Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

May 19 2022
Kuna watu walikataa propaganda
Hahah, Mkuu lee Vladimir cleef umenikumbusha enzi hizo tunafanya kazi kubwa ya kufungua mafuvu magumu na yenye kutu ya Wana pro-NATO/USA.

Siku hizi nimekuwa mpenzi msomaji na mtazamaji wa mambo yanayoendelea kutokea leo tuliyoyasema mwanzoni mwa SMO, lilikuwa ni suala tu la muda Russia kuanza kutimiza yale yote tuliokuwa tunasema humu na nadhani hata hao team mafuvu magumu (NATO) wameshaanza kujionea wenyewe na bado wataendelea kuona sanaa.
 
Japo licha ya mafuvu mengi ya pro-NATO kufunguka na kuelewa tulichokuwa tunakisema ila naona bado kuna baadhi ya pro-NATO kama kina T14 Armata mafuvu yao bado yana kutu yanahitaji kupigwa msasa tena ili waache kushangaa na kujiuliza kwanini Russia hajamiliki au kuweka "No fly zone" kwa anga zima la Ukraine.

Labda tu nimusaidie huyu T14 Armata kwa ufupi sana kuwa, Russia uwezo wa kumiliki anga zima la Ukraine anao ila kwasasa hawezi kwasababu hana sababu ya kumiliki anga lote la Ukraine. Kwanini?

Kwasababu, Russia hapigani vita dhidi ya Ukraine ( It is not War against war ) bali anaendesha operation maalumu ya kijeshi kwa lugha nyepesi ni kuwa anapigana kijeshi kwa kulenga target maalumu za Ukraine alizokusudia na kuendesha nguvu ya kijeshi kwa maeneo maalumu tu nasi Ukraine yote ambayo kimsingi ni maeneo ya mashariki mwa Ukraine yani "Donbas region". Sasa unataka aiwekee Ukraine yote "no fly zone" kwa faida gani na kwa matumizi yapi na ili apate nini ambacho hajakipata/hatakipata kupitia SMO yake?

Anyway; ngoja niishie hapo nisitumie nguvu nyingi kuelewesha mambo yanayoeleweka hata kwa mtoto wa kidato cha tatu aliesoma historia za vita mbalimbali.

Poleni sana pro-NATO kwa fedheha na aibu mnazopitia sasahivi.

Heko sanaa kwa team yangu ya watu smart (Pro-Russia) AkA wanaume na wanawake halisi wasiopenda ujinga wa LGBTQ [emoji304]

Vivaa Gen. Vladmir Putin [emoji123] Viva Russia[emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ukiona hawaripoti, elewa kinachoendelea ni hiki hapa!


Avdiivka, the eastern Ukrainian city that has seen some of the most intense fighting of the war, is on the verge of β€œimminent collapse” to Russian forces, according to a report.


A dispatch in the Times by its former Kyiv correspondent said Ukrainian troops defending the frontline area were β€œstarved of ammunition” and hamstrung in their attempts to repel the advancing enemy soldiers


 
Nikitazama Biden pale Poland akiji proud Sana! Wala Nato Sasa imeshikamana kuliko Siku zote na mbaya zaidi akatamka kuwa Putin hatakiwi kuishi.
Nikajiuliza yeye ni MUNGU?
 

Juni 10 2022 hii Mwanangu.

Ha ha haa,
Aisee!
Hii Dunia haiko sawa kabisa,yaani mtu unapigwa Kwa hoja Hadi unaanza kulia
 

June 13 2022
Dah huyu mwamba aliamua kujishusha ili kuleta usawa lkn huyu jamaa na yule pacha wake aliekua akitaniana nae ndg Galip Vrl
 

June 14 2022
Ha ha ha haa formula hatari
 
Kitu June 15 2022 hiki

Dah huyu mwamba hakutaka kabisa maagizo ya mwenyezi Mungu yatenguliwe na binadamu.alitoa onyo kali
 

Kitu June 16 2022

Mwamba huyu kama ilivyokua kwa miamba mingine pro Russia hakukubali kabisa upotoshaji.
Huyo mpotoshaji alilazimishwa kibabe kukaa mstarini.
 
June 17 2022

Ha ha ha haa.
Kumsajili Putin ni sawa na utopolo kumsajili Mbape
 

Juni 18 2022 kitu hiki.

Dah Kuna watu walichambua mambo kitaaluma Zaid.
Kuonesha kua USA aliwaza kumkomoa Urusi lkn aliishia kukoma yeye.
Wengi mnakumbuka baadhi ya mabenki ya USA kuanguka.
 
Counter offensive imehamia kwenye masanamu? Mlivo wasanii hamchelewi kuomba hela kwa ajili ya siraha za kubomoa masanam
 
June 20 2022

Vijimambo kama hivi pia vilikuwepo.
Uswahilini Kuna vituko,ebwana. Eeeh
 
Marinka is liberated!
(only small pockets remain under AFU control)

⚠️ The now destroyed city of Marinka, after nearly 20 months, the city of Marinka was captured by the Armed Forces of the Russian Federation, and only small pockets of resistance can be found near the western outskirts of the city.

πŸ”» This will put pressure on the Ugledar Tactical Group and may expose Ugledar further however the villages of Novomilkhaivka, Konstantionvkoya, and Pobeda must be captured in order to turn this into a serious threat. Our forces likely will continue to push towards Heorhiivka.

πŸ”» I do not think the fighting will stop, instead, fighting will likely pick up pace as it will turn into non-urbanised fighting with very little defences behind the city until the village of Heorhiivka is reached. - via Slavyangrad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…