MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Ndio kujiunga na ADUI yako?Nchi yoyote lazima kuna wakati itakuwa na maamuzi ambayo nchi nyingine haitayataka haswa mnapokuwa majirani. Sasa nchi moja kutaka nchi nyingine iwe neutral maana yake ni nini?
Kenya leo ituambie tuwe neutral hataki tuwe member wa ushirika fulani au atatuvamia anakuwa amemaanisha nini? Unapata picha gani? Tutamjibu nini?
Mfano, Ukraine ana vinu vya nuclear, Urusi kaona hapana akamwambia achana na nuclear nitakulinda, Ukraine akaachana na nuclear. Hivyo ndio kuwa neutral au ni kufata matakwa ya Urusi?
Kama Ukraine ni nchi huru na si koloni la Urusi lazima kuna mambo itafanya kwa maslahi yake ambayo si maslahi ya Urusi na hapo Urusi itamuona huyu si neutral kwa tafsiri nyingine huyu hafuati ninachotaka.
Wewe huwa unaita watu vilaza, na sasa unatumia kingereza kuniita kilaza wa international diplomatics, huo ni udhaifu wako sina tatizo nao.You know nothing in international diplomatics.
Umewahi kujiuliza lengo la NATO ni kujilinda na NANI??
UKIJUA HAPO UTAELEWA KUWA UHURU WA UKRAINE UNA MIPAKA YAKE.
Mkuu unatembeza nyundo sana. Alafu unapiga kichwani tu [emoji1787]Mkuu umeshindwa kuonesha S-300 kwenye video yako uliyoleta mwenyewe kwa mikono yako?! Maajabu yaliyoje haya[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Halafu baada ya kushindwa kuonesha S-300 ndio umerukia chanzo kingine[emoji1787][emoji23][emoji28] Habari yako uliyorukia sasa inaripotiwa na global defense corp. Sasa, kwa akili yako hao global defense corp ndio waArmenia (Armenia Ministry of Defense) wamiliki wa S-300 wanaokiri kuharibiwa mfumo wao huo?!
Umeshindwa hata kuwa na maarifa ya kujua habari unayoisoma umewekewa na nani?! Sasa ndio utaweza kuhakiki taarifa kujua ya kweli na ya Uongo?
Nakuwekea link ya website ya Wizara yaUlinzi ya Armenia, ambayo unadai wao wamekiri kuharibiwa S-300. Tafuta habari hiyo kwenye website hiyo kisha uweke hapa jamvini
Հայկական Բանակ
Kwa kukusaidia tu shirika la habari la AFP liliishafanya utafiti kuhakiki madai ya Azerbaijan kuwa mwaka 2020 waliharibu S-300 ya Armenia kwa kutumia drones za Turkey. AFP wakaona na kukanusha kuwa madai hayo sio ya kweli, ni ya uongo. Picha wanazotumia Azerbaijan hazina uhusiano wowote na vita ya Armenia/Azebaijan ya 2020. Picha hizo zimekuwepo mtandaoni toka 2016 (kabla ya vita hiyo) zikiripoti kuhusu air defense system iliyoharibika nchini Russia baada ya accident.
View attachment 2152446
.View attachment 2152447
These photos have circulated since 2016 in reports about an air defence system that was damaged after an accident in Russia
Two photos have been shared repeatedly in multiple Facebook and Twitter posts alongside a claim they show a Russian-made air defence system that was destroyed in an October 2020 attack on Armenia. The claim is false; the photos have circulated online since 2016 in reports about an air defence...factcheck.afp.com
Kuchagua upande ni suala binafsi. Ukraine kuchagua kuwa rafiki na NATO na kuwa adui na Urusi si ajabu ni maamuzi yake kama nchi huru ila lina matokeo. Na matokeo ndio haya, wanapigana.Ndio kujiunga na ADUI yako?
Sawa sawa.Majimbo mawili hayajavamia, majimbo mawili ....
Yanaretaliate, haya ni matokeo ya kuwa shelled kwa miaka nane....
Ukipindisha facts, Ukweli hauwezi kuonekana.
So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
Halafu kama Urusi anapambana na Ukraine ambayo anga lake halijalindwa Bado ana hangaika na kupata hasara,je,akipambana na nchi yenye mifumo thabiti ya ulinzi wa anga au NATO Hali yake itakuwaje?
Nina mashaka makubwa na uwezo wa Jeshi wa Urusi [emoji848]
HAO NATO HAKUNA KITU KABISA HASA HIVYO VIDEGE WANAITWA WAINGIE MZIGONI WANAKULA KONA HA HA HA NATO HATA SISI WABONGO TUNAWACHAPA VIZURU TATIZO MASHOGA WENGI MLEHalafu kama Urusi anapambana na Ukraine ambayo anga lake halijalindwa Bado ana hangaika na kupata hasara,je,akipambana na nchi yenye mifumo thabiti ya ulinzi wa anga au NATO Hali yake itakuwaje?
Nina mashaka makubwa na uwezo wa Jeshi wa Urusi 🤔
Tena ana roho nzuri sana huyo Russia,amewaachia Ukraine vifaru vingi sana na Ukraine anavitumia kumchapia mwenyewe.
Sasa hivi Russia ni Moja wa supplier wa vifaa vya kijeshi wa Ukraine[emoji848]
Hawa jamaa kwa propaganda hatari, walivyompa heading huyo mmama sasa hatari.Marina Ovsyannikova, an employee of Channel One, hit the front page of all popular British publications. Galip SV Liwagu View attachment 2152586View attachment 2152587
View attachment 2152588
View attachment 2152589
SI MCHEZO
Kuna watu hawapendi kabisa kusoma habari kama hizi.Russia delivers 90 tonnes of humanitarian aid to Ukrainians
Russia has delivered more than 90 tonnes of humanitarian aid supplies to residents of Ukraine's Kharkiv Oblast,
Pro Russia mna Habari huko Kherson Nini kimetokea??
Au ni waache kwanza Hadi mizoga ikianza kuoza
Povu la nini wewe pro Putin?Wewe nani amekuambia, Urusi anahangika na anga la UKRAINE? Au unaposia wafunge anga unaelewa kuna milango inafungwa??
We jamaa ni kilaza.