President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwani wewe kuwa mfuasi wa Mfalme Zumaridi ni Dhambi?Hapa hakuna mambo ya wafuasi, kuna kukubaliana na hoja na kupingana na hoja. Pia kuna hoja zisizo na hadhi ya kupingwa au kukubalika (Hoja za Kupuuzwa) zisizohusiana na mada na zisizo na manufaa kwa msomaji.
Hoja hii ipo kwenye kundi la hoja zilinzo nje ya mada. Ni hoja zisizo na elimu yenye manufaa yoyote kwa wasomaji.Kwani wewe kuwa mfuasi wa Mfalme Zumaridi ni Dhambi?
Wakianza kutembezewa mkong'oto hao mitume wenu endeleeni kutulia hivyohivyo!Counter - offensive ilikwenda na maji pale makamanda wa NATO walipouliwa kwenye handaki. Mchezo ulimalizwa siku ile.
Kwani kujibu ndio au hapana unaona aibu? Mbona kushabikia LGBTQ huoni aibu?Hoja hii ipo kwenye kundi la hoja zilinzo nje ya mada. Ni hoja zisizo na elimu yenye manufaa yoyote kwa wasomaji.
Endeleeni kupeana matumaini [emoji16][emoji28][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji635][emoji123]
Da ila mwamba unachambua vizuri sana,kwa hoja na data.
Atakae kubishia hiyo kazaliwa hivyo TU.yaani mbishimbishi
Dah nilikua nafatilia mjadala,nikadhani Nina kitu Cha kujifunza kumbe ni walewale.Ukifuatlia kwa makini historia ya Putin akiwa trainee wa KGB, alifeli mara kadhaa test yoa kupima risk level awareness. Ndiyo maana hakuwahi kupewa assignments ambao ni risky; alitumia muda wake wote wa KGB akiwa ama ndani ya Urusi au akiwa Ujerumani mashariki ambayo ilikuwa ni nchi freindly. Failure hiyo ndicho kichaa chenyewe kilicholeta balaa duniani sasa. Notion ya kudhani kuwa kila mtu ni "adui" yako na kurudia mawazo ya kizamani ya cold war ndiyo indicatation ya failure hiyo.
Aisee kumbe jamaa yangu wewe bado uko nyuma sana ya kufikiri.Marekani na nchi nyingi za Magharibi zilikuwa zimeinvest sana huko urusi mpaka makampuni ya mafuta kama Exxon Mobil yakapeleka teknolojia za kisasa sana za uchimbaji wa mafuta. Kweli watu walioweka investments zao ndani ya Urusi wawe ni maadui wa urusi kama siyo kichaa chenyewe hicho.
Hhiiii bhaghoshaaaaTupate matangazo kutoka Kwa wadhamini wetu [emoji56][emoji3059][emoji56][emoji56]View attachment 2581428
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"a cerebral haemorrhage"Kwani kujibu ndio au hapana unaona aibu? Mbona kushabikia LGBTQ huoni aibu?
Ngoja nikuulize swali unalolipenda wewe kwenye LGBTQ ni mwanachama nambari ngapi?
Je, kwanini unashabikia LGBTQ?"a cerebral haemorrhage"
Kusoma hoja za aina hii ni sawa na kumtazama mtu aliyepatwa na hiyo hali. Ni jambo ambalo hakuna binadamu anataka kutazama binadamu mwengine akipitia hali hiyo.
Ha ha haaMiscalculation how? Mpaka sasa kuna kipi kwenye hii OP ambacho Russia wanakijutia kuliko Ukraine, tuache mihemko hebu tujadili kwa hoja! Kuna sentensi ukisoma unaweza kudhani Moscow imetekwa na putin ameuwawa au kukimbilia uhamishon
Ile kauli ya Macron imewachoma sana viongozi wa US.
View attachment 2583406
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji635][emoji123]
Da ila mwamba unachambua vizuri sana,kwa hoja na data.
