Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Sheria ama kanuni ya wapi hiyo? Anayeleta shauri na hoja ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ukweli husika beyond reasonable doubt. Otherwise, asipofanya hivyo, hatakuwa tofauti na Joe Biden anayedai waziwazi mbele ya TV cameras kwamba Kamala Harris ni mkewe!Anaepinga ndiyo ana burden ya ku proof kile anachokipinga,Simple.
Nyundo tu hahahaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kbs, tena leo nimeamini wala Putin mwenyewe hamfaham vizuri.
Anakwambia ugonjwa alonao Putin angekuwa marekan angejiuzuru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajisahaulisha kibabu Biden kimeshaanza kupoteza kumbukumbu kias cha kuanza kumwita First Lady Makam wake wa Raisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado kipo madarakani.
View attachment 2153443
Hao Pro AMERICANATO wasituulize tena kwa nini Putin anamshughulikia dogo Zele! Sasa tunaelewa kwa nini US alikuwa na papara za kuhamishia China magoli ya chanzo cha UVIKO-19!Diseases Spread to Humans Through Bats Studied in Kharkov Under US Control For Years
The Russian defence ministry continues to study documents received from employees of Ukrainian laboratories on the implementation of biological warfare programmes by the United States and its NATO allies on the territory of Ukraine, the official said.
Kuna mrusi kaniahidi J3 kazi itakuwa wamemaliza.Naona tukila Pasaka na Kyiv ikiwa bado imara kabisa.Na kwa kile alichokisema Biden siioni ikianguka kirahisi tena.
Watakuja kukwambia BRICS, gesi na mafuta. Putin ni authoritarian na kawaida ya hawa ukiwaambia ukweli wanakutimua kazi, ukishafutwa kazi kwenye defense au intelligence community ya Russia ukiwa na cheo kikubwa basi wewe life expectancy inashuka.Ukraine jeuri sana,
Urusi hakuwa na intelligence ya uhakika, na ali underestimate uwezo wa Ukraine, Zerensky, Wananchi wa Ukraine...
Kwa muda mrefu Urusi atapoteza sana
Ukraine hana chakupoteza maana silaha anapewa bure
Vita ikiisha fedha za Urusi zilizokuwa blocked ndo zitaenda kutumika ijenga Ukraine
Mkuu hebu tulia halafu uandike kwa ufasaha,hakuna kombora linalorushwa hapa JF πHatuhabgaiki na propaganda za magharibi. Kwani unadhani Russia hajaua wabajeshi wa kutosha wa Ukrain ?? Russia sio watu wa kutaka Misifa
unaandika huku unakimbizwa au..?Hatuhabgaiki na propaganda za magharibi. Kwani unadhani Russia hajaua wabajeshi wa kutosha wa Ukrain ?? Russia sio watu wa kutaka Misifa
Sasa aliyeleta mwanzo si ametoa kile alichoamini kuwa ni sahihi tayari,wewe unaekipinga hicho alichokileta kuwa si sahihi basi leta kile unachodhani ni sahihi ili udiscredit kile kilicholetwa.Hayo mengine ya Biden ni stress zako tu Mkuu ,hiyo nakuachia u deal nazo mwenyeweπSheria ama kanuni ya wapi hiyo? Anayeleta shauri na hoja ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ukweli husika beyond reasonable doubt. Otherwise, asipofanya hivyo, hatakuwa tofauti na Joe Biden anayedai waziwazi mbele ya TV cameras kwamba Kamala Harris ni mkewe!
Mkuu kuna watu wanasema Russia hatumii jeshi analotegemea (red army), angetumia hao Hali ingekuwa tofauti, kuna ukweli?Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.
Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.
Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
Anadhani Zelenskyy atamvamia hapa JF πunaandika huku unakimbizwa au..?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa pumzika sasa, yaan wewe intelejensia yako imekupa majibu kuwa PUTIN aliambiwa kuwa Zelenskyy hapendwi hivyo watashinda hiyo vita.Watakuja kukwambia BRICS, gesi na mafuta. Putin ni authoritarian na kawaida ya hawa ukiwaambia ukweli wanakutimua kazi, ukishafutwa kazi kwenye defense au intelligence community ya Russia ukiwa na cheo kikubwa basi wewe life expectancy inashuka.
Zelensky anakubalika sana na jeshi na ni mhunimhuni tu wala hajakaa kimadaraka, viongozi wake hata wa kijeshi wanamuelewa na hawamuogopi. We tazama wanadiplomasia aliotuma waende Belarus wengine wamevaa kapelo wengine majaketi ya mistari tofauti na wanyuka suti. Zelenskiy yuko approachable huna haja ya kumdanganya, jeshi lilimuhakikishia linaweza mount opposition mradi aweze kujiliza wampe silaha na alivyo Myahudi basi hicho ni kipaji chao. Ndio maana Marekani ilitaka imtoeoshe akagoma.
Wakati huo Putin intelligence community yake ilimwambia Ukraine kuna neo-Nazis tutawapiga, Zelenskiy hakubaliki na raia watalipokea jeshi la Urusi. Mambo yalipobadilika Putin akataka jeshi la Ukraine limpindue Rais wao.
Urusi haikujipanga, Ukraine tangu wanajeshi wake mwaka 2014 wajisalimishe pale Crimea bila kurusha hata risasi, then Donetsk na Luhansk zikatwaliwa basi nchi imejifunza kupambana. Haiwezekani ilikuwa inafanya mazoezi bure tu na kutumia gharama nyingi. Hata mauzo ya silaha iliyokuwa nayo imestop mfano Congo DRC ilikuwa imeagiza vifaru modification ya T-64 ila Ukraine wanazitumia wenyewe
Njia ya majadiliano ilikuwepo,lakini kumbuka wakati huo tayari Ukraine walikuwa wamepitisha Kwa kura kuomba kujiunga na NATO!Hivi haya Mambo yalishindika kwa mediation kweli?Ila politicians Ni wabinafsi Sana.
J3 mkumbushe uone majibu yake. Amin nakwambia,tutakula Pasaka na Kyiv ikiwa imesimama imara.Kuna mrusi kaniahidi J3 kazi itakuwa wamemaliza.
Niliomba unipeleke kwenye link unayopata matukio ya moja kwa moja toka uwanja wa vita,fanya mambo mkuu.Na video kibao sema Zina MB nyingi sana... Unakuta sek 27 kwa MB93 sasa download then Uploading uku JF ni mzigo...
Ila Russia wako peace kinyama unaeza fikiri hawako vitani [emoji3577]
Mkuu ni kweli Urusi inaweza kuwa imeonesha udhaifu ila mm kinacho nikera ni kurazimisha Urusi ifanye kitu ambacho hata hao nato wenye nguvu unao wasema hawajawahi kufanya na hawatakaa waweze kufanya.Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.
Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.
Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
πππJ3 mkumbushe uone majibu yake. Amin nakwambia,tutakula Pasaka na Kyiv ikiwa imesimama imara.
Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,Waingie huko mtaani kikomando waviziane mlango kwa mlango, mumewakuta watu kwenye mitaa yao kisha mnalalamika kwanini wanatumia mitaa kupigana.