Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inafikirisha sana taarifa za kukomboa maeneo ya Ukraine, waingereza wanazijua sana kuliko hata Ukraine wenyewe
 
Wanaiheshimu au wanaiogopa?
Huo ulikua ni uoga wao TU.
Sasa kama wanaiheshimu kwa Nini wasiache kupeleka silaha ili vita iishe?

Walichoogooa hapo ni kua Ukraine isije ikajidanganya kudhani ni fursa kushambulia ndani ya Moscow kwa vile Wagner wameasi,west walijua majibu ya Urusi kwa Ukraine yangekua ni yabhatari zaidi.elewa mada hiyo vizuri.
 
Hili suala la Wagner Ukraine limewavuruga kabisa yaani hawajui wafanye nini..media zimeshift attention kabisa...nahisi hata wanajeshi waukraine waliweka silaha chini kufuatilia kinachoendelea Russia...

US akawa ndo wakwanza kutoa clarification kuwa hausiki na kinachoendelea.. na wakawsiliana na Moscow kwa karibu kuhusu usalama wa silaha za nyukilia...Washauri wote wakamfuata mzee...Biden mapumziko kwa ajili ya kuendelea kufuatilia hali

Pale EU ndo kukapoa kabisa vikao mwanzo mwisho wakifuatilia kinachoendelea Moscow wakiomba hali ikae sawa...

US na EU wamekua wakimsema sana Putin..juzi walipohisi anawezapata shida wote wakaanza kupata uoga.UK na chuki yake yote kwa Urusi juzi katulia na wakijiandas kukabili kitajachotokea..

Juzi ulimwengu mzima MSD zilikua zinareport kuhusu Putin, Wagner , Urusi sio hata Ukraine.

Why??
Usalama wa West unategemea sana usalama wa Urusi na kuwepo kwa kiongozi mwenye busara Kremlin pale.

Putin mpole siku akiingia natinalist au .tu kama Prod....west watachanganyiwa.

Putin anawqsaidia sana
 
Cha kushangaza hizi KA-52 zilishindwa kuwazuia wahalifu wa Wagner mpaka Lukashenko akaingilia kati kuepusha maafa.


Sasa huyo lukashenko kasaidia nini.alipeleka jeshi au.yani uwe na uwezo wa kuchukua nchi alafu ukubali kuenda kupewa hifadhi nchi ya watu.

Kuna makamanda walikuwa wanamsaidia Prigozhin ila baada ya kuona wengine wamekataa, wachechnia nao wamekataa, National guard nao wamekataa mpaka wananchi nao wakawakataa ikabidi watu wabadilishe gia angani.

National Guard walikuwa watu wa kwanza kuona maandalizi ya wagner kuingia.leo Putin kasema kuwa National Guard wataanza kupewa silaha nzito kama wanazotumia jeshi.uzuri national guard wapo chini ya Raisi na sio Shoigu kwa iyo watakuwa na uwezo wakukabiliana na adui yoyote yule ndani ya Urusi
 
RUSSIA [emoji635] haishindi hii mnayoiita vita ila UKRAINE [emoji1255] kushinda hio mnayoiita vita yaani musahau kabisaaaa
 
Ngoja nieke kituo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…