Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
hongerenikinachofanay Ukraine ifanikiwe kushambulia warusi sio silaha tu, ni morali, uthubutu. watu wana uthubutu wa hali ya juu. hapo ndio utaamini umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.
Kaanze na Bush Jr halafu Tony yule wa Uingereza halafu malizia na Barack OsamaWar Criminal View attachment 2158573
hehee acha watest wamepata fieldMkuu mbona walalamika sana hivyo???
Faida ya kutumia hiyo silaha wanaijua warusi wenye kombora lao ambao ndio waliopiga na kuangamiza ngome hiyo ya kijeshi ya chini ya ardhi.
Russia wana silaha/makombora mengi tu, wanachagua ipi ya kutumia wapi, lini na kwa nini (sababu wanazijua wao wenyewe).
Yaani kombora walidizaini na kulitengeneza warusi wenyewe, halafu wewe ambaye hujui hata chemistry ya kombora hilo wataka kuwafundisha walitumie wapi, na lini! Hayo nayo maajabu ya mwaka!
Nchi zote za NATO ikiwemo US zafahamu fika kuwa Russia ana makombora ya haipasoniki, na aliyatesti hadharani-sio chini ya uvungu-na aka-publish hilo. Sasa hizo stori za kuwa asilitumie awafiche NATO zinatoka wapi? Utakaaje na kombora kama mdoli tu (ambalo ni ruhusa kutumika) halafu usilitumie vitani kujua uhalisia wa nguvu yake ktk kuangamiza nguvu za maadui ktk uwanja wa vita?
Hebu muache Russia atesti uwezo makombora yake kwenye field, kapata uwanja wa kivita wa kutestia.
Btw: Mie sio msemaji wa jeshi la Russia
View attachment 2157318
Hujanielewa .hii post najaribu kumuweka wazi kuwa hao anaowaona kuwa hawashindwi ,huwa wanashindwa au kufa kama binadamu wengine. So nilikuwa namuonyesha hilo.Halafu Mimi sina timu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwangu nyeusi ni nyeusi ?
hizo "there will be"zote anaweka matumaini kwa wanadamu wenzie wamchangie, anategemea wamagaribi ambao aliwategemea wangemsaidia vita lakini sasaivi miji yake mizuri imekuwa magofu, wamemuacha solemba. hii ni akili au matope? huku kujisakrifaisi kote ni kwa ajili ya magharibi tu? haya yote yalikuwa yanaepukika.We will win.
There will be new cities.
There will be new dreams.
There will be a new story.
There will be, there’s no doubt.
And those we've lost will be remembered.
And we will sing again, and we will celebrate anew. 🇺🇦 Zelensky saidView attachment 2158224
Hao wanajifariji tu biashara inaendelea kama kawaidaKwisha Russia, Germany to abandon their gas.
Soma na hapaWar Criminal View attachment 2158573
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimekuonesha jinsi ulivyo kilaza, yaan wewe unahisi una akili kuliko waliovamia, unazijua silaha kuliko waliopo vitani.Sijasema hawayajui kama huna hoja usiniquote. Walimu wako watakuwa wakipata shida sana, kwamba ukishajua kitu basi unakifanya. Russia wakijua USD ndio strongest currency basi nao Ruble yao inakuwa strongest? Ni kama umeazima akili za mimba yako ndizo unatumia