Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akili yako ni ndogo. Haina uwezo wa kung'amua mambo kwa mapana yake. Jitahidi uwe na jicho la tatu kwenye kila taarifa inayokuja humu.
 
Tukuamini wewe au?Yaani Kipanya umechanganyikiwa kabisa,naona jukwaa hili halikufai tena,ondoka,utapata sukari,pressure na ugonjwa wa moyo buuure.
 
Duh!.
 
Tukuamini wewe au?Yaani Kipanya umechanganyikiwa kabisa,naona jukwaa hili halikufai tena,ondoka,utapata sukari,pressure na ugonjwa wa moyo buuure.
Mkuu,hayo mambo nilianza kuambiwa tangu mwaka uliopita,mara kichaa,mara stress,mara sonona, lakini nazidi kuwapelekea moto tu[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Baadae mbeleni huko unakuja kuukataa uchambuzi wako kama kuna mtu bado anakuamini atakua mpumbavu wa mwisho.
Mimi nimeacha kufatilia uchambuzi wako baada ya kusema Russia wanatumia vifaa vya washing machine kutengeneza missile
Huyu jamaa ndivyo alivyo toka shule huwa anaongea pointless alafu ulikuwa ukimpinga anakununia
 
Nimecheka Sana mkuu. Umesema ukweli kabisa hata waukrein wenyewe wanakili.

⚡️"Ukrainian sources are, instead of reporting a withdrawal of Wagner Forces, are reporting large amount of Wagner Reinforcements to the sector of Artemovsk, they also see a fresh new detachment of Wagner on the Siversk Front. Whether this is an elaborate distraction for Wagner to open up a secondary front, we will see."
 
TG channel ya Ukraine imethibitisha kuwa nduli Kisha rejea. Soma hapa Chini .
Yesterday, Volodymyr Zelenskyy returned to Ukraine from his tour of Northern Europe - this became clear from his meeting in Kiev with a delegation from Bahrain .

The Bahrain Foreign Ministry confirmed the visit to Kyiv on May 5.
At the same time, the agency draws attention to those aspects of the visit that the Ukrainian side did not mention.

In Kyiv, Minister Abdullatif bin Rashid Al-Zayani called for "the need to stop the war in Ukraine" and "to achieve a political solution to the conflict through peaceful means, negotiations and diplomatic means."

He also reaffirmed Bahrain's position on the need to "start serious negotiations between the parties to the conflict" (Ukraine and Russia), as well as "show restraint and avoid escalation."

Anaejua kirusi soma hapa.
Вчера Владимир Зеленский вернулся в Украину из своего турне по Северной Европе - это стало понятно по его встрече в Киеве с делегацией из Бахрейна.

МИД Бахрейна визит в Киев 5 мая подтвердил.
При этом ведомство обращает внимание на те аспекты визита, которых не упоминала украинская сторона.

В Киеве министр Абдуллатиф бин Рашид Аз-Заяни призвал "к необходимости остановить войну в Украине" и "достичь политического решения конфликта мирными средствами, переговорами и дипломатическими средствами".

Также он подтвердил позицию Бахрейна о необходимости "начать серьезные переговоры между сторонами конфликта" (Украиной и Россией), а также "проявлять сдержанность и избегать эскалации".

Бахрейн в этом контексте поддержал три дипломатических формата - "усилия Его Святейшества Папы Ватикана, мирную инициативу президента Украины и недавние предложения, представленные Китайской Народной Республикой".

Отметим, что за несколько дней до визита в Киев глава МИД Бахрейна встречался с китайским и российским послами.

Сайт «Страна» | YouTube | Прислать новость/фото/видео | Реклама на канале
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2611726
Si unakumbuka pia ile Millitary Spy Satellite ya Marekani iliyoangushwa na Urusi?Ilikuwa ina provide GPS services kwa vifaa vya kijeshi vya Ukraine provided by the US,sasa haipo tena.Inachekesha sana,hadi huruma.Urusi duh,kiboko aisee.
 

Medvedev calls for “physical elimination” of Zelensky following failed assassination attempt on Putin​


 
Jamii forums kuna watu tunajua Physics na tunazitumia kwenye realworld applications tumetulia...

Narudia tena Hadi sasa hakuna proper Hypersonic cruise missiles kwenye Jeshi la nchi yoyote (Labda China, kwa sababu hawako kwenye vita, hatuwezi kuwapima).

All Balistic missiles are Hypersonic but they are not maneuverable, Russia walichofanya kwenye Khinzal wamebadili Iskanders missiles kuwa Air lunched wakaita Hypersonic cruise missiles.

Hypersonic cruise missiles are moving very fast, na kwa kinetic energy inakuwa nayo Material yake ya nje inapata heat kubwa sana ambayo inasababisha electronics zisifanye kazi vizuri.
 
