Umeona nimeandika kiwanda hapo mkuu..? Nimeacha makusudi ili nione kama kweli unafuatilia yale maeneo yametumika kwa kazi gani...hapa nimeamin unaifuatilia Japan...sasa niambie kama ww ni Mkenyabau Mtz halafu Uchina au Saudia ikaipga nchi yako nuke 2...na kuanza kulipia madhara ya hizo nuke..hebu toa neno 1 kwa kadhia hiyo..utawachukuliaje?Kwa hiyo viwanda vinajengwa hewani?
Huyo kibaraka wa westKipanya,hivi wewe ni black or white,where does so much love for the West come from.Don't you really know that to the West you are trash to be tramped upon.Do I believe that you do not know that to the West you are just a grasshopper to be sprayed upon with a pesticide and die away because you are a useless eater and a liability to Earth because you are polluting it?Don't you really know that you are a mortar vessel which is discarded after use because it is no longer valuable?Kipanya wake up,you are human not Alien,those you are supporting and crazy about are using you for their evil agenda,but you are not part of them.
Read and listen to this clip,if you are not already a Zombie,may be,I say may be you will change your mind.This is what the people you are supporting are doing to me,you,our wives and children,relatives and all of humanity.Are you sure you really want to be part of them and collaborate with them in advancing their evil psycopathic agenda against humanity?I strongly advice you to think again.
NYETO waache porojo na vikao vyao visivyokomaPutin wanted to 'slam NATO's door shut' but 'failed' - Stoltenberg
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has welcomed Finland to the military alliance by referring to the Ukraine war, saying: "At times like this, friends and allies are more important than ever."
Speaking at a news conference with Finnish President Sauli Niinistö, he said: "Finland now has the strongest friends and allies in the world.
"President Putin wanted to slam NATO's door shut.
"Today we showed the world that he failed - that aggression and intimidation do not work.
"Instead of less NATO, he has achieved the opposite - more NATO.
"And our door remains firmly open."
Mr Stoltenberg said the Finnish flag would be "raised at NATO's headquarters for the first time today - 31 flags will fly together, a symbol of our unity and our solidarity".
He said that joining the alliance is good for Finland, good for Nordic security and good for NATO as a whole.
He also said Finland had substantial and highly capable forces and years of experience working alongside NATO.
Mr Stoltenberg said he looked forward to welcoming Sweden as soon as possible.
He said Sweden had "delivered" on commitments it had made and nothing should hinder its final ratification as a member of NATO, describing it as a "top priority".
===========================
Poor Putin.....
https://news.sky.com/story/ukraine-...-wagner-12541713?postid=5732039#liveblog-body
Kwani mimi ndiye niliyemtuma awe mpiga punyeto?Sasa mambo binafsi kumuhoji mwanamme mwenzako ndio nini?
Ndio hoja yako hiyo ya kumpinga ya alichokisema?
Faida za ndege zimepungua kwako wewe km wewe mkuu au kwa NATO kuipa ndege Ukrain...maana unaandika vitu tofauti na vinavyofanywa pale ukrain mkuu..ndege zinapelekwa, Zelensky aliomba vikwazo NATO wakatimiza, akaomba munitions na kila aina ya silaha wakampa, akaomba tanks, wamempa leopad, challenger, Abrahm znaenda, ameomba f-16 wamemuambia aanze na hizi za ukanda wao ambazo maruban wa ukrain wanazijua, unahisi hawatawapa f-16 had f-35? Au wewe hukumsikia Macron akilaum maombi ya zelensky ya kila aina ya silaha mwisho ataomba askari wa nato waingie kazini...Mkuu kwa kawaida kitu kama "no fly zone" inatagazwa kwa ndege za wengine. Kuhusu mpango wa Biden kuleta F16 - je una ushahidi wowote? Sidhani upo maana huwezi kumweka rubani katika ndege ya aina hiyo na kumwabia "ruka". Atahitaji mazoezi miezi mingi angalau 9. Je umesikia kwamba wameanza kufundisha marubani wa Ukraine kwenye F16?
