Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Raisi akiwa ndani ya nchi?. Na pia Hilo hufanyika labda ikiwa jeshi la nchi ndio limeasi na sio jeshi kama Wagner.
 
Dunia inaenda kasi sana kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


(1) Prigozhin kuwashutumu kina Shoigu kwa kushambulia kambi ya Wagner na kuuwa mamluki 2000.

(2) Prigozhin kuvuka mpaka na kuingia Rostov na kutaka Shoigu atolewa la sivyo ataelekea hadi moscow kumtoa yeye mwenyewe.

(3) Putin kumkingia kifua Shoigu na kumwambia Prigozhin kuwa ni msaliti na mwenye kuweka manufaa yake mbele kwenye usalama wa nchi.

(4) Prigozhin kugomea amri ya Putin na kusema kuwa Raisi anadanganywa na kina shoigu, pia yeye ajafanya mapinduzi bali ni kufikisha ujumbe kwa maslahi ya nchi.

(5)Prigozhin kukubali kupewa ifadhi kwenye nchi ya Belarus na kukubali kukabidhi kundi la wagner kwa shoigu.

(6) Prigozhin na wanamgambo walioshiriki kwenye uasi kupewa msamaha na kufutiwa mashtaka ya uasi.

(7) Kipanya 44 kulalamika kuwa Prigozhin amewapiga pro ukraine na kitu kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Misaada hadi marekani inafilisika lini walitoa msaada wa arv wakafilisika .
Kila siku unazidi kujidhalilisha sema sio kosa lako ukijua madhara ya punyeto akili itakurudi. Ushauri wa bure
 
Lengo kuu limefanikiwa mrusi yuko uchi
Baada ya kuona mpango umefeli na kipigo front line kinaendelea yaani inauma Sana hakuna silaha ya kuweza kumpiga Russia front line ili wasiendelee kuaibika wakaona wafanye mpango na umedhitiwa ndani ya masaa kadhaa kilichobaki Ni kipigo Cha kutosha maana tumeshawajua leo leopard zimepigwa Kama nyanya za kilolo Hapo iringa.
 
Mkuu nashindwa kukujibu mstari kwa mstari nachelea nisitoke nje ya mada lakini hili tukio vyovyote vile utakavyoliweka limemuachia Putin na Urusi taswira ya udhaifu mkubwa sana, kwa watu serious huyo Prigozhin alitakiwa kuwa eliminated mwanzo kabisa kabla hajaanza kuituhumu hadharani wizara ya ulinzi juu ya namna inavyoendesha vita.
Unavyosema yalikua maigizo!! Yaani unamruhusu mtu atembee km 600, amebakiza only km 200 kukufikia, with all the panic you have caused all along ili tu uwajue walio for/against SMO yako, hii hoja hai hold water!
Mimi nimeshakubali, Russia or Putin are not as mighty as we would like to believe and I have moved on.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Una akili fupi Sana,too shame
 
Kasome vizuri walichokutana nacho warusi ukraine jana
 
Mkuu, hii ime expose udhaifu mkubwa kwa Russia na Putin lakini usisahau pamoja na huo udhaifu wote bado hao West wanajua mwenzao anayo nuclear na kipindi kama jana ndo alikua kwenye uwezekano mkubwa sana wa kuitumia kwasababu alishabanwa kwenye kona, kwahiyo ondoa hofu wasingeweza kuitumia hiyo kama opportunity ya kushambulia.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.

Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.

Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
 
Misaada hadi marekani inafilisika lini walitoa msaada wa arv wakafilisika .
Kila siku unazidi kujidhalilisha sema sio kosa lako ukijua madhara ya punyeto akili itakurudi. Ushauri wa bure
Marekani haiwezi firisika kisa vita ya kimaskini hii, Marekani inakaa miaka na miaka vitani. Ishindwe firisika ikipigana na Japan na Ujerumani ije kufirisika kisa wachuuzi wa gesi ambao hata simu hawajui kutengeneza. Haijatumia hata 10% ya bajeti yake ya mwaka kijeshi
 
Prigozhin mutiny exposed Putin's weakness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…