Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The discussions are an acknowledgment of the dynamics militarily on the ground in Ukraine and politically in the U.S. and Europe, officials said.

The big question is will Putin agree to sit down for negotiations? Has the goals of his operation been achieved?
 
Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yaani ww jamaa, vipi kuhusu akina chui_2 na akina challenge drone kamikaze za kimarekani ulizo kuwa una shinda humu una tuandikia magazeti kuhusu ubora wake na ukitamba kuwa tusubiri Offenseve tuone shughuli yake.
Leo ni mwezi wa 7 hata kukomboa km moja wameshindwa zaidi ya Ukraine kupoteza ardhi yake zaidi.

Silaha za Urusi ni bora na ndio maana kipindi Ukraine inatumia silaha kirusi alikuwa angalau anaonesha pafomans nzuri kwenye uwanja wa vita ,tofauti na sasa ambapo anatumia silaha za kimagharibi anaonesha pafomans mbovu kabisa kwenye uwanja wa vita mpaka wana fikiria kuachana na hiyo vita huku masilaha yao unayo yasifu yanaharibiwa hovyo hovyo tu.
Yaani mtu asiye jua chochote kuhusu masuala ya kijeshi anaweza kukuona ni bonge la mchambuzi kumbe ni bure.

Yaani ww nadhani ulitakiwa kuwa comedian maana huwa unaongea vichekesho maana ndo inayo kufaa maana huwa unaandika mambo ya kuchekesha.

Mara mara vifaru vya Urusi vinatengenezwa kwa chip za frige na mashine za kufulia nguo,mara marubani wa Urusi wanarusha ndege bila mitungi ya oxsijen, mara Urusi haina uwezo wa kutengeneza hata furampeni na brender ya kusaga juisi yaani tafulani tupu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Mara vifaru vya Israel havipigiki na anti tank yeyote leo hii tunaona vina pingwa na viant tank vilivyo tengenezwa kienyeji na visivyo na nguvu.[emoji2][emoji2][emoji3]
 
Tatizo sio kumiliki anga bali tatizo ni unamiliki anga dhidi ya nani?
Usiniambie kuwa Marekani akiingia vitani na Iran au N.korea ataweza kumiliki anga kama alivyo weza nchi nchini Iraq na Afghanisitan.

Alafu Ukraine ina eneo kubwa sana huwezi kudhibiti anga lake kirahisi, acheni kuchukulia mambo kiurahisi.
 
Hii mbona imeshaisha mkuu!!

Disastrous failure ya counteroffensive na matukio ya baada ya Octoba 7 yaliashiria mwanzo wa mwisho wa Zelensky na utawala wake.

Hebu nambie Zelensky anaweza kum convince nani tena ampe silaha za ku mount counteroffensive nyingine? Kwanza hao West hata kama nia ya kumpa silaha tena wangekua nayo, wanazitoa wapi wakati wao wenyewe wameishiwa kabisa na wakati huo Urusi anazalisha silaha kama hana akili nzuri baada ya kufanikiwa kuuweka uchumi wake kwenye war footing? Kwa West kwasasa Ukraine is a lost cause, a dead end, hebu apatikane mchambuzi yeyote atwambie hapa, watampa silaha ili a achieve nini? To what end???

Juzi unasikia wameweza kumpa tu 30% ya artillery shells milioni moja walizokua wamemuahidi!

Umesikia kifurushi alichotoa Ujerumani juzi? Ni kifurushi ambacho hakiwezi kutosheleza hata kambi mbili let alone kuipa nchi inayopambana na Urusi.

Tukubali tu as painful as it is, Ukraine ndo ishaenda hiyo.

Next time wengine wajifunze kupitia quote ya marehemu Henry Kissinger;
"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal"

Hawa jamaa ni mashetani kamili, kukuletea matatizo makubwa kisha wakakuacha kwenye mataa ni suala la kawaida mnoo kwao, yaani hawajiulizi mara mbili!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ha ha haa majibu mijarab kabisa haya.
Unajua ndugu yangu kama vita hii isingetokea watu wengi wangeendelea kuamini kua silaha za west ni Bora kuliko silaha za Urusi.
Lakini matokeo ya vita yametoa majibu sahihi kwa wakati sahihi.

Kama silaha za Urusi ni dhaifu kuliko silaha za west mbona Urusi inaendelea kuchukua majimbo TU wakati west wameshachangishana silaha zote na zimeanza kuwaishia kwenya stop zao?

Kwa kifupi hatuhitaji maelezo mengine wakati wenyewe tupo hai tuna akili zetu tunashuhudia mwendo wa vita.
Majibu ya silaha zipo Bora ni hiihii smo inayoendelea Leo wala sio Dubai Expo.
 
Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
Hivi unafikiri wamarekani,wainger,wajerumani wafaransa na wengine wanapenda vita hii,je sauti zao zinasikika?
Kama ni maandamano Warusi baadhi waliandamana lkn hawakusikilizwa poa west nao waliandamana lkn hawakusikilizwa.
Naamini hata Putin mwenyewe hapendi vita,wanapenda vita wanajulikana ni wale wanaolazimisha NATO ipanuke kuizunguka Urusi na wale wanaopeleka silaha Kila siku Ukraine ndio wanaopenda vita.
 
Maelezo darasa haya,mwenye kuelewa na aelewe.
 
View attachment 2185178
View attachment 2185180

View attachment 2185179
Urusi Taifa la hovyo sana Hizi ni baadhi ya picha ya mauaji ya Bucha.
April 12 2022
Habari ya "bucha" ilitingisha sana.urusi Ingekua kama Iraq ya Sadam ivyozushiwa kuhusu WMD saa hizi ingesha fanyiwa kitu mbaya na NATO.
Lakini Urusi wanajua kujibu hoja za uongo kwa data na ushahidi usio na chembe ya shaka.
Lkn pia hakuna NATO wa kaka yake NATO wanaoweza kumgusa.
Nakumbuka ndege ya Malaysia iliyopigwa na watu wasiojulikana lkn kesi akasukumiziwa Russia.
Lkn miamba ya Moscow ikapangua hoja za kizushi zote.
 
Hii ilikua 20 April 2022

Dah!
Ila watu hawakuthubutu kabisa kufungua vinywa vyao juu ya uonevu aliofanyiwa Iraq na Rais wake.
Sio tu WMD iliyoonekana Iraq Bali hata sumu za panya TU hawakukuta lkn Sadam wakamnyonga.Aisee.!
 
Tulikuwa tubahesabu .... tu...
Kiev has also lost nearly 1,500 soldiers in the Krasny Liman direction, nearly 900 soldiers in the South Donetsk direction, up to 350 soldiers in the Kherson direction and up to 260 soldiers in the Zaporozhye direction
===
 
Hata Warusi wamechoshwa na hii Vita Ila sauti zao zimeminywa zisisikike.
Russia na sehemu kubwa ya dunia wamechoshwa na ukiritimba wa US na vibaraka wake. Vita hii ina malengo makubwa zaidi ya tunavyojua, tusubiri tuone itamalizwa vipi.

Kuhusu warusi kuchoshwa na vita, mmoja wa waliogombea urais 2018 akimpinga Putin amesema hata uchaguzi ungefanyika leo, Putin atashinda kwa zaidi ya 78% bila hila zozote.

NATO na washirika wamegundua wakiwa wamechelewa kuwa hesabu zao walipiga vibaya.
 
 
Kama Kawa zele alipokuja akimaliza TU kubwia ugolo alitoa tamko l akuwafurahisha mabwanyenye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…