Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


The press secretary of the President of South Africa, Vincent Magvenia, repeated his statement that he did not see or hear the explosions in Kiev.

According to him, from the moment the delegation arrived, it visited Bucha and returned, but did not hear or see any explosions. Also, according to him, they did not hear air raid signals.

At the same time, Magvenya said that he did not go down into the bomb shelter, but the President of South Africa, Cyril Ramaphosa, went down into it.
 

[emoji122]
 

Macron anatafuta ushirikiano ndomana alikwenda na China, Prince lazima amchane ukweli kwamba dunia imechange kwa sasa. Macron anataka kuhudhuria mkutano wa BRICS S.A
 
Nashukuru Sana kwa kujazia nyama jibu nililompa Ndugu yetu Pro NATO..!!

Unajua hakuna anaeshabikia vita pale Ukraine,but Russia hakuwa na options kabisa was no way ilikuwa lazima apgane dhidi ya NATO kulinda usalama wake
There you are, this will serve them right - ingawa wengi wao wanajifanya vipofu huku macho wanayo!! This is totally Strange!! don't you think?
 
Huu uliouweka hapa hahuusiani na makubaliano kati ya NATO na Russia . Huu unahusiana na security and Cooperation in Europe. Nafikili tuwekee makubaliano ya Minsk sio huu upuuzi
Katika makubaliano ya Helsinki Urusi ilikubali haki ya kila nchi ya Ulaya kujiunga na nchi nyingine. Hii ni sehemu ya mapatano kuhusu haki za nchi. Mapatano hayo yalikuwa msingi kwa ushirikiano na maendeleo ndani ya Ulaya.
Putin kuvunja makubaliano hayo ni sababu kwamba nchi zote za Ulaya zinaunga mkono Ukraine.
 
Twende sawa ili kusiwe na double standard!
Kulikuwa na vita huko Donbas,watu wa huko wakitaka kujitenga na Ukraine!Majeshi ya Ukraine yamekuwa yakipigana na vikosi hivyo ambavyo vilikuwa vinaungwa mkono na Urusi!Na wengi wa maeneo hayo wanaongea kirusi!Russia akaamua kuwakomboa watu waliotaka kujitenga!Hiyo ni moja ya sababu ya Russia kuivamia Ukraine!
Je alichokifanya Russia,kina tofauti gani na kile alichokifanya NATO huko Yugoslav?Waasi wa kosovo walitaka kujitenga,Wakaingia vitani na majeshi ya Yugoslav!
Majeshi ya NATO yakaenda kuishambulia kwa mabomu Yugloslav na kusababisha majeshi kuretreat!Wakaitambua Kosovo kama nchi!
Kwanini iwe haki kwa Kosovo kujitenga na isiwe haki kwa Donbas kujitenga?
West wamejaa double standard,kikubwa kwao ni maslahi yao!
Leo ikitokea majimbo ndani ya Russia yakitaka kujitenga,yataungwa mkono na west!
Russia amefanya kama kile ambacho west wamefanya kwa mataifa mbalimbali,ila tofauti ni kwamba kwa sasa kelele zimekuwa nyingi!
 

💫 Zelensky says recently used Russian missiles had foreign made component.​

 
💫 Tunaanza kupiga kwenye mshono.

----------------------------------------
The governor of Russia’s Bryansk Oblast, Alexander Bogomaz, wrote on Telegram that drones had attacked the Druzhba oil refinery overnight on June 17. He claimed three drones were shot down by the Russian air defense, accusing Ukraine of the attack.
 
💫 The General Staff of Ukraine's Armed Forces reported on June 17 that Russia had lost 219,170 troops in Ukraine since the beginning of its full-scale invasion on Feb. 24 last year.
 
Z
Zungumzia tunayo yaona hivi sasa kwenye
media za west. dhidi ya Putin na Urusi yenyewe achana na stori za miaka 300+ iliyo pita, ambayo kusema ukweli Russia ndio mara nyingi ilikuwa ni victim wa aggression kutoka west -nchi zama maifa ya ulaya mashariki na central Europe are simply. ungrateful bustards, bila jeshi la Urusi kuwakomboa dhidi ya majeshi ya Hitler wote hao wangekuwa wanazungumza Kijerumani hivi sasa.
 
Tutazidi kuwachinja warusi Kwa wingi kadri iwezekanavyo [emoji56][emoji56][emoji56]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

We panya hio idadi ni kuanzia vita ianze mpk now ingawa cna uhakika nayo..
Ila wew takwim zako kwa mwezi tuh warussi milion wanakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]asa tuamini hio au izo zako?
 
Thanks Kwa uchambuzi na elimu nzuri
 
Mkuu longolongo tupa kule, leta makubaliano ya Minsk Kati ya NATO na Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…