Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇭🇺Hungary will still not support the introduction of broad EU energy sanctions against Russia.

Including in matters of oil and gas supplies, said the head of the Hungarian Foreign Ministry, Peter Szijjarto.
 
🇧🇬The Prime Minister of Bulgaria announced his readiness to continue negotiations with Gazprom on gas supplies.

Earlier, Deputy Prime Minister Vasilev said that Sofia allegedly does not plan to renew the contract with the Russian company, which expires in December this year.
 
The Moscow court refused to conduct a linguistic examination of Meta in the case of the company's ban on the territory of Russia

Representatives of Meta insisted on the examination, the prosecutor's office and the FSB opposed it. The departments said that the symbols of the "Right Sector" and Nazi Germany are prohibited in Russia and do not need additional verification.
 
H
Punguza kabobo zako,unadhani ni wewe peke yako ndiyo una access na hizi picha? Btw unareport ukiwa uko Donbass au Kyiv penyewe kabisa,au ndiyo unahoroja ukiwa Ikungulabyajashi huko 😀
 
H

Punguza kabobo zako,unadhani ni wewe peke yako ndiyo una access na hizi picha? Btw unareport ukiwa uko Donbass au Kyiv penyewe kabisa,au ndiyo unahoroja ukiwa Ikungulabyajashi huko [emoji3]
Nimekuonesha ulivyo kilaza, haya umeona hiyo MALL iliyoshambuliwa hapo basement walikuwa wanahifadhi zana za vita mzee. We unadhani Warusi vichaa wapige hapo waache hayo mejengo mengine?
 
Vita mbaya sana mkuu mpaka Putin kuuza mafuta kwa bei ya punguzo tena kwa india we acha tu Putin huyuhuyu anafikia hatua ya kusema kwa uchungu mkubwa maneno haya

"Western countries are not only taking unfriendly actions against our country in the economic area. I'm speaking about the illegitimate sanctions that everyone is well aware of. However, the top officials of the leading NATO countries also make aggressive statements against our country as well,”

Kweli vita isikie kwa jirani tu
 
Mzalishaji wa silaha mkubwa Duniani anaishiwa silaha na anaomba kwa anaowauzia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan Bongo michosho kweli
Ndio bongo woods iyo. Tuna watu wa kila aina wachambuzi wa nyuklia, CIA, Mosad, KGB.
Tunapentagone yetu. Tanzania kila kitu kipo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mariupol ,Ukraine ni mji mtakatifu wa wakatoliki Russia kawachokoza wakatoliki
Huo mji ni wa Mama Bikira Maria na ndie Mlinzi wa huo mji.

Putin Dini yake Orthodox anaua wakatoliki wa Mariupol watoto wa Mama Bikira Maria
 
Urusi aombe kuuziwa silaha na china kisa kaishiwa, silaha gani hizo!?

Nlipoona umeitaja FBI tu nikajua chenga. Yaani FBI wajue yanayoendelea Urusi!? Unaijua taasisi ya usalama ya marekani inayofanya kazi nje ya marekani (operation jurisdiction)!? Au unajitajia tu kwa sababu fbi ndio ipo karibu na vidole vyako!?

'Kushindwa vita' na 'kuendelea kukomaa' ni maneno hayatakiwi yakar kwenye sentesi moja. Ukishindwa vita hakuna namna unaweza tena kuendelea na ukiendelea basi hujashindwa.

Bure kabisa!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe Una uelewa gani katika VITA. Ushawahi kupigana vita. Au umepigana VITA ya kwy Play station unafikiri Ndio hiii. Unapigana vita, alafu unasikia gali zilizoleta chakula zimeshambuliwa alafu ujala chakula masaa 16, na kumbuka kule baridi, chakula unakula kingi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…