Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Source ni DW daah.
 
GLONASS kama alternative ila civilian use iko limited, yeye anasema Marekani wako nyuma kiteknolojia wakati GPS wametoa wao na Internet ina uhusika na watu wa DARPA. Vitu kibao Marekani anahusika navyo kuliko Urusi, kwanza Urusi wanajua invention na hawajui innovation sana wala marketing. Vitu walivyogundua wao duniani hawaongozi kwenye soko lake
 
Acha propaganda mkuu!! Waulize wamarekani kwenye hiyo kambi karibu na Poland wamekufa wangapi? Hawatakuambia sana sana watakuambia wameshambulia maeneo ya raia.
 
SOVIET nature, nchi iliyokuwa ya kijamaa hata ifanyaje ule ujamaa hauji kufa.
 
Engine za Soyuz si ni mkataba ule. Kwani kabla ya Soyuz Marekani hawakuwa wanaenda space, mwezini kina Neil Armstrong walienda kwa mifagio hii anayosema Dmitry Rogozin Chief wa Roscosmos. ISS ni ushirikiano na pale kuna modules za NASA na nyingine za Roscosmos. US ina space delivery nyingine kama za military
 
Kumbe ilikua zuga, msafara ulisubiriwa hadi ufike eneo la kujianika vizuri, vifaru vimepigwa mapigo ya pamoja hadi huruma...

Hizi drones ni habari nyingine.

Tarehe 25 mwezi wa 2. Kwa mujibu wa izo drone kuchukua picha.leo ni tarehe 19 mwezi wa 3, sasa sijui ni time travel au ni nini kimetokea hapo.

Mkiwa mnatoa taarifa za uwongo basi jaribu kuficha tarehe maana imekumbua tayari.
 
Hata ningekuwa mimi nisingekubali, we ushasikia mwenzio kateketeza kambi ndani ya saa moja akiamua si anateteketeza kabulgaria ndan ya siku
Waziri mkuu wa Bulgaria amesema Bulgaria haitojiingiza kwenye vita ya Ukraine na pia haitopeleka silaha za kivita Ukraine.

View attachment 2156216
 
Sina uhakika unapolenga. Nilimjibu mtu aliyedai eti Marekani hawakufika mwezini, video yake ilikuwa fake. Ni kweli kabisa kwamba kuwa mbele sasa haimaanisha utakuwa mbele kesho au kesho kutwa.
Kuhusu nguvu ya kijeshi: Urusi iko mbele tu katika uwezo wa nyuklia ambayo ni urithi wa siku za kale. Msingi wake umedhoofika maana walishindwa kujenga uchumi imara.
Lakin haina faida kuvutana hapa.
Sijui ungetegemea kuna nini kama Ahmadinejad au Chavey wangekuwepo? Wote wawili walifaulu tu kubomoa nguvu ya nchi zao?
Nakubali Urus badi ni nchi muhimu sana ingekuwa vema kama ingekuwa imara, pia imara katika ahadi ake na mikataba ilizokubali baada ya mwisho wa ukomunisti.
 
Nimekutajia Engines, kukuonesha kuwa Technology hawapo Nyuma.
 
SOVIET nature, nchi iliyokuwa ya kijamaa hata ifanyaje ule ujamaa hauji kufa.
Igor Sikorsky alizaliwa Ukraine na kukulia Soviet Union hasa Moscow uko, alitengeneza helikopta ila maisha ya USSR yakamshinda alipotinga Marekani tu wawekezaji hao hapo muda mfupi akapata kila msaada mpaka sasa Sikorsky ndio brand kubwa zaidi ya helikopta duniani mpaka uliponunuliwa na Lockheed Martin.

Russians are beautiful and intelligent ila sasa wakiwa kwao changamoto. Kina Pavel Dulov na Sergei Brin wangekaa uko sijui ingekuwaje
 
Mkuu turudi vitani kidogo, vp UKRAINE anashida hii vita?
 
Sawasawa..
 
Miaka iliyopita NASA ya Marekani ilitegemea injini za roketi kutoka Urusi. Ila sasa makampuni ya binafsi ya Marekani yamesogea mbele na kupata mafanikio mbali ya yote ambayo NASA na pia Roskosmos ya Urusi wamefaulu. Space-X inashinda yote hadi sasa.
 

Analeta maigizo watu wanakufa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…