Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanajua hilo, sema wanajitoa fahamu tu
 
So what is your suggestion kama unaona ni makosa hata kugenga SGR .
Kwa hiyo unaona ni vema Malori ya mizigo yaendelee kuongezeka , maana kwa sasa tu ukisafiri njia ya Dodoma Malori ni mengi kuliko gari ndogo.
Nahisi wewe ungekuwa Rais usingeruhusu mradi wa Mwendokasi/DART.

WEWE NI KIELELEZO HALISI CHA WAAFRIKA WENGI AMBAO AKILI NA FIKRA ZAO NI FINYU SANA
 
Changamoto sana!
 
Kuanguka kwa Ruble kunaashiria nini wanajamvi.... 1usd kwa 99ruble... mwaka jan la ilikua na wastan wa 1usd kwa 75ruble
Rubble haijaanguka kwa natural course, kinachofanyika ni Mmarekani kuipunguza dola katika mzunguko ili kuiimarisha.

Baada ya nchi nyingi kuanza kusign mikataba ya bilateral trade kati yao kutumia national currencies, dola ikaanza kuanguka maana demand yake ikawa inaporomoka taratibu.

Kilichofanyika ili kuinusuru ni kupandisha interest rates kwao marekani ili kupunguza kiasi cha dola kilichopo kwenye mzunguko. So the current supply ya dola iko chini as compared to its demand sokoni.

Implication ya hii ndo tunaiona hata huku kwetu, dola haipatikani hata kwenye mabank makubwa. Jana Kenya wametanga currency yao Iko at the lowest against dollar over the past 50 years. Usd 1= 150Ksh (3000).

Hii move ya Mmarekani aifanye kiumakini sana, bila ivyo itachangia dola ipotee kabisa kwenye ramani. Kadri wanavyoifanya dola iwe chache kwenye mzunguko ndivyo nchi nyingi zaidi zinajitoa kwenye matumizi ya dola katika biashara zake. Maana hawana iyo dola.

Tuombe tu washauri wa mama walione hili mapema, huu ndo muda wa kuachana na USD. We trade zaidi na China, Saudia na India. Why are we using a third part currency kwenye hizi transactions?
 
Watu wanaharibu potential military target, super pawer anakazana kupiga maghala ya nafaka[emoji1787]View attachment 2709440
Hayo ni mawazo yao, Russia mwenyewe anasemaje? Wakati fulani ni upumbavu kuwasikiliza Ukraine wakiisemea Russia! Walipoiwekea vikwazo Russia walifikiri asingefika leo, HAPA NI WAPI?
 
Madelu anawaza tozo tu na ndio ushaur pekee ambao anaweza mpa bi Mkubwa
 

Umedadavua vizuri sana mkuu... wacha tuendelee kuisoma movie...

Na apo unamaanisha nikinunu dola 1 kwa 2500tsh nikaenda uza kenya napata 3000tsh (150ksh) apo napiga li 50tsh kama faida.... kwenye mil 25tsh natoka na faida ya 5mil.... naomba tusaidiane kueleweshana apo kama vp watu tuingie mzigoni
 
Yeah ni sahihi, kuna kitu kwenye uchumi kinaitwa arbitrage, ambayo inahusisha currency tatu kwenye market mbili tofauti.

You buy dollar kwenye market ambayo demand ya dolla iko chini, unaenda kuuza kwenye market ambayo demand ya dolla iko juu.

Ukifanikiwa kununua dola kwa rate ya 2500tshs hapa Tz, ukauza Kenya kwa rate ya 150Kshs na ukaja kuibadili ile Kshs hapa bongo kwa rate ya 1kshs to 22 Tshs...ile difference ndo faida.

Changamoto iliopo hapa ni kwenye upande bank charges. Ukitumia bank charges zilizopo, faida yote unawaachia banks. Ukisema uvushe pesa kwenye bag, uwe makini kutopewa kesi ya utakatishaji wa pesa
 
Bro umechambua kitaalamu sana. Wengi wanadhani uchumi wa urusi unaanguka kisa ruble kushuka thaman against dollar, wasijue kuwa sarafu karibu zote Duniani zimeshuka thamani against dollar.
Marekani anatumia gia hatar sana kutaka kukomboa sarafu yake, ila asijue inaweza kuwa kichocheo chakuiua sarafu na uchumi wake.
Spacetime will tell
 
Urusi ipi hio
 
Sijui hesabu gani umepiga kupata hio miaka 5E9. Ila nachujua Number don't lie acha izo porojo za kisiasa, mara oooh tunaonganisha mikoa, maraa ooh watu wanapata nafuu ya usafiri.
Nadhani hujui kabisa nini dhana ya kuendeaha Serikali kwa mfumo wa kisasa wa kibepari, serikali inapaswa kuchaneli mapato inayopata katika miradi iliyotekelezeka kwa faida, miradi inayojiendesha. Labda nikuulize kama wewe u ulipaji wa Kodi. Au unafikiri serikali inachapisha tu pesa hovyo hovyo ikitaka kufanya mradi.
 
Yaani wewe kusoma kote umeshindwa ambulia pointi yangu hata moja, kipofu wa kuelewa, nilichosema ni kwamba huo mradi hautakiwi kujegwa. Kwani reli ya kati haipo, ivi kwa mfano wa kawaida tu, kama gari ya Ist imekushinda kuihudumia, je utaweza Prado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…