Kumbe nawe chenga tu, nilikuwa naona unachambuaga vitu vya maana kumbe utumbo mtupu.
Hauna option zaidi ya kukasirika maana ukiamua kutetea hoja yako huwezi, njoo na data hapa badala ya kuniita chenga.
Russia mwaka 1992 wakati USSR inavunjika ilikuwa na watu milioni 148, mwaka 2022 ilikuwa na watu milioni 144. Mlishajiuliza kwanini tangu 1992 hadi 2022 kuna upungufu wa watu milioni 4?

USSR ndio nchi ya kwanza duniani kuruhusu utoaji mimba mwaka 1920 miaka hiyo kipindi kutoa mimba ni kosa la jinai nchi za Ulaya, tena mwaka huo Ufaransa ilipiga marufuku kutumia hata njia za uzazi wa mpango. Kuna miaka mimba zilizokuwa zinatolewa Urusi ni nyingi kuliko watoto wanaozaliwa.

Bado unaongeza ulevi wa kupindukia, ajari za barabarani nyingi (mlishajiuliza kwanini magari ya Urusi yalizingatia sana dash cam?), ugumba kwa wanaume, lower life expectancy, talaka za kutosha; hapa Urusi ina talaka nyingi mno kwa miaka mingi na ukitaka kujua hilo, tangu V.I. Lenin afariki maana yeye ndio alikuwa na familia yake mpaka mwisho, sikumbuki kiongozi wa Urusi kuishi na familia
Stalin mke wake alijiua, mtoto wake alifanya makusudi auwawe Ujerumani na mwanae mwingine alikimbilia Marekani. Yani nyinyi mnaona Urusi ya maana ila watoto wa vigogo wanaitoroka sana hiyo nchi. Putin mwenyewe hakai na familia na alimtariki mke wake, in fact ni vigumu sana kuona kiongozi wa Urusi kaambatana na mke wake na familia, hata picha si rahisi kuziona.

Mnaipenda Urusi na hamuijui
 
Mkuu wewe upo Buguruni,hujawahi kuona Hypersonic Missile,achilia mbali kuitengeneza,kwa hiyo hata ka-experience kidogo huna.Aliyekufundisha Physics mwenyewe anatoka Kibugumo,ana theory tu,dah,leo tukuamini!No,right inside you,you know that is impossible.

Tutamuamini Engineer Mrusi aliyeko kwenye kiwanda kinachotengeneza Kinzhal Hypersonic Missiles,Avangard Glide Vehicles na Zircon Hypersonic Missiles.

You want to tell us this is not true?👉

"Hypersonic missiles such as the Kinzhal are a fairly new breed of weapon that combine superior speed with the ability to maneuver to evade being shot down. Not only are they difficult to detect, but they make radical and unpredictable course changes as they get close to a target.

The Kinzhal, unveiled by Russian President Vladimir Putin five years ago, can accelerate to Mach 5 (five times the speed of sound) and may be capable of speeds of up to Mach 12, with a range to about 1,250 miles. The missile is also believed to be nuclear-capable.

An even more sophisticated weapon, Russia's Avangard hypersonic glide vehicle, can fly at speeds as high as Mach 27, according to the Kremlin. Another hypersonic missile, the Zircon anti-ship missile, has also reportedly been developed, but there are no reports of the Zircon or Avangard being used in combat.

Definition ya Hypersonic Weapon hii hapa👇

Hypersonic weapon


Description​

A hypersonic weapon is a weapon capable of travelling at hypersonic speed, defined as between 5 and 25 times the speed of sound or about 1 to 5 miles per second (1.6 to 8.0 km/s).
 
Ukiniambia nichague kati ya Iskander na Kinzhal nachagua Iskander kwa sababu ina warhead kubwa na gharama ndogo.

Kinzhal ni gharama zaidi kutengeneza na haina madhara makubwa ndio maana wanaitumia kwa kudolishia. Hypersonic missile inabidi iwe na layer kubwa ya materials ambayo yatakinga electronics dhidi ya joto kali. Hivyo linakuwa zito na inabidi libebe warhead yenye kilo chache na kuwa na range ndogo. Badala yake si unatumia stealth missiles kama LRASM ya Marekani, ni bora Wachina wanatengeneza hypersonic ziwe anti ship mbadala wa zile series za DF missiles kama DF-17. Hapo ukiwa na warhead ndogo na ile kinetic energy inatosha kuvunja meli.

Russia electronics industry yao ni dhaifu labda Kinzhal inategemea inertia navigation ambayo inafaa kwa stationary targets. Ile haina mambo mengi ila haiko very accurate.

Kuna cruise missiles za Russia zina madhara kina Kitchen hizo Kh series, Raduga na Kalibr. Ingawa inabidi ufanye evasion ya AD za Ukraine au ikiwezekana uziharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…