Kwako wewe aliyeko sahihi ni URUSI au UKARINE??Wewe huwa unaita watu vilaza, na sasa unatumia kingereza kuniita kilaza wa international diplomatics, huo ni udhaifu wako sina tatizo nao.
Tukirudi kwenye mada NATO inajilinda na Urusi, na sikatai kuwa Urusi haiwezi kukubali Ukraine awe NATO ndio maana ameingiza majeshi.
Ninachotofautiana na wewe ni kuwa Ukraine ipo sahihi pia kuamua kufanya maamuzi yake ya kuitaka NATO na kuwa na uadui na Urusi. Wewe unataka Ukraine akubali anachotaka Urusi na Ukraine hawataki kumfata Urusi na wameamua wapigane.
UNAULIZIA KIEV MAJIV? KHAATeh teh hatari sana,tangu 'Kyiv majivu" ilivyobuma ,nikaona hapa hamna kitu.
"Uhuru bila ya mipaka ni uwendawazimu na mipaka bila ya uhuru huo ni utumwa."Kanuni kuu ya uhuru, ni kwamba uhuru wako usihatarishe uhuru wa mwenzako.
Ushahidi ndiyo huu kuwa kafa au ndiyo "tukuamini bro"Yule sniper hatari ameshakuwa View attachment 2152481
Hao wenye mifumo waingie vitani sasa kumsaidia UKRAINE.Povu la nini wewe pro Putin?
Ukraine hawana mifumo mizuri ya ulinzi wa anga lake Bado Russia ametota!
Ndicho nilichosema, kwann uumize miundombinu na watu wako kwa vitu vinavyowezekana??Tatizo sio kusimamia unacho amini, tatizo ni pale unaposhindwa kusimamia unacho amini baada ya kupata madhara makubwa.
Mkuu mm naona huyu raisi wa Ukraine ni mjinga kwa sababu madai ya Russia tangu mwanzo yalikuwa ni hakikisho la kimaandishi la Ukraine kutojiunga na NATO na ndicho kilicho sababisha Russia inaivamia Ukraine kitu ambacho kili kataliwa na viongozi wa Ukraine.
Lakini sasa hivi wanataka kukubali tena matakwa ya Urusi kutojiunga na NATO wakati maelfu ya waukrine wamesha uawa na mamilioni wameikimbia nchi yao miundo mbinu walio ijenga kwa miaka mingi ikiharibiwa vibaya ,
Sasa kama walikuwa wana jua hawangeweza kusimamia kile wanacho kiamini siwange kubali mapema ili kuokoa maelfu ya maisha ya watu na miundo mbinu?
View attachment 2152683
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nilimuuliza hilo swali, maana ameshikilia UCHUMI, UCHUMI, UCHUMI ukute hata huo uchumi unalimwaje.Hivi kwanini Qatar is the richest country in the world but wameiweka Kwenye third world countries!?
Huyo Putin ambae hawezi hata kukaa mita moja na wasaidizi wake kwa uoga ndiyo utegemee aende frontline? Haya mambo anaweza Mwanaume wa shoka Zelenskyy peke yake katika huu mgogoro.Kwa mtindo huu hata Putin akijifanya anakwenda Frontline , Ukraine wanakula kichwa.Huenda Kuna intelejinsia ya Ukraine imejipenyeza kwenye majeshi ya Urusi 🤔
Unamatatizo gani? Unatuchanganyia habari za 2021 na 2022 ili iwejeHaya Makombora ya Islander c Armenia alipewa na Urusi ili aipige Azerbaijan lkn yalitunguliwa na air defenses za Israel.
Hiyo NI habari toka chombo cha habari cha Urusi, The Moscow Times.View attachment 2152218View attachment 2152219
👍 👍Huyo Putin ambae hawezi hata kukaa mita moja na wasaidizi wake kwa uoga ndiyo utegemee aende frontline? Haya mambo anaweza Mwanaume wa shoka Zelenskyy peke yake katika huu mgogoro.
