Mkuu hao wakubwa kwani hawajipendi watamchapa sawa ila nao watachapika na nchi zaoImefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.
Ninachoamini kama USA/NATO wakiamua kwa dhati kulianzisha itamlazimu Russia kurudi nyuma na kuona umuhimu wa Diplomasia ktk mgogoro huu. RUSSIA INAPIGIKA TU SEMA HAWA WAKUBWA HAWANA DHAMIRI YA DHATI NA HAWAGUSWI NA MAISHA YA UKRAINE KIHIIIIIVYO.
Watu wanakufa na nchi inakuwa Magofu sababu ya Kisirani cha Mtu mmoja tu Mr P.
Ni mtangazaji wa hiyo TV.Hiyo ni propaganda ya kiboya, utawezaje kuingia studio kirahisi hivo, hata Tbc kuingia studio sio rahisi kihivyo tena na viatu hapana haiwezekani......
Wewe ni mshabiki sana wa Urusi. ila hujaelewa vitu vingi..Sasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele
RS-28 Sarmat
Designer: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)
Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
View attachment 2151620
Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558
Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
Kichwani mwako zimo kweli? Hata kugoogle unashindwaKwa taarifa yako Marekani hazalishi mafuta, anayo ya reserve tu, Russia ni taifa kubwa ndio nchi ya Kwanza kutengeneza Roketi, ndio yenye Teknologia ya kwake, Russia ni ya 2 kwa uzalishaji wa mafuta, ya 1 kwa uzalishaji wa ngano.
Vizuri, nimeyapenda maelezo yako. Japo binafs hua mgum sana kuweka hundred percent ya kitu flan ni sawa mpk nijiridhishe [emoji847][emoji847][emoji847]Wale wanaohisi kwamba maelezo yamekuwa marefu sana, waniwie radhi tu!
Suala zima la "neo-Nazism" ni kama ambavyo nimelisema kwa kifupi hasa kuhusiana na chimbuko lake mpaka kufikia hivi sasa. Kama ni suala la kulizungumzia kwa ukamilifu wake, basi kero za watu kushindwa kusoma maelezo marefu zingekuwa kubwa zaidi kuliko sasa.
Nimetoa challenge ndogo ama changamoto kwa wote hasa wale wanaodhani kuwa itikadi hii ni tatizo linaloikabili Ukraine pekee. Maana kumekuwa na propaganda nyingi sana hasa kutoka upande wa Urusi kuhusiana na serikali ya Ukraine kwamba ni yenye sera za mrengo huo.
Ndio maana nikaongeza kuwa, naendelea kusubiri hoja kutoka maeneo mbalimbali zenye kuthibitisha madai hayo. Facts zilizopo ni kuwa, suala la neo-Nazism limeenea karibu bara zima la Ulaya katika vikundi vidogo-vidogo (minorities) huku katika baadhi ya nchi kukiwa na taasisi zenye mrengo huo na zenye majeshi kamili ambayo yametumika mpaka na serikali za nchi husika katika migogoro mbalimbali ya kimataifa.
Hoja yangu ama challenge ambayo naendelea kusisitiza ni: je, matumizi ya taasisi zenye mrengo unaoshabihiana na Unazi mamboleo katika mipango na shughuli mbalimbali za serikali, mfano, RIM ya Urusi ambayo nimeielezea hapo awali, nao ni Unazi mamboleo ama si Unazi mamboleo? Je, serikali husika zinajiendesha katika mrengo huo?
Ni challenge ndogo tu! Ngoja niendelee kusubiri hoja kutoka kwa wadau mbalimbali!
Tuache mambo ya kitoto! Hakuna atakayeiona. Kila upande una makombora yanayoweza kufika haraka zaidi (kutoka kwenye nyambizi) ambayo hatutaona vileviile.Sasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele
RS-28 Sarmat
Designer: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)
Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
View attachment 2151620
Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558
Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
Sasa mbona huwa mnasema taarifa za kutoka magharibi Ni za uongo kuhusu Russia,mbona taarifa hii ya Pentagon mnasema ya ukweli?Dada yangu unaijua na pentagon!???. Kweli!!! au upo ofisi ya CDI hapo ngome?. Maana jeshini hata sisi huku watu wanaangaika kujua majirani wana nini,wako waling na lini,wapi na nani kaagiza silaha. Kwanini ili iweje,malengo yao Ni yapi je?! silaha hizo sisi Kama Tanzania zinaweza kuwa na madhara gani ikiwa jirani atakuanazo. Na je! tukiingia na jirani kwenye mzozo tunaweza vipi kujikinga na hizo silaha.
