Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mmmmh hii inasikitisha, inaonekana Warusi ni roho mbaya sana. Hao wanajeshi ni wengi sana, afu wameuawa kwa pamoja. Hapo lazima uchanganyikiwe hata ufanye nn
Hao ni Warusi wenzenu ndo wameuawa
 
huyo Mama sijui alipataje uongozi,hata akiongea haeleweki.
 


Kama kwa macho unaona hiyo ni tweet... Kuna haja kweli ya kuendelea na mazungumzo au nikuingize kwenye "ignoring list".... Anyway sorry Mr, una umri gani? Uko sawa kweli?
 
Mwanajeshi wa Ukraine ambaye ni manusura wa shambulio la Russia ngome ya kijeshi ya Mykolaiv jana usiku anasema takriban wanajeshi 180 wamekufa kwenye shambulio hilo.

Mwanajeshi mwingine wa Ukraine aitwae Nikita, mwenye miaka 22 aliyenusurika anasema, " Vipande vya vioo viliruka kila sehemu, nilimshukuru Mungu kwa kunipatia muda wa kutafuta sehemu ya kujificha kabla mabomu mengine ya zaidi hayatua. Ktk kila shambulio la Russia huwa kuna mabomu ya ziada (nyongeza)"

 
Al-jazilla ni chombo cha mashariki ya kati lakn kinaongozwa na wamagharibi
 
Hii thread ishakuwa kama story za Shigongo imepoteza mvuto kabisa watu walitarajia mambo yangeisha mapema ila inavyoonekana imekuwa kama series za kikorea.

Tangu Day 1 huku JF ndo kinachofanyika.
 
Kaka bila shaka Marekani imevunja sheria ya kimataifa pia. Urusi imevunja mara kadhaa. Hata China imevunja wakati wa kushambulia Tibet na jusi kwenye mgogoro na Uhindi. Uganda ilivunja ilipovamia Kagera....

Hakuna sheria inayompa mwizi nafasi ya kujitetea kwa kusema "Eti na wengine wameiba"

Hii yote hayabadilishi hali halisi kwamba sasa ni Urusi inayovunja sheria ya kimataifa kwa kushambulia Ukraine jirani mtulivu.
Katika sheria ya kimataifa Ukraine ina kila haki kujitetea (jinsi Tanzania ilikwa na haki hiyo wakati wa Kagera)
Sheria ya kimataifa inamruhusu yeyote kusaidia nchi inayojitetea kwa haki.

HAyo yote pia haibadilishi ukweli kwamba kuna nafiki mwingi upande wa NATO, pamoja na uwingi wa uwongo upande wa Urusi.
Kwa bahati nzuri kanuni za sheria ziko hata katika mazingira ya uwongo na unafiki.
 
Ukrainian MLRS positions destroyed by [emoji635] in Chernigov

Your browser is not able to display this video.


High Precision [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] haiendi nje ya target.
 
Acha nikupinge ktk kipengere cha uganda kuivamia kagera, nyerere alitengeneza propaganda za kuivamia uganda kwa sabb ambazo stozitaja, so uganda kupiga kagera ilikuwa inajibu na kujihamia baada ya kuanza kushambuliwa enyewe
 
Meaningful negotiations on peace, on security for us, for Ukraine - are the only chance for Russia to reduce the damage from its own mistakes.
It's time to meet. Time to talk. It is time to restore territorial integrity and justice for Ukraine. Otherwise, Russia's losses will be so huge that several generations will not be enough to rebound. Galip SV Liwagu
 
The Russian Armed Forces are ready to guarantee the preservation of the lives of the nationalists who laid down their arms when leaving Mariupol - Ministry of Defense.

According to the ministry, the Kiev authorities understand the impossibility of helping the nationalists blocked in Mariupol and offer them to sacrifice themselves.​
Galip SV Liwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…