Pia faida za ndege imepungua jinsi tunavyoona. Warusi wanaogopa kuingia katika anga la Ukraine kwa sababu kwenye mwanzo wa vita walikosa kumaliza silaha aina SAM3 na SAM4 za Ukraine. Lakini kama Ukraine wangeingia anga la Urusi wangekuta silaha hizohizo.
Mkuu pole na uchovu!Mkuu usikatae...Urusi sio chizi kugharamika kuunda silaha yenye uwezo wa kutoboa zege, concrete rooms 400ft+ hapo ni kama ghorofa ya floor 30 kwenda underground....msitufanye mapimbi wa kiasi hicho mkuu...inatosha tumewachoka na uwongo wenu..acha kama serikali hazitatoa siri basi miaka ijayo familia zao zitasimulia chochote kuhusu hili tukio mkuu, time will tell..Urusi sio kichaa..ingekua nchi ya vichaa basi hadi leo mngekua mmehamia kituo kingine cha Iran...maana ndio kituo kilichokua kinafuata baada ya Urusi, na kilichokua kinafuatia ni Uchina mkimalizia na N.korea huku mkija kupumzika Congo kwenye dhahabu...Mungu anawaona lkn..
Huyu bwaa machuma Chuma amepaniki mno tangu amerudi sijui wamemfanya nini huko alipokuwa.... Amekosa utulivu kabisa uliomuheshimisha .... Panic is real...Mkuu kunywa maji kwanza hasira zipungue, uandike hoja zako vizuri bila hasira.
Inaeleweka anahitaji grenedi na vifaru. Amepata vichache. Ndege za kisasa - ningeshangaa sana kama angepata.Zelensky aliomba vikwazo NATO wakatimiza, akaomba munitions na kila aina ya silaha wakampa, akaomba tanks, wamempa leopad, challenger, Abrahm znaenda, ameomba f-16 wamemuambia aanze na hizi za ukanda wao ambazo maruban wa ukrain wanazijua, unahisi hawatawapa f-16 had f-35?
Mzee wa fizikia Unarudia tena pumba yako ushasahau kama ulikataa hata hiyo hypasonic kua haiwezekani.Mkuu pole na uchovu!
Kuhusu stori hiyo: kwanza narudia ni uwongo mtupu kwa sababu hapakuwa na kundi la majenerali wa NATO hujo Ukraine. Nimeomba mara kwa mara kupata uthibitisho wote - je umeona wewe???
Sasa kuhusu stori hiyo
1) inasema handaki ilibomolewa Lviv. Lviv iko kilomita 20 kutoka mpaka wa Poland. Kama majenerali wa NATO wangepanga vita ya Ukraine - kuna sababu gani kuwaficha kwenye handaki Lviv ukiweza kuwapanga bila handaki na salama kabisa upande wa Poland? Umbali wa 20 km ????? (uwongo wa kijinga)
2) stori inasema Warusi walikuta maiti 40 baada ya shambulio hilo ilhali wengine walikaa chini ya mabaki ya handaki - Warusi gani??? Walifikaje??? Lviv iko magharibi ya Ukraine. Hakuna askari wa Kirusi aliyewahi kukaribia Lviv hata kidogo. (uwongo wa kijinga zaidi)
3) Ninavyojua stori hii ilitokea tu kwenye tovuti mbalimbali za propaganda ya Kirusi kwenye nchi za NATO (tovuti za Kigiriki, Kiaustralia, kimarekani) lakini haikutajwa katika matangazo rasmi ya Urusi. Jeshi la Urusi (kama majeshi mengine) linapenda sana kujisifu - kwa nini wamaacha nafasi hii? LAbda kwa sababu si kweli kabisa???
4,) Pamoja na hayo - hakuna sababu ya kuamini kuna bomu linalofika kwenye handaki mita 130 chini ya ardhi. Najua Marekani walitengeneza kitu kikubwa kinachofikia mita 60 (ardhi/mwamba, si saruji). Kidude cha Marekani kina urefu wa mita 6 na uzito wa kilogramu 14,000. Nisipokosei wanatumia Urani. Kinzhal ina kilogramu 4,300 kg pekee. Ilhali kasi yake ni kubwa zaidi inagonga kwa nguvu zaidi. Ila haiwezi kuingia hadi mita 100. Hii si swali la kupenda au kutopenda au la "genius", ni swali la fizikia tu. Kwa hiyo uzito+kasi+umbo. Nionyeshe fizikia inayofika mita 130. Karibu sana!
