Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Nikisomaga hizi comments za hawa watu huwa nacheka sana walifikir Russia ni Zimbabwe.
 
Nikisomaga hizi comments za hawa watu huwa nacheka sana walifikir Russia ni Zimbabwe.
Ha ha haa watu wengi hawakua wakiijua Russia ama USSR enzi zile.
Pia watu wengi wanaijua USA Kwa sababu ya kuzivamia nchi ndogo kama Iraq na watalaban Tena wakiwa katika umoja waowa NATO.
Urusi haikukurupuka na sio mara yake ya kwanza kuzinguana na NATO.urusi inayajua madhaifu ya NATO nje ndani pamoja na Hila zao.hivyo Kila ilichofanya ilijua nato watafanya Nini.
Vijana wengi pia wemeathiriwa na propaganda za USA hasa kupitia kazi za Hollywood.
 
,[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya China na India Kuna kipindi walizichapa wahindi wakala makonde na fimbo za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mfaransa ansmponda US kiaina
 
Ukraine wanataka kuimaliza hii mechi kabla ya mwezi July, wana matumaini ya kupewa wanachama wa NATO ikiwa watagain maeneo yao yaliopotea mfano CRIMEA.

Pia kugain kwao maeneo ndio kutawapa nguvu katika meza ya mazungumzo dhidi ya RUSSIA

mwezi July kuna mkutano wa NATO
 
VIDEO : Baada ya alligator usiku wa kuamkia leo kufanya matusi makubwa hatimaye mnyama tiger na Bradley za kutosha zimeangukia mikononi mwa mrusi. Mizoga ndio usiseme
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID_20230613_074349_890.mp4
    12.3 MB
Wenyewe wanasema silaha hazina shida; tatizo ni watumiaji akina kp kipanya44 eti hawajatopea kwenye mafunzo kamili. Amerikka-NATO kweli ni Chanzo Cha Matatizo duniani.
 
Mwezi July ya mwaka gani mkuu tunaomba tuweke wazi.
 
Mita 300 si unamuona kwenzako kabisa [emoji23][emoji23][emoji23].

Bakhmut ina 41 km. Izo mita 300 sijui zinaingia mara ngapi labda mnisaidie hesabu wandugu[emoji1787][emoji1787]
41 km gawa kwa mita 300 = 137!!!!

It means Ukraine-NATO wanatakiwa kupiga kaunta-offensive 137 kama hizo ili wafanikishe malengo yao ya kuichukua Bakhmut pekee -- yaani, mapambano makali ya 5+ years!!!

NB: By the time wanafanya kaunta ya 6, hiyo ^country 404^ itakuwa imebadilishwa jina huko UN Security Council.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…