lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Feb27 2022Putin keshabanwa mbavu, wenzake hata habari ya nuclear hawana, yeye linakimbilia hiyo misilaha why? hii inanikumbusha ugomvi wa shule ya msingi unapigana na mwenzio mkono kwa mkono uvyoanza mzidi nguvu mwenzio unashangaa katoa wembe. ndicho Putin anachofanya sasa keshaona umoja wa NATO hauwezi iwe jua iwe mvua. Huu ukichaa wake unaenda icost dunia kiuchumi vibaya sana.
Feb 27 2022Ghafla Putin limekuwa zee la kulia lia linalalamika tuuuuuu hakuwa anajua kuwa atapigwa kiuchumi ndo ajue western ni western na uchumi wake unategemea western.
Sijui alieandika hapa 27 Feb 2022 kama anajua Urusi anachowafanyia NATO wote pamoja na kaka Yao Marekani kama kuunguza satellite zao.Naandika kwa herufi kubwa. KIUHALISIA PUTIN AMESHINDWA NA NI AIBU KUBWA SANA. RUSSIA SIO SUPER POWER KIHIIIIVYO KAMA ILIVYOAMINIKA. ILIKUWA TU OVERRATED. Hii vita imeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Russia.
Nimeshangaa sana kuona Russia hana sophisticated satellites kwa ajili ya Ku track vikundi vya adui zake, yaani amekuwa anatafuta adui kama vita vyetu vya kiAfirica vita vya kuviziana atakayekuwahi. Nimeshangaa eti amelalamika kuwa huenda USA anatumia Drone kuelekeza adui mipango ya vikosi vya Russia. Na kama ni kweli basi hiyo ni credit kubwa kwa USA
Kweli propaganda zilikua nyingi mno,lkn Dubu kapindua zote.Tuliwaambia URUSI hana utani, wakaja PRO-NATO wa BUZA na kelele za kusema URUSI hana vifaa na amepigwa vibaya.
Kinachondelea UKRAINE nia BALAA. Tuombe wamalize tofauti zao kwa mazungumzo na sio kwa Vita. Vita ni mbaya sana, nimeona sehemu URUSI wamesema kutokana na propaganda zinazoenezwa kuwa askari wao wengi wameuawa sasa wanataka kuwaonesha kile kitu halisi kinachoitwa kipigo.
Hamas mlimpa kichwa ila kilichotokea unakijua. Ukraine is too small to stand against moscowTukiwaambia mna mihemko kama nyumbu mnatuona wakorofi..,na hii mihemko imeanza kurejea siku za hivi karibuni., ngoja zelensiky aendelee kuwachakaza Ili tuone mtakuja na ngonjera gani nyingine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnafiki huyoUrusi Sasa ni imara kuliko kabla ya hii SMO.
Ila sijui kama kweli Aya ya mwisho alikua anamaanisha hivyo.
28 Feb 2022
Norfolk ni base ya Kijeshi ya Marekani.Norfolk imekwisha agiza Ton 50,000 za Mafuta ghafi toka Urusi na hizo Ton zimesafirishwa na Meri ya Mizigo ya Ujerumani.
Wiki hii Putin alisema milango ipo wazi kwa wawekezaji na Wafanyabiashra hata wa Magharibi sababu Urusi ni kitovu cha Gas Dunia nzima.
Chanzo Fox news.
Nyamizi is now red and blue
Amepokwa Airport 😂 😂 😂Nyamizi is now red and blue
Wabaya sana haoAisee,kumbe Hali ilikua hivi pia.
Hapa mwamba ulitishaMANENO YAMEKUWA MENGI, UKRAINE INAHARIBIWA KILA SIKU, NATO, EU, UN na USA Muda wote wanakaa vikao na hawaji na option ya kumpiga URUSI. Hii vita nimekubali kuwa kwenye VITA hakuna wa kumtishia URUSI duniani.
Anayeona kuna nchi inamuweza MRUSI, apeleke jeshi UKRAINE au atangaze kufunga ANGA LA UKRAINE kwa niaba ya UKRAINE.
Tuache ushabiki maandazi, URUSI ni mnyama.
March 1 2022Kushikwa pabaya sio tatizo, lkn jeshi Mrusi ataweza kuhimili vita hivi kwa miezi mitatu au zaidi ijayo. Uchumi umeanguka, silaha ambazo ndio zilikuwa zinamfanya awe Super power namb mbili duniani ndio hizo zinazidi kutumika kujilinda, askari wanakufa, wanajeruhiwa, wanatekwa nk. Wakati Mrusi akipanga namna ya kutumia silaha zaidi ili a win mapambano, Mmarekani na washirika wake wao wanatumia muda huo kuendelea kuunda silaha mpya, kukuza uchumi wao, na kujizatiti zaidi kwa ajili ya vita vya serious vinavyoweza kutokea huko mbele. Sio hivi vya mtoto na baba au vita ya paka na panya.
Dah! yaani wemtosa aisee! wanadamu sio watu,,,,😂😂🤣🤣Tuhitimishe tu kuwa Urusi kafanikiwa kuchukua maeneo ya Ukraine kwa nguvu na bado anaendelea kuwatandika . Zelensky kadanganywa wamemuachia msala 🤣
Alitakiwa kuweka akiba ya manenoMnafiki huyo
,,🤝🤝🤝🤝Wabaya sana hao
Hakuna huruma
Huyu mwamba hakukubaliana kabisa na propagandaWanajeshi kufa wa Urusi lazima wave,tinachobisha na hizo western media zenu ni kuwa Warusi wanakufa wengi kuliko wa Ukraine huku kila siku wanajeshi wa Urusi wanasonga mbele na Raia wanahama Nchi.
Sasa unajiuliza kama hao wanajeshi wa Ukraine hawafi kwa kiwango hicho inakuwaje wanajeshi wa Urusi kila kukicha wanachukua mini???