I was not replying to you, i was talking to Coco rebornOù et quand ai-je parlé français? Happana na Sizani kama nimefanya hivo angalia huenda browser au sim yako imefanya translation ya kile nilichoandika...
Wanatakiwa walinzi wake wakae karibu nae anaweza kujinyonga.Da ila jamaa anateseka huyu,Hadi kweli kabisa namhurumia.
Huko USA wanampa matumaini hewa,Huku Russia wanatwanga.aisee katika watu duniani wanaopitia kipindi kigumu ni huyu bwana.
Yaani Yuko katikati ya wakubwa wawili.
The end is near[emoji635][emoji1255][emoji298] There is a mass surrender of the Ukrainian military in the area of the settlement. Kopylov, Kiev region. This is a village west of Kyiv on the E40 Kyiv-Zhytomyr highway.
View attachment 2157946
According to those who surrendered, the command of the 14th brigade of the Armed Forces of Ukraine is demoralized and confused, the servicemen leave their positions and by all means look for an exit to the Russian troops, decide to surrender and cooperate with the RF Armed Forces.
View attachment 2157947
Ila BBC na CNN wanasema hawa jamaa wanashinda sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kweli. Russia ndiyo nchi ya kwanza. Fuatilia historia vizuri.Huo mwezi labda uko kijijini kwenu. Nchi ya kwanza kwenda mwezini ni Marekani. Urusi ilikuwa ya kwanza kutuma satellite inaitwa Sputnik, leo hii hadi makampuni binafsi ya Marekani kina Maxar na PlanetLabs yana huduma nzuri za satellite kuliko shirika la anga za juu la Urusi.
Hapo ulipo unatumia GPS ambayo ni kazi ya jeshi la Marekani alafu unasema eti itawachukua miaka.
Kazi ya Mrusi unayotumia hapo sanasana ni Telegram ambayo umeipakua kutumia OS za Mmarekani
Si tekinolojia pekee. Iraki 1991 ilikuwa na silaha kali na nyingi. Lakini matatizo ya uongozi. Udhaifu huu ulionekana tayari wakati Iraki ilishabulia Iran mnamo 1980 maana walifuata tu yale waliofundishwa na walimu wao Warusi. Kinyume chake jeshi la Marekani ilikuwa iliandaa vema ushirikiani baina ya silaha tofauti kama vile jeshi la anga, makombora, vifaru, vikosi vya ardhi na manowari.Mkuu vifaru havikuwepo?? Je kulikuwa na Ant tanks??
Rudi kweli msingi wa swali, kama hivyo vitu vingekuwepo USA angeshinda hiyo VITA??
Ukraine wanajua kujifariji sana ila kwenye ground wanajua hali ikojeView attachment 2157960View attachment 2157961
Kabisa Mkuu,west wanampa matumaini lakini hawafanyi chochote,wakati huo Russia anzidi kufanya extraordinary attacks.Wanatakiwa walinzi wake wakae karibu nae anaweza kujinyonga.
We jamaa bwana!Ni kijukuu Cha Hitler' kabisaUtaratibu unafuatwa wakishajiandikisha na kuanza mafunzo ili kuisaidia Ukraine, Wasoviet wanawahesabu hao ni Askari kamili ili wapatiwe scale yao bomu moja mtu mmoja View attachment 2158114View attachment 2158115View attachment 2158116
Aisee Hawa jamaa wameenda ,aaah basi Urusi kwisha,kwisha kabisa,mbendembende,kifo Cha Mende,mlalo wa Chali.
Zele Yuko smart Sana!Ukiona mbwa kacharuka Sana huna Budi kumtupia mnofu....atatuliza tuZelensky anasema, mazungumzo tu ndio yatamaliza vita ya Ukraine.
Wale watu ambao wanayabeza mazumngumzo haya kuwa hayatamaliza vita, hawafahamu umuhimu wa mazungumzo haya. Jeshi la Russia limekuja kutufuta kwenye uso wa dunia..tunapoteza watu kila kukicha. Kama kuna hata asilimia moja tu (1%) ya chansi ya kustopisha vita hii kwa njia ya mazungumzo, basi lazima tuitumie chansi hiyo...Lazima tutumie namna yoyote, chasi yoyote ile inayopatikana itakayotuwezesha kujadiliana majadiliano yatakayotuwezesha kupata fursa ya kuzungumza na Putin
Naona akili zinaanza kumkaa sawa Zelensky...
View attachment 2158149
Siwaamini hawa!Hawa waliotoka nduki Afghanistan,wasije kumtelekeza Zele hawaAisee Hawa jamaa wameenda ,aaah basi Urusi kwisha,kwisha kabisa,mbendembende,kifo Cha Mende,mlalo wa Chali.
Tena kutoka Texas na Ohio,Aaah Urusi waondoke haraka sana ,Hawa jamaa ni hatari sana.
Hawa watabadilisha kabisa mwenenndo wa vita na Urusi itarudishwa nyuma.
Joannah, mie nikiwa nazungumza na wewe ninakuwa Team Zelensky...sitaki kukuudhi mrembo wangu😉😉😉Z
Zele Yuko smart Sana!Ukiona mbwa kacharuka Sana huna Budi kumtupia mnofu....atatuliza tu