Kwa bmachache hayo uelewe kbsa kuwa Huko pentagonini wanachakata Kila inayoitwa taarifa kutoka field/taarifa za vyanzo vya ndani na nje/ masatelaiti na Kila kitu.
Cheki Alaska na Canada ni 80 km mpaka na USSRSasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele
RS-28 Sarmat
Designer: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)
Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
View attachment 2151620
Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558
Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
Tuvumilie hata sisi hatupendi hii hali.Tumehama kwenye vita tumefika huku sasa,Pro Russia mbona kama mnapanic sana🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2151596
Tutaelewana tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Mzee sasa unataka na wewe kuninyima uhuru wa kutoa michango yangu humu JF!?Wewe ni mshabiki sana wa Urusi. ila hujaelewa vitu vingi..
Hizo propaganda za kiduanzi ndio zinafanya Putin aendelee kujimwambafai Huku anataketea!urusi ndio imeteka silaha nyingi za ukraine. Ukrain haijateka kitu ingekuwa kweli wasinge rudisha nyuma na warusi
pichani ni urusi ikiwa na silaha za ukraineView attachment 2151440View attachment 2151438View attachment 2151439
Nuclear detterence ndiyo inamlinda huyo kichaa. Bila nuklia Putin hana jeuri ya kuvamia nchi huru.Imefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.
Ninachoamini kama USA/NATO wakiamua kwa dhati kulianzisha itamlazimu Russia kurudi nyuma na kuona umuhimu wa Diplomasia ktk mgogoro huu. RUSSIA INAPIGIKA TU SEMA HAWA WAKUBWA HAWANA DHAMIRI YA DHATI NA HAWAGUSWI NA MAISHA YA UKRAINE KIHIIIIIVYO.
Watu wanakufa na nchi inakuwa Magofu sababu ya Kisirani cha Mtu mmoja tu Mr P.
Kweli kabisaNuclear detterence ndiyo inamlinda huyo kichaa. Bila nuklia Putin hana jeuri ya kuvamia nchi huru.
Mimi binafsi sijawahi kukataa taarifa yeyote ile fatilia comment zangu. Mimi ninacho kipingaga hapa ni kusema Russia anapigwa huku watu wanazidi kuteka maeneo, mara kuishiwa silaha. Hivyo ndio mi navipinga sababu Nina experience na hayo mambo.Sasa mbona huwa mnasema taarifa za kutoka magharibi Ni za uongo kuhusu Russia,mbona taarifa hii ya Pentagon mnasema ya ukweli?
Duh [emoji848][emoji848][emoji848] ata bao la kwanza mtu hujashusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Sasa ngoja tuongelee uwezo wa hii silaha kutoka Russia. Kwanini USA anagwaya kujiweka kimbelembele
RS-28 Sarmat
Designer: Makeyev Rocket Design Bureau
Operational Range: 18,000 kilometres
Max Speed: Mach 20.7; 25,560 km/h (15,880 mph); 7.1 km/s (4.4 mi/s)
Hii hapa distance from Moscow to Los Angeles
View attachment 2151620
Chukua 9763 ÷ 7.1 = 1375.070422535
1375 ÷ 60 = 22.91784037558
Maana yake mzigo ukiwa launched Moscow ndani ya Dakika 22 LA inakuwa majivu.
Waacha we... Ada ya tuition ndo shi ngapi sasa nimwambie Baba anipe mapema [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]una utoto mwingi sana wewe,pia uwe unaandika kwa ufasaha haya maneno "af' "ka' "ndo' inabidi kwanza tuanze na darasa la kuandika maneno kwa ufasaha 🙂
Hivi unajua kiingeleza kweli?View attachment 2151596
Tutaelewana tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa mpiga picha anabadili angle tu!Ila nyinyi!urusi ndio imeteka silaha nyingi za ukraine. Ukrain haijateka kitu ingekuwa kweli wasinge rudisha nyuma na warusi
pichani ni urusi ikiwa na silaha za ukraineView attachment 2151440View attachment 2151438View attachment 2151439
Na binafsi naona kabisa hawana habari nae na nahisi kwao Ukraine ni part ya ajenda yao nyuma ya Pazia. Who knows? Najarib kuwaza tu [emoji847][emoji847][emoji847] na togwa angu pembeni apa.Imefika sehemu nawaza ni kwanini wakubwa wa Dunia wasijiunge kumsimamisha Russia kwa lazima hata kwakupigana naye. Hii ya vikwazo itasaidia lakini watu wengi nchini Ukraine watakuwa wamekufa na nchi kuharibika zaidi.