Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Kwa sababu wameandaa vibaya (hivyo vifari vilikwama bila mafuta na askari walipaswa kuiba madukani maana chakula kilikwisha),Mbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Huyu Musk huwa ana kihere here!!Rogozin responded to Elon Musk, who challenged Vladimir Putin to a duel.
Galip SV Liwagu View attachment 2150215
US anamuonya China kama naniπ fala mmoja wakati yeye anatuma silaha Ukraine kisirisiriUS anamuonya urusi kama nani?yeye alipomsaidia ukraine alionywa na nani?china najua hataki vita ila atampa msaada wa siraha kama ni kweli na sio west propaganda.putin kinukishe dunia yetu wote sio ya siafu wachache wa west
Hivi ana nini huyu!?hajui hii Ni 2022?atakuwa ana calendar sio burePutin na ushamba wake anatumia mbinu za second world war ambazo ni 70+ years old
Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao
View attachment 2150139
Salamaleko!Awa wanapita door to door mtaa kwa mtaa awaitaji surport ya ndege wanachapa mkono kavukavu huku wanaswali.
Ahsante sana Mkuu,walau wewe umekwenda straight kwenye point,hizi nyingine zimebaki story za vijiweni tu ilimradi kusogeza uzi utembee.Kwa sababu wameandaa vibaya (hivyo vifari vilikwama bila mafuta na askari walipaswa kuiba madukani maana chakula kilikwisha),
Kwa sababu hawakuandaa wanajeshi walioamini wanaenda mazoezi kumbe wanaona wanatumwa kumvamia jirani
kwa sababu wameota ndoto Waukraine Warusi (yaani raia wa Ukraine wanaosema Kirusi badala ya Kiukraine) watawapokea kwa maua,
kwa sababu waliamini nchi kama Ukraione haiwezi kitu,
kwa sababu safari iliyopita walipovamia Crimea hawakupata upinzani mkali,
kwa sababu wana rais dume kabisa ambaye hapendi kusikia maoni yanayompinga na hivyo hasikii ukweli na jenerali waliogopa kumwambia mpango ni kijinga
kwa sababu hawapokelewi kwa maua bali kwa upinzani wa raia wengi wa Ukraine
kwa sababu tangu kuvamiwa na Urusi mwaka 2014 (Crimea) jeshi la Ukraine walifanya masahihisho mengi
kwa sababu bilioni nyingi ambazo Putin aliweka katika jeshi haziufika maana sehemu kubwa imeibiwa inapatikana kwa umbo la mayacht (meli za fahari) kule Cyprus na nyumbe nzuri pale Roma na London
Subiri, nipumzuike, kuna sababu za ziada...
Hahaha huyo ni muigizaji mkuu bwana masanja
Huyu kenge siku zake zinahesabika
Nikadhani hizi siku tatu nitakuta Ukraine keshachakazwa hata hapumui na Zelenskyy yuko mezani kwa Putin anapiga magoti,kumbe bado yupo yupo sana anaendeleza mapambano.Salamaleko!
Nyamiz Kiev hapaingiliki kirahisi sasa Putin imebidi awaite mamluki kutokea Chechen na Syria leo siku ya 18 ngoma bado mbichi kila siku twaambiwa wapo km kadhaa lakini imekuwa ngumu kuitwaa Kiev, huku raisi wa Yukrain bado yupo nchini mwake mpaka anatembelea majeruhi wa vita. Aisee ila vita mbaya sana πππππmnataka kusema Russia kwa sasa analazimika kuomba msaada kutoka "ChenChen" ili kumaliza hii special operation π
SLAVA UKRAINE β
Point ya sikuVita ni biashara pia, Vita ni uchumi kuanguka na kukua kwa wengine.
Mkuu watu waliwadharau sana Ukraine,ingekuwa tu ni maneno ya hapa JF ndiyo yanamfanya Putin ashinde hii vita wenyewe wanaiita special operation,basi Russia alikuwa anamaliza hii kitu kwa siku tatu tu.Lakini kwakuwa maneno ya hapa JF ni soga za kusogeza muda,kwenye uhalisia hali ndiyo hiyo 'wako km 25 nnje ya Kiev" leo week ya tatu inasogeaNyamiz Kiev hapaingiliki kirahisi sasa Putin imebidi awaite mamluki kutokea Chechen na Syria leo siku ya 18 ngoma bado mbichi kila siku twaambiwa wapo km kadhaa lakini imekuwa ngumu kuitwaa Kiev, huku raisi wa Yukrain bado yupo nchini mwake mpaka anatembelea majeruhi wa vita. Aisee ila vita mbaya sana πππππ
A pregnant woman wounded in the Russian bombing of a Ukrainian maternity hospital has died along with her baby, reports say.
View attachment 2150247
Oooh Asante,nawasikia Sana hao chenchen hapa uwanjani kumbe ndio hawa!hatariChechen ni mkoa ndani ya Urusi unaongozwa na raia wenye asili au dini ya kiislam.na Sheria nyingi za mkoa huo ni kiislam zaidi.
Ila ni wapiganaji hodari sana.
Urusi watashinda mwazoni (mzunguko wa kwanza), wanaweza hata kuingusha serikali ya Ukrain, Lakini watarudisha virago kama walivyorudisha Afghanistan..Nikadhani hizi siku tatu nitakuta Ukraine keshachakazwa hata hapumui na Zelenskyy yuko mezani kwa Putin anapiga magoti,kumbe bado yupo yupo sana anaendeleza mapambano.
Sababu zipo nyingi lakini sio kwamba wanashindwaMbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
KabisaKwamba hiyo haipigiki?