Slovakia anapewa Patriot anatoa S300Unadhani NATO wanatoa silaha ilimradi wanazo. Silaha kama NLAW anti tank wanatoa kwa kuwa mwanajeshi anaweza fundishwa kwa lisaa pekee akajua kuitumia. Silaha nyingine ngumu kufundishika zinatolewa zile ambazo Ukraine wanajua kuzitumia. Ndio maana walitaka wapewe Mig-29 ambazo wanazijua na bado Russia inazo, Poland angetoa Mig-29 then akapewa F-16 ambazo nazo anazo.
S-300 kuna operators wengine Ulaya wanazo inaweza tokea wakazipeleka Ukraine kisha wakapewa systems nyingine kama MIM Patriot. Huwezi poteza muda kufanya training ya zaidi ya miezi na kufanya logistics support kwenye system mpya wakati vita inaendelea.
Almaz Antey ndio mabingwa wa air defence system kwa Russia
Vita imekuwa ngumu sana kwa pande zoteJamaa wameamua mpaka kutumia hypersonic missiles[emoji23][emoji23]halafu mashabiki zao humu ndani wanakwambia jamaa mpaka sasa anatumia silaha za zamani bado hajatoa mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kila mtu Ulya anaweza kusikiliza media zote za Urusi. Ila tu nchi au makampuni walifungia satelaiti zao wenyewe ili Warusi walipe kwa propaganda, wasilipiwe na wengine. Satelaiti za Kirusi ziko hakuna anayezuia satelaiti zao kurusha. Hakuna mwananchi anayetishiwa adhabu kuangalia, kusikiliza au kunukuu habari hizi.Vyombo vya habari vya kimagharibi bado vinatumia mbinu zile zile za zamani. Yaani bullying style. Yaani wanafanya mambo ya kizamani sana. Wanafungia media ili wao wasikilizwe.
Kwa kifupi huko ulaya zipo nchi hazipendi kabisa haya yaendelee, lakini kwakuwa walishawekwa mfukoni na USA wanafuata amri.
NATO Sasa kuvunjwa,hivi karibuni.NATO go home.
In Bulgaria, a rally is taking place near the building of the country's Ministry of Defense.
People came with Russian flags and posters "Yankee, come home!". They oppose military support for Ukraine.
Galip SV Liwagu
View attachment 2156578
German Euronews lowered Putin's voice to sound like a villainHapana hazipo sawa... Ile ya kwanza imebadilishwa eeh? Kw7b zote zote hatuelewi kirusi so bila Subtitle tunapelea [emoji848][emoji848][emoji848]
Old tactics [emoji23][emoji23][emoji23]German Euronews lowered Putin's voice to sound like a villain
Aisee,Kuna watu humu walisema Russia Hana drone,hajawahi kutengeneza drone na hivyo kaomba msaada wa drone kwa Uchina
Russian Inokhodets drones 'destroy Ukrainian military targets'
Russian "Predator-Drone" destroy 4 Ukrainian military vehicles
A high-precision Drone missile strike 'eliminates a sabotage and reconnaissance unit of the Armed Forces of Ukraine that
has been carrying out search and reconnaissance on four US military cross-country vehicles.'
The Russian Defence Ministry said: "After the strike with precision missile weaponry, the group was destroyed."
Waendeleee tu kutuma, Wala sio kazi kutuma siraha, watume zote tu.Canada says it has ‘exhausted’ its stock of weapons
The country has sent thousands of rocket launchers, grenades, and kit to assist Ukraine amid its conflict with Russia
Ottawa had been among Western capitals that have provided Kiev with so-called “lethal aid.” It has so far sent or is in the process of sending 4,500 rocket launchers, 7,500 hand grenades, 100 anti-tank launchers with 2,000 rounds, two C-130J tactical aircraft, and various other pieces of kit from Canada.
Fukuza NATO ulaya,hao ndio wanaoleta vurugu.🇦🇲There is a rally in Yerevan in support of the Russian special operation.
Participants hold the flags of Russia, Armenia, as well as the symbols "Z".
View attachment 2156683
Ha ha ha haa mzee umewakaWamegoma kwa maamuzi yao. Unawapangia wazipeleke kwani lazima, si ni za kwao
Ha ha haa.Waendeleee tu kutuma, Wala sio kazi kutuma siraha, watume zote tu.
BastardThe work of the battery of multiple launch rocket systems "Grad" of the forces of the DPR.
View attachment 2156688
Usise Marekani aliteka ,sema NATO waliteka.Ndani ya wiki mbili Marekani aliteka Nchi nzima na kuweka kiongozi wao.