Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Heheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KUNA YULE MCHUNGAMBUZI MMOJA YEYE KILA SILAHA YA URUSI NI MBOVU HAIFANYI KAZI KWA WELEDI YANI YEYE KUTWA KUZIPONDA EBU LEO AJE ATOE NENO JUU YA PATRIOT ZAO
.
.
nb: UPIGAJI WA NYETO NI HATARI KWA AFYA YA UBONGO
Safi sana RUSSIA [emoji635]Hii video inatisha
Muathirika wakwanza kabisa katika vita yeyote Ile hapa duniani basi Hua ni ukweli baada ya vita ukweli ndio hujulikana refer vita ya IRAQ [emoji1131]Huu mgogoro unaendeshwa kwa njia nyingi sana na mojawapo ni propaganda!!!!!!!! Naamini hata humu kuna watu wanalipwa kwa namna moja ama nyingine!!!!!!
Naamini mimi na wewe hatuujui ukweli kuhusu huu mgogoro!!!!!!!! Wakubwa wanaamua ni taarifa gani unatakiwa uipate na kwa wakati gani!!!!!!!!!!
Je, hii propaganda au ukweli?????
Russia 'has not even started yet'
Russia "has not even started yet" in Ukraine, a Kremlin MP has claimed.
In a clip shared by BBC journalist Francis Scarr, MP Alexei Zhuravlyov tells panellists on Russia's state television that Ukraine has undergone "full Nazification".
He says Russia should have two aims - the first being to "liberate those who want to be liberated" and the second is to "move our security borders away".
"Let me say this again, we have all the capabilities, means and resources. We are fighting," he says.
"As the president said, we haven't even started yet! That's the thing! It's true! Those aren't just empty words!"
Source:Sky news: 18/05/2023
Si wanasema hawapewi zakutosha vipi BAKHMUT kunaendeleaje ama ya SOLEDAR na MAURIOPOL yameikumba na BAKHMUTMpaka leo hujui kwamba Wagner wanapewa silaha na Urusi? Sasa kwenye mijadala unatafuta nini siku zote
Simu yangu ilikua rahisi sababu nilipiga screen shot kwakua nilijua ipo siku itahitajika kama ushahidi leo inakua ngumu kuipata sababu mpaka niisarch nasiikumbuki maneno wellNiliandika alafu ushahidi uko kwenye simu yako? Warusi bwana, kwani simu yako ni server ya JF.
Subiri mjirundike Bakhmut muingie mkenge mjue mnashinda alafu counteroffensive ipigwe eneo lingine. Kwa sasa jazana hapo Bakhmut punguzeni majeshi sehemu nyingine muhimu.
China ina lower birth rates hiyo inajulikana na China hawafi wengi kuliko wanaozaliwa. Russia wanazaliwa wengi na wanakufa wengi, na ipo miaka niliitaja Russia waliokufa ni wengi kuliko waliozaliwa.
Hiyo India ilishaipita China kwenye idadi ya watu kwa sababu Wahindi wanazaana sana
Lengo hasa la Ukraine ni kuja kujaribu kutumia storm shadow kushambulia Navy ya Urusi hapo baadae au hata anti ship missiles za US kama jeshi la Ukraine wanazo - hilo ndilo lengo kuu la mabeberu waki shirikiana na Ukraine, wanataka kuzamisha Navy yote ya Urusi ikiwezekana wana akili za ajabu sana!!
Mambo yanavyo onekana mgogoro huu unaweza kusababisha WW3 by accident or by design.
Zelensky is so naïve doesn't seem to realise that nuclear war is mostly likely.
Kuna jamaa anaitwa umshana tabia zake zinafanana na MK254
Ngoja niendelee kuunganisha vitu nitawaeleza zaidi.
Si unajua tabia za wakenya......
View attachment 2634064
Kuna mtu alisema huyo jamaa ni chizi, au Leo Kawa mzima? Epu nyie pro Nini na pro nani semeniSijamgusa
waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
Sijasema wewe umeyasema hayo - tatizo langu ni source unapotoa hizi habari ndipo nilipo guduwa kipengele kinacho taja mpaka Waziri Urusi na Girl friend wake - sasa nikawa najiuliza maswali mengi hivi faragha za mawaziri wa Urusi yana uhusiano gani na vita inayo endelea huko Ukraine maanake masaa yote media za magharibi zimejaa negative publicity stunts kuhusu Urusi na viongozi wake.Sijamgusa
waziri wa Urusi - nimeleta hapa habari kwamba mtu kama Prigo anajadili waziwazi hofu ya mapinduzi nchini Urusi. Na sababu zake. Naelewa kabisa kwamba marafiki wa Putin hawapendi kusikia maoni hayo wala hawapendi kuyajadili
Waliosomea Cuba sote tunajua. Usijiondoe ufahamu.Ndio nini hii sijakuelewa, mbona kama mnachizi sasa.
Idadi inapungua mwisho itafikia zeroHii ni Jana tu wakuu, zaidi ya mia nne walichinjwa 🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2633139
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanasema wamewaachia ili wajirundike hapo kabla hawajaanza kaunta attack yao etiKwanza tupeni mrejesho wa counterattack ya kule Bakhmut
Ukweli mchunguSeneta Alexei Pushkov: "mwaliko wa Rais wa Syria Bashar al-Assad kwenye mkutano wa kilele wa nchi za Kiarabu unaonyesha USA kutokuwa na uwezo tena wa kuziamuru nchi za Mashariki ya Kati.
Habari njemaCNN: Leo Urusi imeuteka rasmi mji wote wa Bakhmut licha ya silaha kali za USA+NATO zilizomiminwa Ukraine kuilinda Bakhmut
CNN yaripoti kuwa hatimae leo Wagner wameukomboa mji wote wa Bakhmut licha ya jitihada kubwa za Marekani + Uingereza + Ujerumani + NATO kutuma kila aina ya silaha walizoziamini (kupitia mahesabu ya kwenye makaratasi) kuwa zingekuwa mwarobaini (a.k.a. game changer) wa kuishinda Urusi vitani...www.jamiiforums.com
Ngoja nieke kituo hapa WARGNER pmc hoyeeeeeeoddesa ndio kituo kinachofuata kaa kwa kutulia NYATO OYE
Huwa sijibu ujumbe wa hivyo vi XX,Nakerekwa sana .... Kuna madogo wananitumiaga meseji na hivyo vixx mara kavichanganya na namba .... Halafu ndio vinaona ujanja. Ni ujinga kama ujinga mwingine tu. Siku hizi wengi wao wamenyooka ni wanapiga simu tunongea ama wanatumia lugha iliyonyooka maana huwa nawakanya sana... Kama huwezi kuandikwa meseji tu vizuri nakusaidiaje ...hawajui haya mazoea ya kijinga ndio wanayapeleka mpaka kwenye maombi ya Kazi au Katika kazi yenyewe...au umemuunganisha na mtu .mpaka mtu anakuja kuuliza hivi huyu una uhakika naye ama..
SawaCheck drones zilivyoshushwa[emoji1787]
[emoji779]️On the night of May 25, the Russians attacked Ukraine from the north and south with Iranian-made Shahed-136/131 drones – 36 of them were shot down by Ukrainian Air Defence.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app