Inaonekana kwa point waliyofikia russia hata tukiingia sisi vitani tunaweza kumaliza showSio propaganda, Russia inaomba msaada wa Drones kutoka China sababu hali ya arfhini ishakuwa tata. Soma hii tweet ya Mhariri wa Gazeti la Global Times la China.View attachment 2149759
Watu hawaelewi hiyo dhana ya uhuru na mapana yake.Mkataba wa kiusalama tu mkuu, zenji hawezi kualika maharamia kwa kuwa ati yeye ni sovereign wakati ni memba wa muungano na sisi! Tuna act kama protectors na wao lazima watu protect pia ila wakianza kukaribisha mamluki haipendezi na ni lazma tuhoji.
Ni sawa na mkeo aamue kupanda kitandani akiwa ameshika kisu kisha umuulize kwanini anafanya hivyo akwambie ana uhuru wa kufanya anachojiskia usimpangie. Sijui kama unaweza ukapata hata lepe la usingizi😅
Wajinga wajinga hawaelewiWatu hawaelewi hiyo dhana ya uhuru na mapana yake.
Ety tuko kwenye meli katikati ya bahari mwenye meli
aamue kuitoboa tundu meli useme ana uhuru wa kufanya hivyo kwa sababu ni yake,
wakati anahatarisha usalama wangu hata kama nimeomba lift sitakubali.
Aisee sasa alianzaje kutoa ule mkwara wa kusema nchi yeyote itakayoingilia kati itapata pigo la kihistoria kama hata magazine hana za kutoshaMrusi zaidi ya Nuclear ni Chui wa Karatasi.
Maji ya shingo 🤣🤣🤣Pamoja na kuomba msaada wa silaha China, pia Putin kwa sasa anakodisha wapiganaji mamluki toka Uarabuni kuja kusaidia mapigano maana maji yanaelekea kuzidi unga😊
Russia trying to recruit Syrians to fight in Ukraine, says Pentagon
US defence official says it is ‘noteworthy that Putin believes he needs foreign fighters’amp.theguardian.com
Putin says Russia to use Middle East volunteer fighters
Russian President Vladimir Putin gave the green light on Friday for up to 16,000 volunteers from the Middle East to be deployed alongside Russian-backed rebels to fight in Ukraine, doubling down an invasion that the West says has been losing momentum.www.reuters.com
ukraine: Russian President Vladimir Putin approves 'volunteer fighters' to Ukraine - The Economic Times
Defence Minister Sergei Shoigu said Russia knew of "more than 16,000 applications" from countries in the Middle East, many of them from people who he said helped Russia against the Islamic State group, according to a Kremlin transcript.m.economictimes.com
Putin hana sababu ya kuendelea na hivi vita. Mpaka kuomba msaada Ina maana mambo ni magumu.Akae TU kwenye meza ya mazungumzo na kujiondoa Ukraine 🤔Russia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo vikali.View attachment 2149725View attachment 2149726View attachment 2149727View attachment 2149729
Lolote linawezekana, hii vita sio ya physically tu hata mentality ina play part yake hapoHili nalo neno
Maana kama Ukraine wana nguvu hivyo wangeishika Crimea sasa
Kilio mseleleko, maskini nyie mna pesa za kuendesha vita hata miezi 2 kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjomba unajitekenya na kucheka mwenyewe...
Kwani alyeanza kuzuia vitu au kuweka viwazo ni Russia au Western? Nimekuuliza swali jepesi tu ka lengo lla Western ni kuua uchumi wa Russia na kuhakikisha hakuna thumuni inayoingia pale why bdo wanaendelea kulipia every day 1USD Billion kwa delivery ya Gas kwenye nchi zao mpk dakk hii naandika apa.
Unaenda kunyanganya Club kwa mtu aliye karib na Putin... Club yenye value ya less than 3Billion Dollars akat huo huo mnapeleka pesa kila uchao kununua Gas yake...
