Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.
Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.
Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.
Bye Bye [emoji112] hypersonic
View attachment 2660553
Hivi yule mpiga punyeto atasemaje hapa?
Mkuu heri usitegemee matangazo ya propaganda. Mbona hutafuti habari??Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.
Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.
Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.
Bye Bye 👋 hypersonic
View attachment 2660553
Wao wasipotoshe kabisa. Hao vibubuta wanapaswa kusema kwamba WAMESHINDWA, na wala siyo kwamba wameamua kuachana na mpango huo.Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic.
Kwenye bajeti ya wizara hiyo, wameondoa hela inayohusu uendelezaji wa study kwa ajili ya hypersonic.
Hii imekuja baada ya ku fail kwa majaribio ya kombora hilo.
Bye Bye 👋 hypersonic
View attachment 2660553
Hii Habari yako uliyoweka reference ni ya mwezi April.Mkuu heri usitegemee matangazo ya propaganda. Mbona hutafuti habari??
ona
Air Force cracks open door on hypersonic ARRW, weeks after indicating it was shut - Breaking Defense
Air Force Secretary Frank Kendall told lawmakers Thursday that the service will make a decision on buying the hypersonic weapon after its prototyping phase concludes, a position seemingly at odds with testimony previously provided by the service’s acquisition lead.breakingdefense.com
Baada ya kuona hiki alichozungumza Putin na viongozi wa Afrika kuhusu makubalioano waliyosaini Ukraine na Urusi akionesha na documents ambazo ndio mara ya kwanza Urusi kuzungumzia hili na mengine bado hakuweka wazi ni dhahir Urusi walikuwa tayari kuitisha SMO.
Urusi ilirejesha majeshi nyuma kutoka Kyiv na maeneo mengine ya Ukraine na wenyewe walisha kubali masharti ya Urusi ndipo NATO wakaona ni sehemu ya kutangaza ushindi kwamba Ukraine ameitoa Urusi Kyiv na kutupilia mbali makubaliano kwa kushawishiwa na west.
Matokeo NATO wakaahidi kumsaidia Ukraine na ushindi mpaka mpaka Crimea, kilichofuata:
1. ni hii aibu west wanaingia sasa kwa vifaa vyao vya kisasa kuchomwa na kutofua dafu mbele ya Urusi jambo amabalo limewaacha njia panda maana wakimtosa Ukraine mengi yataibuka na kuzidi kuishusha west na wakiamua kupambana aibu inaendelea kuwapata huku mengi yakiibuka.
2. Edogan anajua mengi na ndio sababu wamezidi kuwa na tofauti naye tangia kwene uchanguzi na mitazamo, hii inamaanisha kushindwa kwa Ukraine nato pia ipo hatarini.
3. Kilichopo tayari Ukraine imlishasaini hati halali kabisa kuhusu mgogoro huu suala ambalo vita ikisimama muda huu basi these legal docs will be used aginst Ukraine kwavile walisaini mbele ya legal brokers ambao bado wapo madarakani (Edogan).
Mwamba anarudi tena august, hii movie haitaki hasira pindi unapoiangalia.
PMC ni russia na russia ni PMC.
Putin chef
View attachment 2660630
Zelensky alishauriwa na viongozi wa west kuachana na mazungumzo na Russia ndio maana mazungumzo ya makubaliano ya amani yakashindikana.
Ngoja Zelensky aendelee kuharibu nchi yake.View attachment 2660651
Tayari wamshaanza juzi unfreeze, juzi US alimuamuru Irag aachie zaidi ya $2 billions za Iran[emoji23]US in secret talks with Iran - CNN
The US administration has secretly resumed indirect talks with Iran to contain its nuclear program and release American prisoners, CNN writes, citing sources.
Negotiations began last December in New York and have continued in Oman ever since.
According to US officials, the US goal is to achieve a "political truce."
In return, Tehran demands to unfreeze billions of dollars of Iranian assets abroad.
Hehee mpaka mukapige goti KREMLINMimi ni Pro Ukraine... nasemaje... AFU n kama imeshaelemewa kwa sasa... anyway vita n vita nisimalize maneno...
Tatizo unataka tubishane,baada ya cold War kuna mikataba mingi Sana inasainiwa,Mkuu tusiongee hewani. Taja makubaliano pamoja na jina, tarehe, kifungu yaliyovunjwa na nani. Mimi nimeleta mifano ya mikataba inayovunjwa na urusi.
Hapa ndipo sababu nchi nyingi za Dunia zinakosoa Urusi. Watu walio wengi wamejifunza kusoma.
NATO hamna kituUkraine imekua ikifundishwa na USA UK German na NATO wengine.
Kama hayo ndio mafundisho Yao,basi NATO wako uchi.