Unaandika kwa hasira sana, ubora wa jeshi la urusi unatambuliwa na wakubwa zako, pale Syria watu wanajua kwanini mpaka leo Assad yupo madarakani.Ndiyo, naona kuna busara kama serikali ya Ukraine iko tayari kusogea kiasi. Ila naweza kuwaelewa kama hawakuwa tayari kukubali moja kwa moja hadi ibaonekana Urusi haiweza kutenda jinsi inavyotaka.
Ungeamini wewe ahadi yoyote ya Putin ?????
Urusi iliahidi tayari kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea katika mkataba wa 1994. Matokeo yake tunaona.
Nato haiko Ukraine, haikuwepo Ukraine na imekataa mara kadhaa kupokea Ukraine.
Ukraine imepata hasara kubwa (kwa sheria ya kimataifa Urusi inatakiwa kulipa fidia).
Aliyepoteza vita ni Putin, hata akifaulu kuteka Kiev. Maana ameharibu nchi yake Urusi, amerudisha uchumi wake miaka mingapi, amefikisha mamilioni ya wananchi wake kwenye umaskini, Pia ameonyesha udhaifu wa jeshi lake (ambayo hakuna aliyetarajia tokeo hili).
Unaongea ushuziHuyo Putin ambae hawezi hata kukaa mita moja na wasaidizi wake kwa uoga ndiyo utegemee aende frontline? Haya mambo anaweza Mwanaume wa shoka Zelenskyy peke yake katika huu mgogoro.
Analeta stori za motivational speakers. Atulie ale kichapoWe are fighting for our lives. We fight for our lives in missiles, air bombs, artillery, tanks and mortars. And everything else that Russian troops are using to destroy us. Everything else than Russia is destroying itself now. Because every shot at Ukraine, every blow at Ukraine are steps towards Russia's self-destruction.View attachment 2151987
Kaka sijui umeona wapi hasira? Nimeuliza maswali , hivyo nikuulize wewe pia: Je ungemwamini jirani anayakupa mkataba anapotia sahihi anatamba na kukubali uwanja wako pia atakusaidia kukitunza (mkataba wa 1994 Ukraine-Urusi-Marekani-Uingereza) halafu anaondoa fensi na miti yako akianza kujenga yake na kuanza kukupiga?Unaandika kwa hasira sana, ubora wa jeshi la urusi unatambuliwa na wakubwa zako, pale Syria watu wanajua kwanini mpaka leo Assad yupo madarakani.
Hapo Ukraine ni special operation ambayo inabagua, hawapigi ovyo ndio maana silaha kali hazitumiki, ndio maana 'kuruta ' wa kirusi wamepelekwa mbele, Kwanini ? Huwezi jua nini kitatokea mbele ndio maana watu wanatanguliza nguvu kidg, then wanasoma mchezo.
Ukraine inazalisha wakimbizi, mali na miundombinu zainaaribika, watu wanakufa ni hasara kubwa ambayo Cnn, BBC na media za west hawatakuambia.
Swali kwako, je benk zote za urusi wamefungiwa Swift? Nchi za ulaya kuna hata moja imezuia nishati ya russia?
Ni lazima uwe open minded vikwazo kwa urusi vinaumiza sana pale ulaya, na anayecheza huu mchezo yupo mbali.
Huyo raisi wa Ukraine ni mpumbavu hata nyinyi mnao muunga mkono ni wale wale.Ndiyo, naona kuna busara kama serikali ya Ukraine iko tayari kusogea kiasi. Ila naweza kuwaelewa kama hawakuwa tayari kukubali moja kwa moja hadi ibaonekana Urusi haiweza kutenda jinsi inavyotaka.
Ungeamini wewe ahadi yoyote ya Putin ?????
Urusi iliahidi tayari kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea katika mkataba wa 1994. Matokeo yake tunaona.
Nato haiko Ukraine, haikuwepo Ukraine na imekataa mara kadhaa kupokea Ukraine.
Ukraine imepata hasara kubwa (kwa sheria ya kimataifa Urusi inatakiwa kulipa fidia).
Aliyepoteza vita ni Putin, hata akifaulu kuteka Kiev. Maana ameharibu nchi yake Urusi, amerudisha uchumi wake miaka mingapi, amefikisha mamilioni ya wananchi wake kwenye umaskini, Pia ameonyesha udhaifu wa jeshi lake (ambayo hakuna aliyetarajia tokeo hili).