Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kila siku huwa nawaambia hakuna takataka yeyote inayoweza zuia makombora ya masafaarefu hakuna cha s 500 Wala patriots
Hujitambui hata wamarekani wenyewe wanasema s 500 ya Russia haina mpinzani na hawana uwezo wa kuzuia silaha za hypersonic za mrusia SASA wewe wa Gongolamboto utajua nini
 
Marekani wapuuzi Sana,walipoona Russia ni nchi kubwa na yenye nguvu ,wakafanya figisu na kuigawanya vipande kadhaa ,hawakuridhika wakaamua kumtumia Ukraine ili wapenye kirahisi kuimaliza russia.putin yuko sahh ,aipige tu Ukraine hakuna namna.
 
Wakati tunaendelea na Ukraine-Russia Conflict msisahau kuna mgogoro pembeni unaendelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Israel Vs Iran
Your browser is not able to display this video.


Apo alalamika USA kumuondoa Iran kwenye list ya Magaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Huyo ndo USA bn a.k.a mnafiki wa kimataifa *****...

Kwingineko ni Saudia Vs Yemen



[emoji1267][emoji1210]Yemeni army statement on large-scale offensive deep into Saudi territory

A spokesman for the Yemeni Armed Forces said that this morning (Sunday) a number of vital facilities of the Saudi company Aramco in Riyadh, Yanbu and a number of other areas of Saudi Arabia were attacked with several ballistic missiles, cruise missiles and UAVs.

Yahya Sari also reported a missile and drone strike on vital targets in Abha, Khamisumshit, Jizan, Samta and South Dhahran in the second phase of the operation.

He warned that the Yemeni armed forces would carry out special military operations to break the brutal siege, which would include critical objectives; Goals that the criminal enemy has not even thought of.

The Yemeni army has full coordinates in which vital targets are identified and may be attacked at any moment.

Ukiyasoma hayo maelezo na "Targets" wanazoenda kuzipigag kisha geuka nyuma angalia tunakoelekea [emoji23][emoji23][emoji23]...

Kama ARAMCO facilities zikiharibiwa ambayo ndio kampun ya Mafuta Saudia, na tukumbuke Saudia Is the world largest Exporter wa Gas and Oil [emoji23][emoji23][emoji23] hyo Europe inayotafta Back up ya kutengana na Russia itakuaje [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Putin soon ata surrender ingawa tunaona kuwa ameweza kuipiga Ukraine ila ndani ya .nchi kama China hatamsaidia vikwazo vinamwumiza zaidi kuliko wa Ukraine kupigwa.Ikifika mwezi wa sita Putin atakosa mpaka mishahara ya kulipa kwani hatakuwa amefika mwisho.Hapo ndipo utakapojua issue sio kuwa na silaha wala jeshi issue ni kuwa na hela au uchumi una flow. Putin ataondolewa au atapata upinzani kutoka kwa wanaomzunguka na watataka aondoke madarakani.Naona mwanamke akiongoza nchi ya russia au akitumika kummaliza Putin au ataondok mwenyewe kutokana na ugonjwa au hatakiwa poison na kitu au mwanamke.Russia kurudi katika hali ya kawaida ya kiuchumi watalazimika kuilipa Ukraine na Ukraine itajengwa kuliko mwanzo kwani ili russia irudi kwenye system ya dunia watapewa masharti ya kuiachia Ukraine na ardhi yote warudishe pamoja na kulipa madhara ya vita.Mark my words πŸ˜„
 
Vipi umemalizana na issue ya TANESCO!?
 
Dah! Hii video hadi huruma, jameni aliyemuingiza Putin mkenge haitokuja siku asamehewe.....

Yani kila mtu anaund video zingine za Arnold ,Rambo ,lufufu Aisee Bongo ni noma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…