islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
aiseee we jamaa unalipwa miamba wanatengeneza ma injini na satelite na marocket na mabom makubwa makubwa kam ama isknder_mwashindwe kutengeneza hizo taka taka hapo chini...[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]Marekani haiwezi firisika kisa vita ya kimaskini hii, Marekani inakaa miaka na miaka vitani. Ishindwe firisika ikipigana na Japan na Ujerumani ije kufirisika kisa wachuuzi wa gesi ambao hata simu hawajui kutengeneza. Haijatumia hata 10% ya bajeti yake ya mwaka kijeshi
hivi mkuu na wewe uliamini the might russian itapinduliwa kipuuzi au kitoto ...[emoji848][emoji848][emoji848]Aisee afadhari yameisha pro Russia tulikuwa na wasiwasi na huyu Prigo...
Ila Russia duh ...walituchezesha vichwa sana na hii move yao
Hawa walikua na mpango wa kulipeleka Jeshi la Wagner Beralus sasa wakatafuta mpango wa kuliamisha jeshi hilo bila Kushambuliwa na Ukrein na wamefanikiwaKwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.
Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.
Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
Nasubiri nondo zako mkuuKumekucha sasa, ndio naelekea uko mpaka jioni
Jana nilisitisha shughuli zote na ofisi zangu zote zilifungwa mpka nilipohakikishiwa Mambo yapo vizuri.polen sana mzee mm nilishindwa hata kula jana siku nzima nilijaa huzuni hata nilipewa miadi sehemu na demu mkali ssna sikwenda...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilishindwa kabisa kufanya kazi maana nilikuwa sijaelewa mpango wa PutinJana nilisitisha shughuli zote na ofisi zangu zote zilifungwa mpka nilipohakikishiwa Mambo yapo vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli, siku yangu ilikuwa imeharibika kweli kweli
Putin ameinesha uwezo wa kudili na mapinduzi bila kumwaga damu.Lengo kuu limefanikiwa mrusi yuko uchi
Hapo ndipo mnapokosea,usipende kumlaumu mtu asipofanya vile wewe upendavyo.Na huyo Prigozhin akiendelea kuwa hai ndani ya miezi mitatu ntamuona Putin kiazi tu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sasa mbona wa America wanalalamika Trump kapandikizwa na Urusi?.Intel ya Russia ina udhaif US aliweza wapandikizia kiongozi akaivunja USSR.
Unataka kusema Prigi anaenda Kyiv?Hivi kutoka Belarus kwenda Kyiv na kutoka Russia kwenda Kyiv ni njia ipi rahisi kufika Mimi kuna kitu nimewaza
Hahahah kumbe warusi wa jf wote tuliteseka mno jana. Ni mbinu za kivita lakini tuendelee kula mtori nyama ziko chini 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilishindwa kabisa kufanya kazi maana nilikuwa sijaelewa mpango wa Putin
Lete mrejesho....Putin kiazi tu
Huyu mwamba muacheni kama alivyo 🤣🤣🤣I See kibaao kimegeuka ha ha ha ....
View attachment 2668198
❗️Putin is an absolute master of 5D chess. The results of the so called "coup d'état" are:
🇷🇺24th June: Wagner was 200km from Moscow.
🇺🇦25th June: Wagner is 100km from Kiev.
⚡️This is some next level Sun Tzu Art of war tactics by Putin. Genius. 👏
🎙Follow @AussieCossack for more.
Mimi nilijua tu ni mbinu maana Wagner bila Urusi ni kazi bure.silaha zote za wagner zinatoka Urusi.sasa bila Urusi kuwapa silaha wataendesha vipi kazi zao huku Africa.Hahahah kumbe warusi wa jf wote tuliteseka mno jana. Ni mbinu za kivita lakini tuendelee kula mtori nyama ziko chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende mara ngapi...mshapigwa changa la macho mtulie...Unataka kusema Prigi anaenda Kyiv?