Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Mkuu, Turkey (memba wa NATO) alishachukua S-400 ya Mrusi ambayo ni mfumo bora zaidi wa ulinzi wa anga Ulimwenguni, unachukua nafasi ya kwanza (ukitoa S-500). Hawezi kununua tena Patriot missile system, ambayo pamoja na kubebwabebwa kote na media za kimagharibi, imewekwa nafasi ya 5 kwa Ubora Duniani.Turkey comments on US Patriot and F-35 plans
Turkey has no plans to obtain the US-made Patriot missile system and will no longer seek to buy the F-35 fighter jet, considering the matter “closed” after Washington kicked Ankara out of the multi-national program to develop the craft in 2019, a top defense official said.
Wewe ni timu masanja mkandamizaji kwakujua toka kitambo pia acha urusi imwazibu mwanae mkubwa ili watoto wanaofata waone baba huwa ni mkimya ila ukimchokoza hiiiiiiiiiiiWell nimeupenda ulivyoongea,Mimi naomba tu nikwambie ukweli Mimi sio mdau wa ubabe wa magharibi!Sipendi vile USA anavyojifanyaga yeye ndio kiranja wa dunia,Sipendi kiongozi yeyote anaengilia mipaka na uhuru wa nchi nyingine!hii ndio Sababu nimemchukia Putin, before hii Vita nilikuwa nampenda nilidhani huyu ndio anaweza tunishiana misuli na USA,Sasa kwenda kutunishiana misuli na ka nchi alikokazidi hapo ndio kaniudhi Sana! Kama source Ni hayo ma military base ya NATO kwa vile yeye Ni big fish alikuwa na uwezo wa kupiga biti hao NATO Kama alivyowapiga biti la kutojaribu kuingia kwenye Vita na wametulia,Sasa yeye na kipara chake kile kakurupuka kuua watu.
Kuhusu habari hiyo Ni kawaida Sana kila upande huwa wanatetea upande aupendao so huwezi amini kila kinachoandikwa. Mfano Mimi na wewe hapa tuambiwe tuandike habari za Vita we mwenyewe unajua hizo habari zitakuwaje!
Sanctions ni kiwembe. Hakina huruma
😄😄😄😄😄😄😄😄.Baadhi ya askari wa Urusi wameasi na kujiunga na jeshi la Ukraine. Kumekucha.
Mbinu hizo, siyo kwamba wameasiBaadhi ya askari wa Urusi wameasi na kujiunga na jeshi la Ukraine. Kumekucha.
Sawa, na jana hiyo hiyo ndio madege ya kivita ja jeshi la Russia yakiwa humo humo Russia (kwenye anga la Russia) yameshambulia na kuangamiza ngome ya kijeshi iliyopo Lviv, magharibi mwa Ukraine. Yametumia makombora zaidi ya 30.HABARI ILIYOFICHWA JANA TAREHE 14,LILIFANYIKA JARIBIO LA KUIANGUSHA KREMLIN LAKINI LILISHINDIKANA HIVYO IKAMLAZIMU PUTIN KUBALISHA SYSTEM YAKE YA ULINZI.
Mara nyingine ukiwa unan'qoute njoo na data zilizonyooka... Il tusipotezeane mda. Tatizo lako huwa ni moja tu "Ujuaji usio na tija" elezea kuhusu Drone na vifaa vya kivita tu uku kwenye uchumi achana nako... Narudia tena hakuna tuzo hum JF ya kujua kila kitu... Af ajab zaidi upo kubishana sio kujifunza so next time ntakupuuza...China is a winner hilo halipingiki, kwanza China anaweza dictate price maana ndio mnunuaji mkuu aliyebaki. Ila Russia is a looser, kama China ni wa kujitosheleza kuuziwa kwanini Russia aliuza Ulaya si angeanza mwanzo kuiuzia China pekee. Russia ni looser kwenye sanctions, tutakubaliana muda ukifika. China hana uwezo wa kufanya replacement ya exports zote zilizozuiwa kwenda Ulaya, hawezi import vitu vinazidi mahitaji yake kisa Russia ana sanctions kwingine. Na hiyo BRICS haimsaidii kitu Russia kwenye sanctions. Kwamba Brazil, India na South Africa zihatarishe uhusiano wao na Western countries kisa Russia? Kuuunga mkono tu hii operation hawajafanya, hata China mwenyewe yuko neutral
Af wakifa watangaze Raia wasio na hatia wameuliwa.The head of the Ministry of Internal Affairs of Ukraine said that the authorities issued tens of thousands of machine guns to the population to participate in hostilities against Russia.
“Every citizen of Ukraine can apply to the police department, prove that he really works for the defense of Ukraine, works or is in the ranks of the territorial defense, volunteer formations of territorial communities, and receive the appropriate weapons,” said Denis Monastyrsky.
He specified that the distribution of weapons would continue, including in areas bordering Belarus.
View attachment 2151217
Keep dreaming.Mbinu hizo, siyo kwamba wameasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dadeki[emoji38]
"Without lubrication." This is how porn star Nikita Bellucci describes today's gasoline prices in France.
Judging by the photo in the stories, a full tank - 56 liters - cost her 125 euros (about 15 thousand rubles).
View attachment 2151225View attachment 2151226
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just 9hrsBriton Jake Pride came to Ukraine to fight the Russians, but left the country nine hours later.
Galip SV Liwagu View attachment 2151232
Shikamoo putin mtu yupo dar anachapa mara huku analost mainiPentago yasema shambulio la Russia kwenye ngome ya kijeshi ya Yavoriv, mkoa wa Lviv, magharibi mwa Ukraine karibu na mpaka wa Poland, lilifanywa tokea anga la Urusi (sio kwenye anga la Ukraine).
Pentagon ikafafanua kuwa Russia ilitumia Madegevita yanayoweza kurusha mabomu kwa masafa marefu (long-range bombers) yaliyokuwa yakiruka kwenye anga la Russia. Kwa hivyo ile dhana ya kuzuia mashambulizi ya Russia nchini Ukraine kwa kuzuia ndege kuruka nchini humo (No-fly Zone) isingeweza kuleta matunda kusudiwa.
View attachment 2151161
Picha: Ramani ya Ukraine ikionesha Russia ilipo, na mkoa wa Lviv wenye kambi hiyo ya Ukraine iliyoshambuliwa (mkoa wa Lviv upo magharibi mwa Ukraine - nimekuwekea alama usipate shida ndugu msomaji)
Mawazo yangu: Shikamoo Putin! kumbe wawezashambulia hadi Poland ukiwa huko huko kwako [emoji87][emoji87][emoji86]
Source: Washington Post