MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Sawa sawa anapoteza muda ili kuichosha USA na EU, huku mchina akichukua uongozi wa uchumi dunianiThat's why tunawaambia hawa nyumbu pro NATO Kwamba hii vita ilikuwa calculated na Putin. + His allies
That's why anapigana slowly[emoji23][emoji23] kama unakumbuka Kuna kipindi alipeleka majeshi pale Kyiv
Lakin akajishtukia kuwa kafanya mapema sana ......kuwa akimaliza vita mapema ....the target would not being archived ....
Je unadhani Russia Hana majasusi wa kumfyeka zelensky.....jibu ni kuwa Putin anaendelea ku buy time
Mkuu Kuna sehemu hapo imeandika ameomba mkuu uweke google translator then uone kma Kuna ombi hapoUrusi wameomba Crimea isipigwe kwa HIMARS, kwamba Ukraine waendelee kutumia silaha za kawaida, yaani majuha....
Russia’s defence minister Sergei Shoigu says Ukraine plans to strike Crimea, with long-range HIMARS artillery and Storm Shadow missiles, according to a report from Russia’s TASS news agency.
“The use of HIMARS and Storm Shadow missiles outside the special operation zone will mean the full involvement of the United States and Great Britain in the conflict,” Shoigu said, adding that Russia will retaliate.
Russia-Ukraine updates: Moscow warns Kyiv over attacking Crimea
These were the updates for the Russia-Ukraine war on Tuesday, June 20.www.aljazeera.com
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwaAlitumia tanks za USSR ambazo msururu ulikuwa na urefu wa kilometer 64, vyote vikafyekwa na silaha ndogo ya mkono unaweka begani tu Jamevile na Stinger,
Mkuu mabaki ya vifaru vya USSR yapo Ukraine kwenye maonyesho hata Ramaphosa juzi alionyeshwa, vimepakwa rangi wageni wanaenda Ukraine wanapiga navyo picha hata nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kuweka kwenye historyVifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
Acha Kukera watu humu na Kiswahili chako cha 'siraha'........usahihi wake ni 'silaha'Mkuu!unfortunately unataka kuniingiza unataka kuniingiza katika propaganda.
Swali; hakuna siraha Ukraine hajatumiwa na NATO !
Jibu;nikazitaja baadhi na si zote!
Now unasema hata hizo zilizotumwa hazitasaidia chechote na kutaja siraha zako za upande wako kuwa ni bora zaidi(nje ya mada) japo zinashindwa komboa Donbas mpaka sasa.
NIGGA
Duuuh hivi mnapata wapi kubishana na huyu jamaa??????, 😆😆😆😆😆😆Mkuu mabaki ya vifaru vya USSR yapo Ukraine kwenye maonyesho hata Ramaphosa juzi alionyeshwa, vimepakwa rangi wageni wanaenda Ukraine wanapiga navyo picha hata nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kuweka kwenye history
Urusi wameomba Crimea isipigwe kwa HIMARS, kwamba Ukraine waendelee kutumia silaha za kawaida, yaani majuha....
Russia’s defence minister Sergei Shoigu says Ukraine plans to strike Crimea, with long-range HIMARS artillery and Storm Shadow missiles, according to a report from Russia’s TASS news agency.
“The use of HIMARS and Storm Shadow missiles outside the special operation zone will mean the full involvement of the United States and Great Britain in the conflict,” Shoigu said, adding that Russia will retaliate.
Russia-Ukraine updates: Moscow warns Kyiv over attacking Crimea
These were the updates for the Russia-Ukraine war on Tuesday, June 20.www.aljazeera.com
Vifaru vilivyoko kwenye mstari wa km 64 vikifyekwa katika hali ya kawaida tunategemea vionekane kirahisi vilipo. Hivi kweli mnaamini vilifyekwa halafu hatuoni mabaki yake hata vifaru 100 katika eneo vilikofyekewa au warusi waliweza kubeba skrepa ya vifaru vyote wakaenda kuvificha. Hii propaganda hai make sense ndo maana tunakubaliana na Putin kwamba kulikuwa na makubaliano vifaru vyote vikarudi nyuma. Huwezi kufyeka vifaru vyote hivyo halafu tusione hata mstari wa mita 500 wa vifaru vilivyoangamizwa
Hiki kiswahili mbona kama cha Medvedev, ndo hua ana maneno ya kuudhi namna hiiThe western “Ukraine will win” narrative collapses all across the board … even within Ukraine there are big doubts coming up now.
-> The last time the situation got stuck, they kept the public motivated with “Free the Leopards” narrative, then Ukrainian will win they said.
But this time the war is not “stuck”, this time pictures of destroyed leopards went through the world, no advances were made in the last 3 weeks. Only huge losses.
What will they do now? They need to keep the public, us the people, entertains and motivated.
The F16 discussion did not pick up the same steam as the Leopard thing. The offensive as if right now failed it’s objectives. They’ll try further sure … but it’s not a walk towards Melitopol.
They haven’t breached the first positions in 3 weeks
View attachment 2663297
Russia ataendelea kukua daima kwa sababu ya changamoto za West"SSJ New liners with Russian engines to be tested in autumn - Business & Economy - TASS" SSJ New liners with Russian engines to be tested in autumn
Hapana mkuu. Medvedev ana Inglishi yake fulani hivi ngumu sana, hata Waingereza na Wamarekani wenyewe sidhani kama wanaipata hadi wairejee wikipidia.Hiki kiswahili mbona kama cha Medvedev, ndo hua ana maneno ya kuudhi namna hii
Maneno yako na habar hata haviendani [emoji23][emoji23]ila asante kwa habar tumeitafsir kama ilivo [emoji3]
Hao mpk waje shtuka Ukraine inaeza kuja kua taifa lenye eneo dogo kuliko yote [emoji23][emoji23]
Patriot iko very active kwenye social media.huko ndio uwanja wao wa kujidai [emoji2]
Yaani kama ulaya wameshachoka Ila USA analazimisha Kwa kuwa anatoa pesa yake na silaha na ndiye anaitaka NATO zaidi kuliko ulaya Kwa malengo yake binafsi,
Subiri tupunguze mafuta ndiyo tutajua Nani ana ubavu wa kuishi bila urusi hapo ulaya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapa kuna ujerumani, Italy na France Kwa mbaali namuona uturuki yaani watajuta kupanda mtumbwi wa kibwengo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na hatumalizi Vita mapema maana tukimaliza Vita mapema, watapata sababu ya kuomba gas ya urusi na huku wakijifanya wanafanya vikao vya peace plan, sasa hatumalizi haraka ili nafasi hiyo isiwepo
Unaleta ujeuri wakati Moto na chakula unapewa na jirani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kingine nilisahau mrusi haongezi mkataba wa grain deal, hapa tunazubgumzia kwenye 31•2 tani za chakula kutoka Ukraine afrika zimekuja 900+k tu, zingine zote ulaya, Kwa hiyo kama mrusi akifunga hiyo deal ya chakula tunategemea ulaya walie njaa zaidi kuliko afrika [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na mama Samia kaupiga mwingi kafunga biashara ya chakula nje ya nchi
Kwenye shambulizi kama hili wanalopata AFU ukisalimika nenda katambike.
View attachment 2663337
Our brothers, who are now working in the Avdeevka direction, have shown the AFU what real "sunshine" (TOS) is like.
After such a scorcher, there will be less desire to fight.
#source
Join Slavyangrad chat. Your opinion matters.
@Slavyangrad
Join SLG 🔺 Intelligence Briefings, Strategy and Analysis, Expert Community