Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nikadhani hizi siku tatu nitakuta Ukraine keshachakazwa hata hapumui na Zelenskyy yuko mezani kwa Putin anapiga magoti,kumbe bado yupo yupo sana anaendeleza mapambano.
Wapiiii!wapo tu wanambwekambwela wanaomba mamluki kutoka nchi za mashariki huko!Wana vitisho Hawa jamaa!
 
Nakubaliana na wewe,ndiyo maana Tsh kila siku anasema,anasubiri vita hii iishe halafu tuone what Next kwa Russia ndani ya Ukraine? Hapo ndipo vita halisi ilipo,hii ya sasa yeye adondoshe tu mabomu kadri apendavyo
 
Yaani wasimame waziwazi kumuunga Russia!! HAWAJITAKI AU!!!
China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.

Ukweli uliomchungu ni kwamba Marekani ana nguvu sana na anatisha. Walau kungekuwa na uwezekano kwa Russia kuibuka Mshindi japo kwa 30% wanaomuunga mkono wangejitokeza wazi kusimama naye. Ingawa hata akishinda vita vya makombora na bunduki bado hatakuwa na ushawishi mkubwa sababu hana nguvu za kiuchumi za kuvuka mipaka yake.

Tusione nchi kama Uingereza, German, France nk zimemkumbatia na kumuamkia " SHIKAMOO BRO" Ni kwasababu USA ni DUBWANA MOJA HIVI KUBWA SANA.
 
Mkuu uko sawa, Tukiondoa Nyuklia zinazomuweka mbele kijeshi na kutisha Dunia, Urusi hawezi hata kuipiga UK...................

Urusi ilikuwa kabla ya 1991...
 
Kwa maneno machache Ni hivi Putin yatamshinda!
 
Yule mjamzito aliyetolewa Kwenye ile hospital ya maternity iliyoshambuliwa majuzi amefarik inasikitisha ameanza kufa mwanae hali ikawa mbaya kwake ikabid wamfanyie CPR but haikusaidia akafata nayeye,kuna bibi ndio kagoma kabisa kuondoka ana miaka95 miguu mibovu kasema yeye anabaki afie kitandani kwake [emoji174]
 

Wamewazimia media zao wao Ndio wanareport afu utegemee waandike habari wasizozipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…