Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

China ana akiba kubwa ya pesa za kigeni, maana yake hiyo pesa imewekwa Kwa thamani ya dollar ili iwe rahisi kueleweka, lakini katika hiyo akiba ya pesa za kigeni kuna ruble, dollar, pound, yen, franc n.k
 
Kuna kipindi mmarekani alijiona kama mungu mtu, Hali ilivyo sasa haamini macho yake
 
Ukrainian YPR-765 APC destroyed. These are variants of the M113 APC which has hardened aluminium armor.

Aluminium on its own is very soft, that’s why drink cans can be crushed easily. So to make it harder, they mix it with other metals. But this makes it very brittle, so whenever the armor is pierced, small fragments will fly everywhere like a giant shotgun
 
do you mean NATO went to Libya, Afghanistan, Iraq, Vietnam, Yugoslavia ...to promote peace, security, democratic values that you illustrate in your text?
 
China ana akiba kubwa ya pesa za kigeni, maana yake hiyo pesa imewekwa Kwa thamani ya dollar ili iwe rahisi kueleweka, lakini katika hiyo akiba ya pesa za kigeni kuna ruble, dollar, pound, yen, franc n.k
Mkuu nimeleta juu chanzo kinachoonyesha USD ilikuwa asilimia 58 za Forex ya China mnamo 2019, labda imepungua kidogo. Pesa nyingine inayowekwa akiba ni Euro, halafu kwa kiasai kidogo Pauni na Yen. Ruble sijawahi kusikia. Franc haiko tena.
 
Hakuna hata kumbikumbi kutoka hapo Bakhmut.wote waliojificha awana budi kujisalimisha kwa PMC Wagner.


Hali ilivyo kwenye njia ya Bakhmut kutokea kwenye mji wa Chasov yar, mji ambao vikosi vya Zelensk vinakimbilia kwa sasa kutokea Bakhmut.

Njia kwa sasa imekuwa ngumu.Warusi wanashambulia chochote kile kinachokatiza kwenye njia.

Barabara imejaa magari ya kivita na vifaru vya jeshi la Ukraine kila sehemu.






Your browser is not able to display this video.
 
do you mean NATO went to Libya, Afghanistan, Iraq, Vietnam, Yugoslavia ...to promote peace, security, democratic values that you illustrate in your text?
Nato haikuenda Vietnam.
Ilienda Yugoslavia kuzuia mauaji ya Waislamu na Wakroatia na Waserbia (si sana kwa upendo lakini kwa hofu ya wimbi kubwa sana ya wakimbizi),
ilienda Afghanistan kwa sababu mwanachama wa NATO alishambuliwa kutoka eneo la Afghanistan.
Nato haikuenda Iraq ila nchi wanachama mbalimbali walienda wakifuata uwongo ulioaminiwa.
Heri tusikoroge kila kitu.
 
Sasa kwenye Russia Oil and Gas: Swift haitumiki. Western Oil and Gas Tankers hazitumiki Western banks and insurance hazitumiki Contracts zipo kwenye NDA agreements.
Hao westerns wanawezaje kufahamu current status za Revenues...?
Labda wakisoma magazeti ya Kirusi?
Ona Komersant ya Januari:

«Газпром» учится жить без Европы ​

Экспорт компании в 2022 году побил антирекорд ​


80K 5 2 мин. ...

Экспорт «Газпрома» на ключевые для него зарубежные рынки в 2022 году рухнул на 46%, до 100,9 млрд кубометров, тем самым достигнув самого низкого уровня в истории компании.

Kwa maana: Mauzo ya Gazprom kwa masoko yake muhimu ya nje mnamo 2022 yalishuka kwa 46%, hadi mita za ujazo bilioni 100.9, na hivyo kufikia kiwango cha chini kabisa katika historia ya kampuni.
Bado unashangaa hao westerns walijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…