Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa kabisa.
Mtu anaandika eti,jamani tukubaliane kua hii issue imemuexpose Putin.
Wakati sisi wengiene tunamuona kama amewashinda mahasimu wake.
 
The sinema ilishafikia ukingoni toka jana saa 19:30, ilipopigwa simu kwa mkuu wa Wagner akatoa magazine kwa machine.

Nilikuwa very impressive toka asubuhi jana ila nilipoona 24news, CNN wanaweka matangazo katikati ya Breaking News nikagundua hata wao walipigwa na nyundo nzito.
 

Lukashenko's role in ending mutiny 'humiliating' for Putin​

The president of Belarus may capitalise on his role in ending the Wagner mutiny in order to delay Vladimir Putin's increasingly formalised control of the nation, according to military analysts.

Alexander Lukashenko reportedly used his own channels to negotiate with Wagner leader Yevgeny Prigozhin and de-escalated the situation using "unspecified influence", the Institute for the Study of War said.

"The optics of Belarusian President Lukashenko playing a direct role in halting a military advance on Moscow are humiliating to Putin," said the US think-tank.

This may have secured him other benefits, such as preventing Mr Putin from using Belarusian forces in Ukraine or furthering the Union-State agreement, it added.

The Union State of Russia and Belarus is a series of treaties on policy integration signed by the two nations which have been seen as an attempt by Mr Putin to "soft annex" Russia's neighbour.

https://news.sky.com/story/ukraine-...updates-12541713?postid=6096252#liveblog-body
 
Ivi mnaona kama vile Putin alikuwa ameshindwa kupiga ile misafara ya Wagner maana ndege vita 10 tu zingetosha kusambaratisha kila kitu.
Mnatakiwa kujaribu kufikiri kwa upana, leo hii uwauwe wanamgambo zaidi ya elfu 20 wenye mafunzo na uzoefu mzuri vitani je wengine wenye uwezo kwa haraka utawapata wapi.ndo maana option ya kwanza ilikuwa sio kuwapoteza bali ni kuongea nao ila wangekataa basi hapo option ya pili ya kuwasafisha ingetumika.

Option ya kuingia vitani na wagner ilikuwa ni ngumu na ya mwisho kwa sababu utateketeza wanamgambo elfu 20 ila na wewe utapata hasara ya wanajeshi sio chini ya elfu 5 wakati uwo uwo upo vitani ukraine, unategemea hapo utakuwa sawa kweli.
 
Sijaelewa kwa nini wamefanya ivi au awataki kurudi kambini


[emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji298]️ Several dozen PMC 'Wagner' fighters surrendered to the police during the withdrawal from Rostov-on-Don and other regions - Mash
[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Nikusaidie TU jambo.
Hata USA walisema baadae kua wao hawakuhusika katu na kuvunjika kwa Ussr.
Tumeshawaeleza na kuwa eleza humu kua ussr haikuvunjwa na USA,bali ni matokeo ya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa Yani perestroika and glasnost.
Hakuna ushahidi wowote wa Gorb' kuwa kibaraka wa US. Na hata Gorb alikuwa rais wa ussr kwa zali tu baada ya mtangulizi wake kutawala muda mchache sana na kuugua(simkumbuki jina) ila alikuwa boss wa kgb na ndie aliyemleta gorb kwenye uongozi baada ya kuvutiwa na sera zake za kimageuzi. Ikumbukwe wasoviet wengi tu walikuwa wanataka mageuzi. Bahati mbaya mageuzi yale yalikuwa ni hatarishi kwa uwepo wa ussr sbb ilijengwa kwa misingi ya usiri, ubabe na woga. Na kilichoimaliza ni ajali ambayo ni reflection ya mambo hayo ya usiri, ubabe na woga-Chernobyl. So, nyakati zilifika, ussr ilikuwa lazima ivunjike. US anasingiziwa tu.
 
Embu tuelezee kwa nini Raisi mstahafu wa USSR akaishi Marekani badala ya Soviet block yoyote?
Tena alindwe na CIA, NSA na other security organ.
 
Sadly!Propaganda zimetamalaki tena na assumptions za uongo with no facts or evidences.
Wengine wanasema mchezo wa kuigiza,wengine ni hali halisi(mapinduzi)
Hata hivyo siamini kwenye hizo dhana,ndio maana nikakaa kimya.
Ila nimeona dalili mbaya kwa upande ule!
 
Kuna vitu vya kushangaza sana ni ngumu kupata jibu.

FSB walivamia jengo la makao makuu ya wagner kwenye mkoa wa Saint petersburg na kukuta kiasi cha 4 bilion rubles(47 USD million) sawana bilioni 108 za kitanzania.Prigozhin alikubali ni kweli za kwake ila ni kwa ajili ya kulipa mishahara na matumizi mengine.

Swali la kujiuliza, aliwezaje kwenda kufanya mapinduzi wakati ofisini kwake kuna ela nyingi kaziacha.ina maana alishindwa kuziondoa au.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…