Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tukiachana na vita nyie Ukraine wana ardhi nzuri sana. Miaka ile nasoma soil form 3 nilisoma chernozem soil iko Ukraine sasa vita hii ndio nimeiona. Ukitazama ardhi yao inaonesha ina rutuba nzuri kwa kilimo
 
Ambacho nashangaaa ni kwamba ...jamaaaa wanapost Kila siku wameteka hicho, wameua wale , wamefanya hiki wamefanya lile ila wao ndio wanaolia Kila siku , mjomba Putin yeye anapiga kimyakimya anakugonga ukichoka sana anakupa muda wa kunywa maji masaaa 10 toa raia na unywe maji ... Halafu anaanza tena mbungi. Kimyakimya hiii mpaka mwizi ataanza kujiita mi mwiziiiiii mi mwiziiiiii jamaniiii ataniua huyu mshikeniiiii
 
Jamaa wnajipigia tu
 
Vipi na mbolea atatoa qatar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