MRE ni Meals Ready to Eat, ni biashara ambayo kuna makampuni kwa sasa yapiga faida kubwa sana.Kuna kitu kinaitwa Ration pack au MRE, ili kuifahamu vizuri zaidi ingia youtube andika MRE then chagua ya nchi husika uone vilivyomo kwenye package yake.
SLovakia inazo hizo Mi-G29 lakini hazina uwezo wa kufanya kazi.Acting Defense Minister of Denmark Troels Lund Poulsen said on April 11 that the West could make a decision on the transfer of fighter jets to Ukraine "before the summer" following the delivery of MiG-29 aircraft from Poland and Slovakia.
Learn more: Denmark says West may decide on fighter jets for Ukraine 'before summer'
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ingeongoza US, ingekua kipimo ila kwa kua kwenye list US hayupo Top katu haiwezi kua kipimo. We call it west Standard of "View" ukibisha we ni kibaraka wa Putin. Wakuu Nchi ngumu hii 🤣.Kwahiyo high purchasing power sio kipomo cha ukwasi? Duuh elimu yetu sijui imeingia mdudu gani[emoji45][emoji45]
Ungekuwa na akili ya kuchambua issues usingeileta habari hii kama kejeli.....Nadhani what is bwhind Lukashenko's statement. Hapo ni kwamba Belarusi muda wowote itaingia vitani iwe kutokana na false flag au vinginevyo. Ile counter offensive ya Ukraine ikianza Russia na Belarus wataanzisha front mmashambulizi kuelekea Kiev.....wakati ile ya mwanzo ya February 2022 ilikuwa ni geresha hii itakuwa sasa ni for real...Acha kitete, si uliyataka mwenyewe nini tena ? 😀 😀
Belarusian president meets with Russian defence minister
Belarusian President Alexander Lukashenko met Russian Defence Minister Sergey Shoigu for an unannounced meeting in the Belarusian capital Minsk, Belarusian state-owned news agency BelTA reported.
Lukashenko said Belarus needs guarantees that Russia will defend Belarus “like its own territory” in the event of external atta
😆😆😆😆Ingeongoza US, ingekua kipimo ila kwa kua kwenye list US hayupo Top katu haiwezi kua kipimo. We call it west Standard of "View" ukibisha we ni kibaraka wa Putin. Wakuu Nchi ngumu hii 🤣.
Si nfio hapo mkuu,halafu mtu anazungumza with confidenceDuuuh..hivi mnasoneaga wapi ujinga .... Na sisi tukajifunze.... Kwa jibu lako hili nadiriki kusema HAUJUI LOLOTE KUHUSU INTELLIGENCE AND ESPIONAGE...POLE
Pole sana mnamaPrigozhin kabwaga manyanga [emoji1787][emoji23]
[emoji298][emoji298]Wagner Group founder Yevgeny Prigozhin said in a video posted on April 11 that his mercenaries had "handed over" the left and right flanks near Bakhmut to the Russian Defense Ministry, namely airborne forces.
Learn more: Wagner Group founder: Flanks of Russian offensive on Bakhmut 'handed over' to defense ministry
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Koti likikubana unalivua,ulaya imekuwa koloni la Marekani, na SASA mgogoro wa ukreni na URUSI umewazinduaBasi kama chanzo nihilo la kumfanya Astuke basi Ni kubwa jinga
yaani Kachelewa sana kujua hilo
mbona nijambo hata mpuuzi analijua
lengo kuu la Marekani ni Kuivuruga Ulaya au Ulaya kuwa Chawa wake tu kwa malengo yake
Yaani Ukubwa wa Ufaransa Asiwezi Ligundua hilo!
Mie nahisi kuna kitu alienda China Kuomba Ushirikiano maana Anataka kulibutua
Jeshi la nchi nzima sasa litakuwa mipakani kuzumguka russia huku vikosi vichache vikipewa jukumu la makomboraNaona Sasa Kamanda Kajua Kunifurahisha sasa
Anasema hakuna Haja tena Yakuwatoa Kafara Wanajeshi wake wa Urusi kwenye Misitu na Vichaka tena Kwa Hao Mburula Walio Jichanganya na NATO
wakati wanao Uwezo na Njia Nyingine Bora kuifanya Ukrein Ijisalimishe Haraka
Surovikin : “I don't want to sacrifice any more Russian soldiers in а guerrilla war against hordes of fanatics armed by NATO. We have enough forces & technical means to bring Ukraine to complete surrender"
Mkuu huyo Rais wa Ufarance amechemsha; kwa hiyo hataki tena kuwa chawa wa Merican bali anataka kuwa chawa wa Mchina au Mrusi? Mshaurini abakize maneno, kuna kesho.wakuu huyu macron au ametolewa copy Baada ya kwenda china [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yupo Netherlands lkn bado anaendeleza compaign Europe kutokuwa remote ya USA Kwenye migogoro yake na nchi nyingine. Mfano hapa " Europe must not be a "follower" of either Washington or Beijing on Taiwan."
