Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe endelea kuleta propaganda zako huku huko grounds Chui wa Karatasi Mrusi anachapika.
 
Hizi drones zimekua shida, kifaru kimeliwa shaba wanajeshi humo ndani wakaona isiwe tabu, wakachomoka nduki na kuingia kwenye mitaa ya wa-Ukraine.....humo ndani sijui watajfcha wapi. Putin ameitia Urusi aibu ya mwaka.....

 
Hahahaha ushapaniki Mrusi wa Kapalamsenga Katavi
 
Asipoelewa ajipige makonzi matano kichwani huku akisema Mimi ni Bashite
 
Taarifa zilizopo ni kwamba: Russia imesimamisha mapigo dhidi ya Ukraine. Haijawekwa wazi sababu lakini inaonekana ni upinzani mkubwa kutoka kwa Jeshi la Ukraine.

Huenda Russia imefanya tathimini na kuona IMEKUWA NGUMU kwao Ila wanaona watajitoaje kwenye AIBU HIYO YA KUSHINDWA VITA
 
Hapo ukrain kabakiwa na nini sasa maana asilimia kubwa kashazungukwa hapo
 
Wapo kwenye mazungumzo probably final Zelensky na Putin kuna uwezekano wakakutana ana kwa ana kwa final talks uwe unasikiliza na kufatilia vizuri taarifa
 
Mbona video inaonesha huyu mmoja yupo mahututi anajivuta tu.

Halafu huyo anajivuta kuelekea mitaa ya wa-Ukraine, mbona watamtia mimba maskini, Putin kawaponza sana hawa madogo, halafu ametanguliza vitoto hadi huruma, vimekamatwa sana hivi.

Hivi hapa vimekamatwa mateka

 
Sijui sasa hivi unaumia ukiwa wapi ndugu yangu maana ukraine anafumuliwa mbele ya NATO
 
Kuna watu wangekuwa tu jirani na mkono wangu mnyookoo ninge wa WA-MAKE-IT CLAP WAAAAAA WAAAAAA KLEB ZA KUTOSHA ... ZAIDI YA PUTTIN... NINGEWAGONGESHA ..SHETANI ANGEOMBA TUITION... na yalivyo majinga yanabanguliwa kama dengu au karanga ... Hakuna kitu nachukia kama Pro west Ni maMakumaku.... Taburararasa.. Kuna jamaa alisema humu kama ya kujua Urusi .. Rudi Russia Empire, Na ufahamu Mongol sasa kabla ya hao wote msome Balhae kingdom... Tutawapiga na mtarudi barabarani vizuri tu... Vitukanski People's Republic Spokesman
 
Hivi matatizo ya L R ni makusudi au?

Maalufu... harafu... umetia kunyaa.
 
Leo ni ijumaa nyingine, Ndugu zetu warusi wa Tanzania, msafara umefika wapi?

leo ni siku ya 20🤣🤣🤣🤣, nakumbuka tarehe 24 Feb mlipeleka hadi paratroopers pale Kiev, walikimbia au walikula kichapo cha mbwa koko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…