Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
23 leoLeo ni ijumaa nyingine, Ndugu zetu warusi wa Tanzania, msafara umefika wapi?
leo ni siku ya 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], nakumbuka tarehe 24 Feb mlipeleka hadi paratroopers pale Kiev, walikimbia au walikula kichapo cha mbwa koko?
Hao ni makahaba wako mawindoni, wanajiuza wapate wakuwashughulikia[emoji3544] Warning: Explicit Content[emoji779]️
[emoji635][emoji1255] This Is Another Level of Retardation!!
Take That Putin…
[emoji1109] Tbilisi Georgia
View attachment 2154898
"Viumbe waliostaarabika" wakihamasisha kua "Putin is War Criminal", "Putin Stop War" ajab zaidi nyuma yupo afande anawalinda...
Na hiyo ndio Western culture tunayoihtaji... Freedom with no responsibility [emoji847][emoji119]
Kuna mpumbavu na kubwa jinga kuzidi Putin?Ndiyo maana Russia wanachakaza kila jengo maana warusha hivi vi drone wapo kwenye mijengo ya raia. Hii vita ni ya kijinga sana na rais wa Ukraine ndilo pumbavu kabisa, linashabikia raia wake wafe
Huyu ndie Mwanaume sasa
Hao washavurugwa hawajielewiMnaanza kuhamisha magoli,
Si mlisema Urusi inaikalisha Ulaya yote?
putin ndio kawaambia msilime ngano ya kutoshaAsilimia 70 ya ngano inayotumika nchini imeagizwa Urusi na Ukraine- ndugu Watanzania msishangae bei ya Unga, chapati, mikate kupanda. Ndugu watanzania kumbukeni chanzo cha mfumuko ni Vladimir Putin.
View attachment 2155041
mi namuona anahutubia akiwa kajichimbia handaki... afu ni muigizaji tu mbona mawaziri wake wanavaa suti wanatangaza kokote
Unadhani Dollars ni sawa ni shilingi yetu ya madafu?cheki nyuzi... msaudi anawazia alipwe yuan mafuta... dola litadondoka kishenzi hili likitokea
sijawahi ona mjinga anatetemesha dunia... jirudi kichwaniKuna mpumbavu na kubwa jinga kuzidi Putin?
unaangalia bbc tu... amkaAzima bando utizame hiyo video vizuri, lini barabara ikawa kwenye handaki, jamaa anatamba mtaani freshi tu.
inaonekana unadhani yuan ni madafuUnadhani Dollars ni sawa ni shilingi yetu ya madafu?
Anaitetemeshaje labda?sijawahi ona mjinga anatetemesha dunia... jirudi kichwani
Wewe hiyo Yuan ushawahi hata kuishika mkononi licha ya kuiona kwa Mtanzania yeyote?inaonekana unadhani yuan ni madafu
Wewe unaangalia RT na Sputnik?unaangalia bbc tu... amka
Ni kweli masuala ya vita na mambo ya misosi wapi na wapiMshirika wa kibiashara wa 'Burger King' bwana Alexander Kolobov kagoma kufunga migahawa yake 800 nchini Russia baada ya kuombwa na brand hiyo ya kibiashara iliyosambaa duniani kufunga migahawa hiyo kufuatia Putin kuishambulia kijeshi Ukraine.
Watu wanataka kuendelea kupiga pesa. 'Burger' na 'vita vya Ukraine' wapi na wapi?! Acheni kuchanganya mafaili
View attachment 2155048
naangalia kushoto na kulia ... silishwi pumbaWewe unaangalia RT na Sputnik?
nikikwambia ndio utanibishiaje... mbona tunapoteza dira jamaniWewe hiyo Yuan ushawahi hata kuishika mkononi licha ya kuiona kwa Mtanzania yeyote?