Pia anashangaa Europe alikuwa mbabe eti Leo yeye ndo anapangiwa na USA nini kifanyike ......Nani awekewe sanctions[emoji23][emoji23]
nukuu " This means that we must strive to be rule-makers rather than rule-takers."
Je. Unabii ndio unaenda kutimia kuanguka Kwa ule mti mkubwa wa magharibi???
............hotuba yake hii
Macron outlines vision for 'European sovereignty’ at a Hague speech disrupted by hecklers
French President Emmanuel Macron delivers a speech to the Nexus Institute in the Amare theatre in The Hague on April 11, 2023 as part of a state visit to the Netherlands. [emoji2398] AFP - Ludovic Marin
Speaking at the Hague on Tuesday, French President Emmanuel Macron spoke of his vision for a new era of “European sovereignty” in which the Continent can choose its own partners and “shape its own destiny”. His address was briefly disrupted by protesters who attempted to shout him down.
Macron's speech, made during the first state visit to the Netherlands by a French president in 23 years, was closely watched by analysts and allies alike as it centered on European sovereignty. It came just days after the French leader sparked concerns among allies after he said in an interview that Europe must not be a "follower" of either Washington or Beijing on Taiwan.
“European sovereignty” might have once sounded like just a “French idea”, Macron said, or even “wishful thinking”, but pointed to the danger of a Europe that is too dependent on other world powers, saying it places Europe in the position of not being able to decide for itself.
European sovereignty should mean that the Continent can “choose our partners and shape our own destiny” rather than being “a mere witness [to] the dramatic evolution of this world”, he said.
“This means that we must strive to be rule-makers rather than rule-takers."
But Macron also said Europe would maintain robust relationships with its allies.
"[T]his we can do in a cooperative manner in keeping with our spirit of openness and partnership.”
Macron said the pandemic was a “wake-up call” as Europe discovered how dependent it was on other nations.
Protesters disrupt speech
Just as Macron began his address, protesters disrupted the speech.
“Where is French democracy? When did we lose it?” they shouted from the theatre, in a likely reference to the French president’s controversial pension reform at home.
Two female protesters held up a yellow banner saying “President of violence and hypocrisy” while one male protester on the other side of the theatre held a blue banner aloft.
“I can answer this question if you give me some time,” Macron responded.
Security guards escorted the demonstrators out of the hall after about one minute, and Macron noted that: ‘A democracy is exactly a place where you can demonstrate.”
He went on to say that it was “very important to have social debate” and that “I can answer all the questions you have on what we are discussing in France”.
Take international news everywhere with you! Download the France 24 app
People who do “whatever (they) want” against laws they disagree with “put democracy at risk”, he said.
Macron is facing the biggest challenge of his second term over his flagship pension overhaul, which includes raising the retirement age from 62 to 64 and demanding people work longer for a full payout.
The 45-year-old French leader has faced a series of protests and strikes in France against the reform, with a new day of industrial action scheduled for Thursday.
(FRANCE
EheeNaona Sasa Kamanda Kajua Kunifurahisha sasa
Anasema hakuna Haja tena Yakuwatoa Kafara Wanajeshi wake wa Urusi kwenye Misitu na Vichaka tena Kwa Hao Mburula Walio Jichanganya na NATO
wakati wanao Uwezo na Njia Nyingine Bora kuifanya Ukrein Ijisalimishe Haraka
Surovikin : “I don't want to sacrifice any more Russian soldiers in а guerrilla war against hordes of fanatics armed by NATO. We have enough forces & technical means to bring Ukraine to complete surrender"
Sema huyu baba muongo khaa!Vipi mkuu shelves bado zina mikate au imeisha huko urusi?.
Sema huyu baba muongo khaa!Vipi mkuu shelves bado zina mikate au imeisha huko urusi?.