MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mwanzo alikuwa kabla ya operation, Zelensky alikuwa na upper hand kama angekubali kufanya makubaliano.Kuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.
Ilikuwa ni rahisi sana kwa Ukraine kuchagua kufuata matakwa ya Urusi na kupangiwa nn cha kufanya na raisi wa nchi nyingine ili majengo yao yasiharibike lakini wakaamua tofauti bila kujali majengo yataharibika au cardless atawaona wao ni loosers.
Vikao vipo si sababu ya kuokoa majengo yasiendelee kuwa magofu ila inatafutwa namna ya upatanishi bila kuaffect uhuru wa UKRAINE. Otherwise kama wangethamini majengo kuliko uhuru jeshi la Ukraine lingesalimu tu amri na kusujudu UISHI MILELE MFALME PUTTIN.
Hiyo ni proxy war ya US na Urusi Ukraine masikini anatumika kama chombo US akiamua leo kuongea na Russia hiyo vita inaisha leo leo na utakua hivo
Ukiwa kiongozi unatakiwa uhakikishe unalinda usalama wa raia wako, huwezi iingiza nchi kwenye vita unavyojua utashindwa,,,. hapo ameshaharibu maisha ya mamilioni ya raia wake na future ya watoto wao...Hiyo ndio akili..Rais ya Ukraine ni mpumbavu sanaInatokea mara nyingi tu katika maisha esp kama wewe ni mtafuta utajiri, Kuna wakati unalazimika uchague kati ya what is right and what is easy.
Ukraine waliweka kwenye sahani wachague kati ya Puttin au Kifo. Kumchagua Puttin ilikuwa maamuzi rahisi sana.
Umenikimbusha kabisa Ramani hii hapa!?Mwanzo alikuwa kabla ya operation, Zelensky alikuwa na upper hand kama angekubali kufanya makubaliano.
Ambayo ilikuwa Ukraine isijiunge na NATO,
Kuyapa Autonomous luhansk na Donetsk region lakini Nchi ingebaki salama.
Ila kwa Sasa Urusi Wana upper hand,
Hivyo Zelensky atabidi akubali au aendelee kupigania.
Asipokuwa makini Novorussia itaundwa ambayo ni eneo lote la Mashariki.
Chaguo ni lake
Choices.Mwanzo alikuwa kabla ya operation, Zelensky alikuwa na upper hand kama angekubali kufanya makubaliano.
Ambayo ilikuwa Ukraine isijiunge na NATO,
Kuyapa Autonomous luhansk na Donetsk region lakini Nchi ingebaki salama.
Ila kwa Sasa Urusi Wana upper hand,
Hivyo Zelensky atabidi akubali au aendelee kupigania.
Asipokuwa makini Novorussia itaundwa ambayo ni eneo lote la Mashariki.
Chaguo ni lake
You know nothing in international diplomatics.Nchi yoyote lazima kuna wakati itakuwa na maamuzi ambayo nchi nyingine haitayataka haswa mnapokuwa majirani. Sasa nchi moja kutaka nchi nyingine iwe neutral maana yake ni nini?
Kenya leo ituambie tuwe neutral hataki tuwe member wa ushirika fulani au atatuvamia anakuwa amemaanisha nini? Unapata picha gani? Tutamjibu nini?
Mfano, Ukraine ana vinu vya nuclear, Urusi kaona hapana akamwambia achana na nuclear nitakulinda, Ukraine akaachana na nuclear. Hivyo ndio kuwa neutral au ni kufata matakwa ya Urusi?
Kama Ukraine ni nchi huru na si koloni la Urusi lazima kuna mambo itafanya kwa maslahi yake ambayo si maslahi ya Urusi na hapo Urusi itamuona huyu si neutral kwa tafsiri nyingine huyu hafuati ninachotaka.
Mpe hii akasilize hao anaowaita "Wababe wa dunia" linapokuja swala la vita ambayo wanaona itapelekea uharibifu kwao huwa wanafanya nini...Ukiwa kiongozi unatakiwa uhakikishe unalinda usalama wa raia wako, huwezi iingiza nchi kwenye vita unavyojua utashindwa,,,. hapo ameshaharibu maisha ya mamilioni ya raia wake na future ya watoto wao...Hiyo ndio akili..Rais ya Ukraine ni mpumbavu sana
Ya hii baada ya miaka kadhaa, wanahistoria watatumia mifano ya bwana mchekeshaji Zelensky kufundisha na kukionya kizazi kijacho.So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Swali fikrishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimelipenda...You know nothing in international diplomatics.
Umewahi kujiuliza lengo la NATO ni kujilinda na NANI??
UKIJUA HAPO UTAELEWA KUWA UHURU WA UKRAINE UNA MIPAKA YAKE.
Watu wanasahau jukumu namba moja ya kuwa kiongozi. Sasa hivi ndio amekubali kuwa UKRAINE haitojiunga NATO. Sasa si apigane mpaka mwisho wake ili kusimamia anachotaka?Ukiwa kiongozi unatakiwa uhakikishe unalinda usalama wa raia wako, huwezi iingiza nchi kwenye vita unavyojua utashindwa,,,. hapo ameshaharibu maisha ya mamilioni ya raia wake na future ya watoto wao...Hiyo ndio akili..Rais ya Ukraine ni mpumbavu sana
Majimbo mawili hayajavamia, majimbo mawili ....Sawa. Urusi hajaivamua Ukraine ni majimbo mawili yameivamia wamepewa msaada huku maelfu ya aukraine wakifight alongside.
Ya hii baada ya miaka kadhaa, wanahistoria watatumia mifano ya bwana mchekeshaji Zelensky kufundisha na kukionya kizazi kijacho.
Huyu bwana ni mjinga aliyepitiliza
Huu ndio ubaya na gharama za demokrasia.
Huwa haichagui tactical, vision leader ila binadamu yoyote mwenye financial muscles, bigger mouth au mtu maalufu tu
Kwamba hiyo spirit Urusi Haina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Freedom is not free mkuu. Unazungumzia Georgia, vp kuhusu USSR kukimbia Afganistan baada ya strong resistance ya mujahideen kwa kusaidiwa na ISI,CIA and Saudi Arabia? mbona huzungumzii USSR kukimbia resistance kutoka kwa wananchi wa finland? Russia will never ever win this war, ever, na ndiyo maana wameshaanza kuondoa baadhi ya masharti magumu katika mazungumzo na ukraine. Russia akiendelea na hii trap ya ukraine aliyowekewa na west,lazima ataingia kwenye economic collapse kama kilichotokea kwenye collapse ya USSR baada ya long war na mujahideen. Ukraine wana historia ya mapambano, ni spirit waliyonayo for years tokea WWII and am not suprised. Kuikalia na kuitawala nchi yenye watu 40 milion plus na ambao wana spirit ya resistance ni ngumu mnooo- unless russia anataka permanent casulties kwa wanajeshi wake kwa vita isiyoisha.
Asipoipiga Magharibi ya Ukraine, vita itaishaje Sasa?Kaka umewahi kusoma ulichoandika?
Eti Warusi wanatetea Donetsk (katika mashariki kabisa) na hivyo wanarusha mabomu Kiev (si mashariki) na Lviv (iko magharibi)????
Sawa nyumbani kwao wanatagaza wanatetea Urusi dhidi ya mashambulizi ya NATO ila ilhali (kwa bahati mbaya?) NATO haikuingia bado Urusi wanapaswa kutetea nchi huko Ukraine (ingawa NATO haikufika Ukraine).
Puti aliandaa vita yake vibaya, lakini propaganda aliandaa vizuri sana!
Amepata waumini!!!