Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sanctions are harmful even to America. Hakuna ambaye haguswi na huu mzozo hata sisi Tanzania hapa bidhaa zitapanda bei. Hasa nchi zenye ujirani na Russia lazima zipate shida zaidi. Ila kuna option, nchi inaamua kusideline na Russia au kuendana na nchi nyingi duniani. Marekani ana counter American adversaries through sanctions (CAATSA) anasubiri nani atajiunga na Russia. Venezuela alitengwa na Marekani peke yake (hakutengwa na EU) ila akaungana na Russia. Leo hii 1USD = 420,000+ Venezuelan Bolivar.

Nchi zitalalamika na zenye nguvu kama China zitafanya mazungumzo sana ila hazitaungana na Russia nchi moja ziachane na nchi nyingi
 
Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.
Aliomba kutoka chenchiya?
Kwa hiyo Tanzania tukiwa tunapigana na Malawi, tukatumia makomando wa kizanzibari tumewaomba?

Hakuwaomba kutoka syria, watu wa syria wanalipa fadhila kwa rafiki yao wa pekee aliyemsaidia Assad.
Msipindishe maneno, yasemeni kama yalivyo.
 
Marekani ilitoa taarifa kwa Ukraine wenyewe wakakataa kuamini. Ikawambia washirika wake kina UK na Israel wakahama mapema kabla vita haijaanza, nani alisikia Myahudi au Mwingereza kakwama Ukraine tena wakisisitizwa mpaka kutishiwa "vita ikianza hatuna uhakika kama tutaweza kuwaokoa" at that time wanaamini performance ya jeshi la Urusi itakuwa kubwa.

Marekani ndio imetoa makadirio ya vifo na uharibifu wa pande zote mbili, ni baada ya propaganda za Ukraine kusema imeua Warusi sijui elfu ngapi uko. Hawa wanaobishia hili ndio walikuja kutumia hizo data kuonesha Ukraine waongo. Yani wanapingana na uhalisia. Muda ni mwalimu, hata hii operation ilianza wakisema "siku tatu tu tunachukua nchi" leo zaidi ya wiki mbili. Hata hili la sanctions itafika muda tuongee lugha moja
 
Kutoka kwa kadyrov ( mkuu wa Chenchya na majeshi yake).

"Ukrainian intelligence reports that it receives information from various sources about the possible whereabouts of Kadyrov in Ukraine" - media.

Your intelligence is lame ...
On the video we are in Gostomel. The other day we were about 20 km away from you Kiev Nazis, and at the moment even closer, and guess how close we got?
Your SBU intelligence service does not know how to work at all. Apparently, foreign instructors and military advisers taught you according to an outdated method.
You can relax for a moment, because you do not have to look for us - we will find you ourselves. Oh, you don't have long. Better give up and stand beside us, as I have suggested more than once, or your end will come.

The offer is still valid. But not for long.
After all, we are entering from one side of Kyiv, and from the other side, old experienced fighters, led by my dear BROTHER Adam Delimkhanov, who went through two military campaigns and repeatedly demonstrated their fighting abilities and spirit.
We will show you in practice that Russian practice teaches war better than foreign theory and the recommendations of military advisers.

I’ll introduce an intrigue: maybe we are already in Kyiv and are just waiting for the right team?

We're ready in a minute. All the will of the Almighty! "Let justice prevail!"
 
Kukanusha ni muhimu, hawawezi kukubali wazi wazi...China pia ina maslahi na Ulaya.
Kama umekubali ya hiyo ya kuomba msaada kubali na hiyo ya kukanushwa tatizo unataka kusikia vitu vya upande mmoja eti kukanusha lazima
 
Sawa lakini kuumia kunatofautiana.

Ngoja Russia apewe kibano kwanza

 
Hatua za Russia kupunguza makali ya vikwazo zimeanza.

Translated from ru - Russian to en - English

The government has set the parameters of loans for "credit holidays"

"Credit holidays" apply to loans issued before March 1, 2022. A grace period for servicing a loan can be obtained for a period of one to six months. Under the terms of the program, borrowers have the right to apply for a "loan holiday" until September 30, 2022, subject to a 30% decrease in income compared to the average income in the previous year.

The following limits are set for consumer loans:
• 300 thousand rubles for individuals
• 350 thousand rubles for individual entrepreneurs
• 100 thousand rubles on credit cards
• 700 thousand rubles for car loans

For mortgage loans:
• 6 million rubles for Moscow;
• 4 million rubles for the Moscow region, St. Petersburg and the regions of the Far East;
• 3 million rubles for other regions of Russia.


Translated with ❤️ by @lang_translate_bot
 
Pro America toka juzi hawakuoneka leo wamekuja na hoja mfu eti China kaombwa msaada wa silaha babaake na putin leo usiku atafanya mashambulizi ya hatari kuzidi Yale ya kuamkia Jana
 
Acha kumfananisha Putin na vitu vya kijinga.

Kwa kutumia hicho hicho chanzo chako cha habari imeonesha Biden watu wanaomuidhinisha kufaa ktk majukumu ya kiurais ni 42%, na hapo ndio inasifiwa kupanda maana hapo kabla alikuwa na 40%.

Data za Statista zaonesha kuwa Putin watu wanaomuidhinisha kufaa ktk majukumu ya urais ni 71% (kwa mwezi uliopita, February), na kabla ya hapo alikuwa na 65% (December 2021) na 69% (January 2022).

Siku nyingine ukitaka kulinganisha vitu kwa data uwe makini ktk kufanya hilo.

=======



 
Waambie hao
 
Germany kaanza kujipanga, Russia sijui atakuwa ngeni wa nani

View attachment 2149905
Nyuzi nyingi huwa nasema kuna Germany na Japan siku wakiamini kwamba usalama wao uko hatarini wakiamua kufufua majeshi yao ndani ya mwaka wanafikia mbali sana. Wana uchumi wa kutosha na teknolojia. Hapo ananunua F-35 ila anaweza ongeza production ya Eurofighter Typhoon kwenye consoltium ya Ulaya na akazidisha zana zake kama Leopard 2 MBT
 
Unaleta habari ya kitoto
 
Hivi US kuna visima vya mafuta kweli au ndio wamewaibia waarabu

Us anachimba mafuta kwa dunia anashika no8. Ila ana reserve kubwa si libya Bomba limeenda direct Us sijajua saudi arabia anatumia njia gani. Us ana reserve tu napo hzo data zinatoka west sina iman nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…