Atakae kubishia hiyo kazaliwa hivyo TU.yaani mbishimbishi
Nilikuwa sitaki kuandika lolote kwenye mjadala huu tena ila wewe nitakujibu. Kwanza tumia lugha nzuri kujibizana hoja, ukianza lugha mbovu hata mimi ninazijua sana. Naona unaanza na lugha mbovu lakini nitaziacha kwa wakati huu.Dah nilikua nafatilia mjadala,nikadhani Nina kitu Cha kujifunza kumbe ni walewale.
Kuweka dharau nyingi kumbe hamna kitu.
Kwa hiyo mwenye mawazo ya kizamani ni Urusi ambae tayari Alisha vunja hata Warsaw Pact,lkni yule anaeng'ang'ania kupeleka silaha za nyukilia ulaya mashariki,kuendelea kuitanua NATO ulaya mashariki,aliekua akitoa mafunzo ya Siri kwa Ukraine kwa miaka zaidi ya 14,kusamabza makambi ya kijeshi kuizunguka Urusi kuanzia west Europe,middle east,Korea kusini,far east huyo Hana mawazo ya cold war?
Kwa hiyo kufanya afanye USA,akifanya Russia huyo ana mawazo ya cold war.
Yaani mtu kama wewe ungekua ndio Mkuu wa ujasusi wa Urusi,nadhani Yankee wangekua wanakunywa kahawa Kremlin siku nyingi,kwamba huoni kitisho anachokipotia Urusi dhidi ya maharamia wa Amerika.
Aisee hapa umechemka.
Aisee kumbe jamaa yangu wewe bado uko nyuma sana ya kufikiri.
Hivi Kampuni kuwekeza katika nchi adui ndio guarantee ya kutokuhujumu?
Je mambo ambayo Marekani alikua anayafanya kwa Siri nchini Ukraine kwa ajili ya kuja kumdhuru Urusi baadae ambayo Urusi kayagundundua hiyo nayo unaichukuliaje?
Je hukubali pia kua USA alikua amejikita kuiwezesha kijeshi Ukraine ili kuja kuihujumu Urusi baadae?
Mfano mwingine,USA ana makampuni mengi sana nchini china pia,lkn je uhusiano wa china na USA ukoje kwa Sasa?
Tunajaribu kuwaza kama kila saa unaandika hilo neno sababu limekukaa akilini, maneno ya aina gani yanatoka kwenye tundu lako unapoongea?Je, kwanini unashabikia LGBTQ?
Wewe unaandika ujinga hadi unakera..et poor judgement..hivi unajua Putin alifanya nini mara baada ya waandamanaji kuvamia ofisi ya KGB -East Germany???Na wewe pia kimbelembele; hiyo bio uliyoweka imenyesha wapi kuwa alikwenda Tanzania. Afterall inaonyesha kuwa alimaliza chuo mwaka 1975, kwa hiyo mwaka 1973 asingekuwa na sifa za kuwa mkufunzi wa mambo ya kijeshi kuja kufundisha Tanzania. Mwishoni mwa mwaka 1975 alijiunga na KGB kwa hiyo ilibidi apitie mafunzo mbalimbali ya ukachero na ya kijeshi, ambako alifeli mafunzo ya ukachero baada ya kukutwa ana poor judgement ya risk level. Kwa hiyo akawa ni ofisa wa KGB ambaye hakupewa mission risky akawa yuko makao makuu tu kwa muda mrefu sana. Poor judgement aliyoonekana nayo wakati huo ndiyo inayoleta hili balaa la Ukraine leo.
Je wenzako wafuasi wa NATO wanajua kuwa wewe ni LGBTQ?Tunajaribu kuwaza kama kila saa unaandika hilo neno sababu limekukaa akilini, maneno ya aina gani yanatoka kwenye tundu lako unapoongea?
View attachment 2583593
Na wewe una ugonjwa ule ule! Hauna dawa.Wewe unaandika ujinga hadi unakera..et poor judgement..hivi unajua Putin alifanya nini mara baada ya waandamanaji kuvamia ofisi ya KGB -East Germany???