kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Huwezi kumuelewa chizi shekhe, ndio maana wote wanaomshangilia wanaonekana machizi vilevile [emoji1787]Mi huyu kiongozi wa wagna simuelewi juzi alisema ni ngumu Kwa Jeshi la Urusi kuiteka bamkhuti yote,leo hii anatangaza kuiteka yote
Yap,the truth will eventually showup,tusubiri."the truth will eventually showup itself"
Haya ndio maneno sahihi kutumika Kwa Sasa kuliko kumshangilia chizi mmoja kama zombie!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hili nz any western releted mjinga ni ww.Hao wapo kwa ajili ya kuwapa wajinga furaha ya muda mfupi [emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kawaida ya zele tu atakubali mji umeenda baada ya wiki tatu
NYATO wanajitahidi kuficha about Bahmut, but Prigo yupogo wazi kbs...huraaa Wanamgambo wa Mbagala kugalagaza nchi 50
Sio mara ya kwanza Kabunyau Security Company kuwaburuza NYATO, pale Afghan, wavaa makobazi waliwatatua marinda NATO wakatoka nduki huku wanadondosha watu kutoka kwa ndege za jeshi....
Punguani Zele anaiharibu nchi nzuuuri kwa kutetea maslahi ya Mashoga....Rais Kishoshia ni ndorobo kabisa!
umesahau soleda na mariupalVilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
BAKHMUT ishakwenda hukoMa-Sponsa wanasema kwamba walishampatia Zelensky kila silaha aliyohitaji kwa ajiri ya kufanya counter offensive. Lakini wana mashaka sana na hiyo counteroffensive yake.
Mkuu kp kipanya44 , kumbe silaha zote mmeshaletewa. Sasa mnaogopa nini kuanza counteroffensive.
View attachment 2615668
Hayo nilisema mimi MKUU na wala sio RUSSIA [emoji635] mimi nna nyadhifa gani pale KREMLINMkuu Bwana Utam ulisema hapa ikiwa tarehe 1 February kwamba Bakhmut ilishaanguka na kufikia Aprili Donbass itakuwa huru.
Aya sasa April imeisha tupo May, ngapi ngapi uko? Russia taifa kubwa au sio[emoji23]
Niletee ushahidi wa kuonyesha Pligozhin alishasemaga kuwa ameiteka Bakhmut yote.
Nipo nimekaa siti ya mbele nasubiri majibu
Nakazia tu hizi zimefichwaHimars [emoji777]
Jaguars [emoji777]
Depleted Uranium. [emoji777]
Patriot [emoji777]
F16 …
NATO Ni Jibwa Koko
Maeneo ya Bakhmut ambayo bado yanashikiliwa na vijana wakakamavu wa Kamanda Zelensky ni haya: -Kwani mpo Bakhmut mtaa gani maana mitaa yote ya Bakhmut inajulikana[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita haitasita mpaka malengo yafikiwe suala la kuacha SMO musahauRussia hajafanya any significant move na Ukraine hajafanya counterattack. Ingekuwa vizuri wakae wakubaliane kuacha vita maana wanachoshana
Kama tu kombora moja la kawaida alilotuma Russia kwenda Ukraine mwaka jana limepandisha bei cha almost kila kitu Tanzania hadi tooth pick na kiberiti, hebu fikiria kama Putin akiachilia ile Satan II ya nyuklia itakuwaje!NAOMBA KUJUA
KAMA BOMU LA NYUKLIA LITATUA RUSIA/WEST-MAREKANI KUNA MADHARA GANI YA MOJA KWA MOJA TUNAWEZA PATA HUKU AFRICA KUTOKANA NA MIALE YAKE (NAHISI TUPO MBALI SANA KUZURIKA NA MIALE HIYO )
......NAOMBA MAJIBU KWA ANAE JUA.....
HeheheeeWanakwambia ku technology alotumia mwamba camera zilishindwa kunasa idadi ya vifalu na vilikuw vingi tu kwenye kwaride la jana
Wanaume tuna retreat kwakwenda mbele,JE WEWE MWANAUME? KUWA MWANAUMEWanaume huko tayari wamechukua nchi.
View attachment 2628806
🇷🇺⚔️🇺🇦Bakhmut was completely taken - Yevgeniy Prigozin
@DDgeopolitics
Next time ukisikia tunasema tena tumeishiwa silaha ujue KIEV HAS FALLENMunataka kuniambia ndani ya wiki mbili yule muhuni prigozhin ameletewa silaha zote anazozihitaji kutoka kwa waziri wa ulinzi wa russia?
Tulipowaambia wagner hawana uhaba wa silaha kuna wahuni walishindwa kutuelewa, leo kiko wapi?
View attachment 2628855