Hivi na kwa akili ako unawaza China India Brazil na wa kupokea Command kutoka western wa nn wafanye? Hyo Gulf regions yote wataungana na Russia kumuekea vikwazo...?
Kwa akil ako ilivo programmed unaamin USA ndo Dunia, unaamin Europe ndo dunia...
So mbay lakin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endeleeni kujifariji... Mda ni mwalim mzuri sana....
Ata mtoto wa darasa la pil ukimuuliza baba mmoja analipwa Mil1. Ila ana wake watatu... Na kuna mwingine Analipwa Mil1. Ila ana mke mmoja. Je ukigawa kipato kea matumizi nani atabaki na akiba haraka haraka atakwambia mwenye familia moja.
USA anazalisha about 11Million barrer per day ila ana population ya mara tatu zaid ya n ana Demand ya energy mara 16 zaidi kuliko Russia anaezalisha kiwango kile kile kwa population one third ya Marekan na Demans ya energy nchini kwake just as little as 6.25% ya nishati anayoihtaji Mmarekan na apo kwa upande mmoja tu wa nishati viwandani sijazungumzia mahitaji ya Raia katika Umeme na vifaa vya moto....
Chambua data zao vizuri Gas and Oil inatumika wapi... Why Germany why China?
Among the top manufacturing Hub ni hizi nchi apo chini...
1. China 28%
2. USA 16%
3. Japan 7.5%
4. Germany 5.3%
5. India 3.1%
Resource Center
Your hub for global workforce insights and resources: global expansion, global employment, global payroll, business intelligence, compliance, workforce trends.globalupside.com
Ndani ya Top 5 tu apo BRICS kuna nchi 2 ambazo kwa pa1 zinachukua More than 32% of the world Manufacturing hub af bado waidharau BRICS?
Hivi western kawapa nini nyie watu...? So kufeed hzo industry nishati utegemee Mchina na India kuungana na huyo baba enu kumpiga vita Russia?
Hujiulizi kwanini Gerrmany kaacha kufata mkumbo yeye na Rais wa Ufaransa wameanza kuzungumza na Xin Jinping kutafuta suluhu ya kidiplomasia kwenye huo Mgogoro?
Haya kwe hizo nchi 10 hakuna Russia... Maana ake nn? Demand ya Nishati kwake ukilinganisha na walioko nje ya mipaka yake iko tofauti kbs.
Hesab zingine za kitoto sana... Em chukulia mfano GDP ya Mmarekan ni Trillion 20 hivi dollars but GDP per capita ni just 63kUSD...
Total GDP ya Singapore ni 340Billion Dollars ambayo ni just 1.21% ya GDP ya mmarekani... But GDP per Capita ya Singapore ni 62kUSD ambapo wako on Par na USA
Note hyo (Hii ni GDP nominal sio GDP kwa PPP)
Sa kutoka apo kuna point hamtaki kuichukua... "Population"... "Demand"... "Supply". Mnabak mna analyze kisiasa...
Sasa siasa na Uchumi wapi na wapi... Number hazidanganyi mjomba. Kaa kwa kutulia tu tusichoshane Mjukuu wa Yahaya... Endelea kusimamia hicho hicho kilichomo akilini mwako huu mjadala tuufunge...
Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.Propaganda za US, hakuna hicho kitu
Sasa wanayatangeneza ya kazi gani ilihali kwenye vita kama hizi hayatumiki?Mrusi anajivunia nyuklia, sasa vita hii huwezi tumia nyuklia, nje ya nyuklia mrusi ni mlaini tu
Atakuja mswahili apa mjuzi wa mambo kuzidi Bulgaria yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kisha anakwambia Russia anaenda kupotea [emoji848][emoji848][emoji848][emoji847][emoji847][emoji847]...Bulgaria yasema muda umeshaonesha wazi kuwa vikwazo tunavyoviweka (EU) dhidi ya Russia ni hatari kwa Bulgaria na Ulaya yote. Nchi za Ulaya zimeanza kuelewa jambo hili na zimeanza kuwa na upole huki zikifuata msimamo wetu. Sisi tuliwatangulia kung'amua/tambua jambo hilo.
