Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Hawa wajanja wajanja sana isije kuwa kama ile siku ya kwanza walitaka maongezi wenzao wakastopisha wao wakawa wanawashambulia wanajeshi wa Urusi afu wanapost eti tumewaua sijui nn sasa putin kaamua kichapo kinaendelea huku maongezi yakiendelea haha
 
Yani mi naona putin anachelewa! Ningekuwa mimi Ukraine ingekuwa ni ardhi kwajili ya kilimo tu kwasasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Putin anawavutia kasi kuna vijana wameshaingia wanapita kila kona ya Kiev ku plot Magaidi ya Ukraine yalipo jificha kwenye Kindergarten na Majengo ya raia ili awagonge na vacuum bomber
 
Hiyo Russia yenye Red Army labda uliishi kwenye ndoto ukiwa Namtumbo. Nasisitiza Russia haina jeshi linaitwa Red Army, mtu akinambia chama tawala Tanzania ni TANU huyo hata aseme lolote kuhusu hii nchi simsikilizi
Wanaishi enzi za Ussr hawa.
 
Ukiona watu 30 wanajikusanya kuunda grupu la kujilinda dhidi ya mtu mmoja, fahamu yafuatayo:
  1. Kwanza huyo mtu mmoja ni mbabe
  2. Hao watu 30 ni madhaifu
  3. Hao watu 30 wanamuogopa huyo mtu mmoja.


Ukiuliza kwa nini nchi zilijiunga na zingine zataka kujiunga NATO, utaambiwa ili ziwe salama dhidi ya Putin🤣🤣😂😂

Halafu mMarekani wa Nanyamba anadai ati Russia ni dhaifu.

 
Kumbe unakijua kisababishu cha Russia kuivamia Ukraine. Wenzako walichelewa ndiyo maana wanafanya remedy ila wewe Kenya ulistuka mapema ukafanya mauaji kabla ya issue kuwa kubwa
 
Putin banned until the end of the year the implementation of operations to pay for a share, contribution or share in the property of foreign companies without the permission of the Central Bank of Russia - decree.
Galip SV Liwagu
 
"We are Russian people, we are for our country, we are for a world without Nazism."

Vladimir Mashkov began his speech at the Crimean Spring concert at Luzhniki with a poem by Tyutchev:

“Vain labor - no, you can’t reason with them, - The more liberal, the more vulgar they are, Civilization is a fetish for them, But its idea is inaccessible to them.

No matter how you bend before her, gentlemen, You will not win recognition from Europe: In her eyes you will always be Not servants of enlightenment, but serfs ... "
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…