Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hebu tuanzie hapa tusaidie sisi tusiojua 2014 ila coup pale ukrane iliyomuondoa rais halal aliekuwa madarakani kisheria na kidemokrasia inayohubiriwa, nani alikuwa nyuma ya pazia na lengo lilikuwa ni nin? Tumesikia pia kauli kadhaa za wamagharibi kuwa jeshi la ukrane limekuwa likipokea mafunzo na silaha tangu 2014 kutoka West lengo lilikuwa ni nini? Tukipata majibu haya pengine tutaweza kupata mwanga aliyekiuka mikataba ya amani ni nani na alikuwa na malengo gani
 
Jeshi letu la Afrika sasa lijiandae kwenda kulinda amani Ulaya, maana ni wazi Wazungu wameshindwa kujitawala.
 
Huyu Ndugu yetu umshana hayo yote anayajua sema mahaba ya west yamemzidi,..

Anajua ukweli jinsi west walivyo iandaa Ukraine kijeshi kwa miaka mingi na lengo nikuja kukabiliana na Russia ,anajua exactly jinsi NATO inavyojitanua kuizunguka Russia .

Juzi nilimuuliza swali hapa,kuwa anadhani nikwanini after cold war zaidi ya 60% ya nchi zilizojiunga na NATO ni kutoka Eastern Europe??? Hili swali alishindwa kujibu.
 
Sijui wanajeshi wa Ukraine wana akili gani maana wanaona kabisa kuwa vifaa vyao vya mwanzo vimelipuliwa, cha ajabu wanaenda tena sehemu ile ile ili kuvitoa vilivyolipuliwa.

Cheki kilichowakuta tena baada ya mwenda kwa mara ya pili.[emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Alafu kwa hizi facts bado mtu anaendelea kukaza shingo!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255]


[emoji298]The air force of Ukraine's defense forces launched 14 air strikes on Russian troop concentration areas on June 17, destroying two anti-aircraft missile systems.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mficha maradhi kifo humuumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…