Ndio hayohayo yameanzia Crimea, Mariupol, kherson, zoporizhzhia,Soledad, bakhmut, Donetsk, Luhansk .... Sasa mjomba .... Kama haya machuma ya enzi za Stalin yamechukua maeneo yote hayo ... Basi dozi hii inawatosha hakuna haja ya kubadili subscription mkuu... Malizia kwanza hii dozi ya kizamani " Chloroquein" .... Mseto itakutesa .... Tafadhali malizia dozi ya Stalin kabla haujaanza ya Putin. Maumivu yakizidi muone daktari. UraaaaaaaKama haya mavyuma chakavu yenu mliyoacha mji mkuu View attachment 2575537
Hawa ndio utakuja kuwasikia mbeleni .... Ukraine alishinda ...maana Finland alipewa kipondo heavy mpaka akaamua kusurrender eneo vita viishe ila Wanyato wa bunyokwa wanakwambia Finland alishinda .... Na hapa kwa Ukraine wanakaza fuvu na wanajua wanachapika.... Wanamsubiri Chuck Norris na Arnold Schwarzenegger waje kuwakomboa na Rambo .... Watasubiri Sana ...Hawa si ndio walipigwa hawa na kuchukuliwa asilimia 10 ya eneo lao.
Au Mivyuma vyuma anaizungumzia Finland iliyopo kwenye sayari nyingine?
Ila buraza kwa kujizimaga data na kuhamisha magoli upo vizuri ...ukibanwa huku unarukia kule kama swala nyikani... Nikuulize ...hili la Kuhusu Bomu kutua Poland ...Rais wa Ukraine alisemaje!!?? Kuwa lilipigwana nani!!? Kabla ya kukanushwa na wanachama wa NATO.... Nikumbushe tu Zele aliclaim nini Kuhusu Hilo Bomu... Usihamishe magoli ..naomba jibuSasa unasema kombora la Ukraine likaanguka upande wa Poland. Then hapa ulitaka wafanyeje hao NATO ⬇️
NATO Secretaty General namuonaga kama ni mtu crazy kidogo - sasa anamaanisha nini anapo sema Putin wanted to slam NATO's door shut wakati akijua mataifa ambayo yalikuwa yanazikatalia hizo nchi mbili za Nordic kujiunga na NATO ni Turkey na Hungary, lakini hata hivyo Sweden bado haijakubaliwa, sasa huyo huyo Secretary General anataka kusema kwamba mlango wa NATO bado ni still ajar, kama mo hivyo mbona Sweden bado haijakubaliwa.Putin wanted to 'slam NATO's door shut' but 'failed' - Stoltenberg
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg has welcomed Finland to the military alliance by referring to the Ukraine war, saying: "At times like this, friends and allies are more important than ever."
Speaking at a news conference with Finnish President Sauli Niinistö, he said: "Finland now has the strongest friends and allies in the world.
"President Putin wanted to slam NATO's door shut.
"Today we showed the world that he failed - that aggression and intimidation do not work.
"Instead of less NATO, he has achieved the opposite - more NATO.
"And our door remains firmly open."
Mr Stoltenberg said the Finnish flag would be "raised at NATO's headquarters for the first time today - 31 flags will fly together, a symbol of our unity and our solidarity".
He said that joining the alliance is good for Finland, good for Nordic security and good for NATO as a whole.
He also said Finland had substantial and highly capable forces and years of experience working alongside NATO.
Mr Stoltenberg said he looked forward to welcoming Sweden as soon as possible.
He said Sweden had "delivered" on commitments it had made and nothing should hinder its final ratification as a member of NATO, describing it as a "top priority".
===========================
Poor Putin.....
Ukraine war latest: Russia warns of 'significant expansion of conflict' as border with NATO doubles
Buraza amepanic vibaya mnooo.... Muonee huruma .... Shigongo aliambiwaga na Zakhia Meghji "kunywa maji mwanangu".....Aisee,umejibu kitoto sana tofauti na nilivyotegemea!Uwe na usiku mwema!