Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Madhara yaliyotokea Kherson airbase ambayo Ukraine ilishambulia jana. Kamaz trucks kadhaa na helicopters zinaonekana zimeharibiwa
 

Attachments

  • 2022_03_17_10_50_46_Zh2FqoLBnAOdPPIg.mp4
    12 MB
Point yako ipi hapo sasa
 
Hahahaha Ukraine kupewa hizo air defense haiondoi ukweli na uhalisia kwamba hizo systems hazikufanya vizuri kwenye Vita ya Armenia-Azerbaijan. Hizo Systems ziliharibiwa vibaya na Makombora ya Lora ya Israel na drones za Turkey na Israel.

S300 zipo Syria na wakati zinapelekwa tulikua tunabishana humu watu walikua wanasema ndo itakua Mwisho WA mashambulizi ya Israel ndani ya Syria lakini Leo wote tunajionea nn kinaendelea ndani ya Syria.
 
Madhara yaliyotokea Kherson airbase ambayo Ukraine ilishambulia jana. Kamaz trucks kadhaa na helicopters zinaonekana zimeharibiwa
Ukraine jeuri sana,
Urusi hakuwa na intelligence ya uhakika, na ali underestimate uwezo wa Ukraine, Zerensky, Wananchi wa Ukraine...

Kwa muda mrefu Urusi atapoteza sana
Ukraine hana chakupoteza maana silaha anapewa bure

Vita ikiisha fedha za Urusi zilizokuwa blocked ndo zitaenda kutumika ijenga Ukraine
 
Mkuu T14 Armata , acha kuwalisha watu MatangoPori, sio kweli kuwa S-300 haina uwezo wa kuharibu UAV.

Kwani huwezi kupost pasi na kuweka habari za uongo au kusemea vitu usivyovijua?!



 
Morali ya wanajeshi wa Urusi umeshuka baada ya vifo vya wanajeshi wenzao zaidi ya elfu 7,huko Ukraine-Pentagon
 
Hizo sio habari za CNN wala BBC. Hizo ni observation tatizo lako la kuchukia hizo media lisikufanye uzisingizie kila taarifa inayotolewa. Hapo hujafatilia hata unachopinga mradi umeitaja NATO basi ushamaliza
Nani kafanya huo uchunguzi? Kubali tu unadandia mada hata kama huielewi mzee.
 
People can clearly see where the world is really heading to! Poor AMERICANATO!
 
Dakika 20 wakamfuta tena sniper wa urusi
 

NATO again rejects no-fly zone, claiming to avoid a 'full-fledged war' between alliance and Russia​

30 NATO defense ministers meet on Wednesday in Belgium for a special session amid the ongoing Russia-Ukraine conflict.

Despite committing to double down on NATO’s support for Ukraine the alliance has once again rejected Zelensky’s repeated requests on imposing a no-fly zone over Ukraine.
 
Wanajeshi wa ukrain wanapigania mitaan kuzuia warusi, so kwa hayo mazingira ya namna hiyo unategemea mrusi atarusha wapi makombora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…