" inatagazwa kwa ndege za wengine. Kuhusu mpango wa Biden kuleta F16 - je una ushahidi wowote? Sidhani upo maana huwezi kumweka rubani katika ndege ya aina hiyo na kumwabia "ruka". Atahitaji mazoezi miezi mingi angalau 9. Je umesikia kwamba wameanza kufundisha marubani wa Ukraine kwenye F16?
Pia faida za ndege imepungua jinsi tunavyoona. Warusi wanaogopa kuingia katika anga la Ukraine kwa sababu kwenye mwanzo wa vita walikosa kumaliza silaha aina SAM3 na SAM4 za Ukraine. Lakini kama Ukraine wangeingia anga la Urusi wangekuta silaha hizohizo.
 
Kuna watu wapuuz ila wewe naona utakuwa na mental health issues ,si bure Comment ndefu ,ushuzi na uharo mtupu , uparato ,mavi mavi
 
Mkuu jenerali si kijana. Ana familia yake, ana ndugu na majirani ya miaka mingi. Habari za kifo za mtu mkubwa haziwezi kufichwa. Labda kama ni mmoja, kamwe kama ni wengi mlivyodai. Tena inaonekana kama kundi la majenerali kwa ghafla hawaonekani tena mahali popote. - Kama stori hiyo ingekuwa na msigi wowote, habari zingesambaa tayari. Ila hakuna daili hata punje.
Nimeomba hapa mara kadhaa kuoonyeshwa ushahidi. Hadi sasa mahubiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…