Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijui kama sijui vizuri kiswahili Hapo umesema " Hakuna Aliyeleta watu Mwezini" au "Aliyepeleka watu Mwezini"...
 
Acha basi .... Wiki iliyopita ilikiwa Lyv mji wa mpakani na Poland. . hili ni tofauti...jitoe kwenye hilo box la umarekani
 
Hahahahahahah URUSI hawawezi kuokota Raia waende vitani mzee, ile sio TZ yaan huna ABC then uende tu vitani?? Achana na hizo story mzee
 
❗️About the situation around the special operation in Ukraine.

▪️The number of internally displaced persons and refugees who left Ukraine for other countries has grown to 10 million people - UN High Commissioner for Refugees Filippo Grandi.

Zelensky said in an interview with CNN that he is ready for negotiations with Putin. Without a dialogue with the President of Russia, it will not be possible to stop the war in Ukraine. The failure of the negotiations could lead to the outbreak of World War III.

▪️The calculations of the Ministry of Finance of Ukraine show that about 30% of the country's economy is not working - Finance Minister Serhiy Marchenko.

▪️Zelensky signed a law extending martial law in Ukraine for 30 days from March 26.

▪️The total amount of US military assistance to Kiev has reached $2 billion, the Armed Forces of Ukraine receive weapons they are trained to use - Pentagon chief.
 
A
Kuna silaha hapo Russia anaitest, kuna project uko Russia inaitwa SURA ilikuwa developed enzi za USSR kama Russia aliiendeleza basi tutashuhudia tukio la kutisha sana huko Ukraine. Kupitia huo mfumo wataalamu wanasema unauwezo wa kutengeneza matetemeko, mafuriko , vimbunga na menginenyo
 
Russia warns Bosnia and Herzegovina has the right to decide whether to be a member of NATO, but Moscow reserves the right to respond to such a possibility, Russian Ambassador to BG Igor Kalabukhov warned.
"If it decides to be part of something, this is an internal matter. But so is our reaction. Using the example of Ukraine, we showed what we expect. If there is a threat, we will respond," Kalabukhov.

Dah! [emoji2297][emoji23]
 

A rally in support of the Russian operation in Ukraine was held near the UN building in Beirut.

The gathered activists brought portraits of Putin and Assad, as well as the flags of Russia, Syria and the DPR, writes @rt_russian.

After the action, they called on UN Secretary General Guterres to take action against Ukrainian nationalists.

Similar rallies were held yesterday in Armenia and Serbia.
 
Jamaa anajua vizuri sana kukitumia kipaji chake Cha uchekeshaji,anaitumia vizuri sana taaluma hiyo.
 
Kitaeleweka TU.
 
Asante, picha nzuri sana. Inaonyesha idadi ya wanahabri inazidi waandamaji wachache. Si ajabu, Wasyria nba Walebanoni wengi wanamchukia Assad na wanamdharau Putin aliyemsaidia Assad kuchinja watu wake wa Syria.
 
Siwaamini hawa!Hawa waliotoka nduki Afghanistan,wasije kumtelekeza Zele hawa
Joannah nimetokea kukupenda sana Dada yangu,kwa jinsi unavyofatilia mtanange huu,na jinsi unavyo changia kwa misimamo Yako ilivyo ntamwambia Chifu Hagaya akuteue kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
Unaweza sana nafasi hiyo.
Una misimamo na unajua mengi Sasa hivi kuhusu issues za vita.
Jiandae kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
 
Asante, picha nzuri sana. Inaonyesha idadi ya wanahabri inazidi waandamaji wachache. Si ajabu, Wasyria nba Walebanoni wengi wanamchukia Assad na wanamdharau Putin aliyemsaidia Assad kuchinja watu wake wa Syria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Venus Star njoo uone kichekesho kingine uku...



Inasemekana hawa watano kulia pichani wanaopiga picha ni wengi kuliko hao 25+ upande wa kushoto...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh kweli mahaba upofu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] leo 5 kubwa kuliko 25+....
 
Kichwa kimoja dhidi ya vichwa zaidi ya 30.
Aisee Kuna watu wachache sana Mungu kawaleta Duniani kwa kazi maalumu.
Nadhani Putin ni mmoja wao.
Na Hawa huja duniani baada ya miaka kadhaa..
Hizi ni zama za Putin.
Baada ya vita hii Dunia itashuhudia mabadiliko makubwa sana.
.
 
Hitler alikuwa mmoja wao pia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…