=====
View attachment 2149794
Sijaelewa concern yako kwenye hii comment yako mkuu.Kama yamepelekwa china, kwanini mtu wa Washington atoe Taarifa wakati hana? Uzuri wa Mmarekani anajua kuaminisha uongo na hapo bado
China hana mpango na hii vita maana kashtukizwa. Marekani ilijiandaa na kuwapanga wafuasi wake ilipojua Russia itavamiwa, Russia ilitegemea ushindi wa haraka na haikutarajia itapingwa kwa mkumbo hivyo haikujipanga na washirika wake wachache. China ndio ingetakiwa kuwa ishaivamia Taiwan ambayo actually ni eneo lake ila haijafanya hivyo leo hii iweje iisaidie silaha Russia kwa kuivamia independent Ukraine.Russia yaiomba China msaada wa Silaha na usaidizi mwingine ili kukabiliana na upinzani wa vita nchini Ukaraine,serikali ya Marekani imeripoti huku ikiionya China kuwa isithubutu kutoa msaada wowote kwa Russia la sivyo itakabiliana na vikwazo vikali.View attachment 2149725View attachment 2149726View attachment 2149727View attachment 2149729
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa vikali Marekani juu ya madai yake kuwa Russia kaomba msaada wa kijeshi kwa China. Wizara hiyo imeiita huo ni uzushi wa Marekani.Msaada umeombwa Beijing anaekanusha yupo Washington.
Scars [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] we n mfatiliaji mzuri na huw nakuona unatumia "Neno" logic kwa wingi... Em zichuje hizi taarifa zinazotoleww na upande wa magharibi....Aisee sasa alianzaje kutoa ule mkwara wa kusema nchi yeyote itakayoingilia kati itapata pigo la kihistoria kama hata magazine hana za kutosha
Ukraine yeye anasema mtu yeyote anayetaka kuisupport ukraine aje atapewa silaha, means kwamba ukraine bado wana silaha za kutosha ku handle hii vita
Ila mrusi kama kweli haya mambo ni kweli na sio propaganda ni bora asingeingia kwenye vita ili kuitunza heshima yake na CV ya nchi ambayo ni hatari kijeshi na inayoongoza kwa silaha nzito za maangamizi
Achana na hizo propaganda mzee, kama URUSI wameishiwa Silaha, waambieni NATO waingize askari wao UKRAINE.Sio propaganda, Russia inaomba msaada wa Drones kutoka China sababu hali ya arfhini ishakuwa tata. Soma hii tweet ya Mhariri wa Gazeti la Global Times la China.View attachment 2149759
Jeshi lina kikosi cha Engineering hilo linajengwa kwa masaa tu tank zinapita we unafkiri watajenga daraja la Kigamboni -kurasiniView attachment 2149280
Vijana wa Putin hili ni daraja linaunganisha Hostmil na Kiev Ukraine imelivunja kabisa Sasa waliovuka upande wa pili Mimi nitakuwa naonesha mizoga tu... Yaaani Hadi wakifika Wasyria Russia itakuwa imetumia wanajeshi 200K
USA na ukubwa wake wote na nguvu alizonazo lakini kuna vifaa vya kijeshi baadhi ananunua kwa Mfaransa. Kumbuka hata uwe mkubwa wa kiasi gani still hutakuwa na kila kitu. Hivi kwa mfano Tz ingekuwa inatengeneza mishale na mikuki bora halafu jeshi la Marekani lihitaji kwa ajili ya operation zake misituni, TUNGESEMA USA KAZIDIWA NA HANA UWEZO??Putin kaishiwa nguvu.
Kaomba msaada kutoka China.
USA imeionya Beijing isithubutu kutoa support kwa Putin.
China watampiga Chini Putin na kuungana na Western.
Putin atabaki km kifaranga kilichomwagiwa maji. Watu watajipigia watakavyo.
Lesson: Don't play with big boys.